Search results

  1. Aggrey86

    Leo nimeamini ccm imechokwa...

    Moja ya mambo ambayo nilikuwa siamini watu wanavyosema wameichoka ccm na hawaitaki....wakuu mida hii ya jioni nikiwa mitaa ya Ilomba mkoani mbeya wamepita watu watu wa ccm na sare zao ni wazee wa makamo wakiwa kama wanne hivi wametoka kwenye mkutano wa ccm wa jumuiya ya wazazi....Wamezomewa hapa...
  2. Aggrey86

    Mh.Mbowe popote ulipo nasema Asante

    Nikiwa namalizia kupata chai yangu asubuhi hii kwenye mgahawa moja unaitwa Udizungwa hapa Iringa Mjini mara akaingia mh. Msingwa na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwa pamoja na kamanda wa anga Mh. Mbowe. Baada ya kuingia Mh. Mbowe akasalimiana na watu wengine tuliokuwepo mule ndani na moja kwa...
  3. Aggrey86

    Wema hauozi jamani

    Habari ya mapuziko wakuu ni baada ya mchaka mchaka wa wiki nzima katika ujenzi wa Taifa letu basi si mbaya wakati huu wa mapumziko ya wiki tukakumbushana baadhi ya mambo na kuwekana katika dira nzuri, hi ni story kuna rafiki yangu alishawahi kunisimulia si mbaya na wengine tukaisoma na...
  4. Aggrey86

    Na mimi mnipiemu sasa!

    Yani tangu nijiunge jf sioni hizo piemu wala nini, kwani mimi ndo sipiemuki jamani?hii sio haki sasa na mimi leo mnipiemu sasa nione hizo piemu zinavyokuwa lol...utafikiri sio mdau humu ndani.mnipiemu bwana acheni hizo
  5. Aggrey86

    Kwa wote mnaotafuta kazi

    Kisha akawaambia "Tuseme mmoja wenu anaye rafiki,akaenda kwake usiku wa manane,akamwambia Rafiki tafadhali niazime mikate mitatu kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa,Naye akiwa ndani angemjibu "usinisumbue! Nimekwisha funga mlango.Mimi na watoto wangu tumelala...
  6. Aggrey86

    Figo kujaa maji..

    Habari zenu wakuu! Kuna ndugu wa bosi wangu anaumwa sana sasa kaenda hosptal kucheki dr.kasema kwamba figo zimejaa maji kwa hiyo kuna dawa kapewa kwanza za mwanzoni wakati anaendelea kusubiri utaratibu mwingine.... Sasa mimi nina swali hivi figo kujaa maji kunasababishwa na nini? Mana nimesikia...
  7. Aggrey86

    Z'bar vs burundi

    Kwa wale mnaofuatilia mechi kati ya Zanzibar na Burundi naombeni mnijuze jamani nini kinaendelea hadi sasa?
  8. Aggrey86

    Scolari na Brazil tena..

    Luiz Felipe Scolari ameteuliwa kushika mikoba ya kocha Mano Menezes aliyeachishwa kazi na chama cha soka cha Brazil, je Luis Felipe Scolari ataweza kuirudisha Brazil aliyokuwa nayo msimu wa 2001 hadi 2002 na kuchukua World cup Brazil ambayo kwa sasa haina...
  9. Aggrey86

    Babu na Mjukuu!

    Babu m1 alimwambia mjukuu wake, Mjukuu wangu jifiche mwalimu wako yule anakuja, Mjukuu akamjibu Babu, Babu jifiche wewe mimi niliomba ruhusa kwa mwalimu wewe umekufa!
  10. Aggrey86

    Nisaidieni hapa wakuu

    Jamani hivi naruhusiwa kuapply nafasi za kazi zaidi ya tatu kama mwajiri ni mmoja na nafasi zimetoka siku moja lakini ni nafasi mbalimbali mfano hizi za utumishi nafikiri mmenielewa wakuu nisaidieni hapo.
  11. Aggrey86

    Polisi kusadia Ccm Arumeru.

    Wakuu nikiwa nafuatilia taarifa ya habari ITV, Nimemsikia Dr.W.Slaa akisema chuo cha Polisi moshi kinaandaa askari wale mafunzo wapatao 95 kwenda kusaidia Ccm pale Arumeru, Jamani sasa hi ni haki kweli? Kwani Ccm wao hawajiamini hadi waanze kuongeza na Askari wawasaidie? Sasa nini kifanyike...
  12. Aggrey86

    Upendo mkuu.

    WAKATI WANADAMU WANAKUWAZIA KUSHINDWA MUNGU ANAKUWAZIA KUSHINDA, WAKATI WANAWAZA KUANGUKA KWAKO MUNGU ANAWAZA KUKUINUA MBELE YA MACHO YAO, WAKATI WANAWAZA JINSI GANI YA KUKUANGAMIZA MUNGU ANAWAZA JINSI GANI YA KUKUOKOA, NDUGU ZANGU WENYE MATATIZO MBALI MBALI TUSIKATE TAMAA TUZIDI KUMWOMBA...
  13. Aggrey86

    Wanajamii!

    Habari ya asubuhi wadau! Nipo safari jamani na Bunda expres frm Mwnz to Dom 2ombeane jamani 2fike njema!
Back
Top Bottom