Search results

  1. M

    PAUL MAKONDA Awageuza vijana wa CCM walioko MSASANI Club kuwa omba omba

    yan mkikosa habari mnatunga tu uongo!!acheni unafik yan vijana km nyie uzeen mnakuwa wachawi
  2. M

    pima joto: Kwa nini Afande kwenye hii picha kajichokea?

    huyo alikuwa anapita tu wakkati boonge anachukua picha ya kumbukumbu,pamoja na mambo mmenngine jamaa anaomba kura ya ubunge EAC
  3. M

    Hii ndiyo siri ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    hahahahah umefulia kweli,CDM ndio nzuri inayomwagia watu tindikali na kukodisha vikosi vya kuleta vurugu kutoka nchi za jiran!!ktk uongoz wenu watu wakiandamana si ndo mtawaua wote
  4. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    achen unafik watakamatwa tu mlio watuma na huyo mwanaccm mliemrubun awasemee itakula kwake wauwaji nyie
  5. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    jaman sasa naanza kuelewa nn maana ya nguvu ya umma na nimeshaelewa jinsi inavyotumika!!nahis huu ndio muendelezo wa nguvu hiyo
  6. M

    Mh. Celina Kombani AMCHANA Lissu Bungeni

    kamchana vizur kiherehere kwisha
  7. M

    Picha zilizo nihuzunisha moyoni mwangu ni hizi

    ooh my God its terrible,tumshukuru Mungu kwa kidogo alichotupa,they realy need some help
  8. M

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    km waliingia kihun bas hata chama chenyewe ni cha kihun ila walizidiana ujanja tu
  9. M

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    walidhan ccm haifai walipofika CDM wakaona ndo utumbo kabisa nahsi sasa wanashukuru kwa kuvuliwa uana chama coz pengine ingekuwa ngumu kwa wao kufanya hivyo kwa aibu
  10. M

    Mtoto afukuzwa shule kwa kumuuliza mwalimu 'dagaa anaitwaje kwa kiingereza'

    nae afukuzwe tu,hajui strategies za kudil na watoto,angewapa break ya gafla wakirud jibu kashapata hata kwa kuuliza
  11. M

    CCM hatarini: Wafuasi wa Lowassa, Chenge wapanga kuipasua

    they r just playin with fire ccm dis time imejipanga no backup
  12. M

    Hawa AIRTEL vipi

    cku izi airtel ktk swala zima la net wamepwaya mpaka modem zao zinaboa vibaya
  13. M

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    kuna nchi inayozid umasikin tz hapo hata nyie mnao comment ni wachochez pia
  14. M

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    pengine we ni uchwara zaid yao
  15. M

    Nape vs Lowassa

    kumbuka nape hasimami km nape anasimama km chama mnamuandama bure kwa ufnyu wenu wa mawazo
  16. M

    Nape vs Lowassa

    ni mawazo finyu ya watu wachache km ninyi na kumbuka kupigiwa makof c kufurahisa yanaweza yakamaanisha vingine hata mpoto aliwah nena,nape ataendelea kufanya kazi aliyoagizwa na nadhan wengi mnasahau kuwa anayofanya nape si maamuzi yake binafsi ila anasimamia kile alichoagizwa akifanye kwa...
  17. M

    Nape vs Lowassa

    kwann wasimchinde,chama c mtu mmoja ndgu,na ni bora kupotea kwa mwanachama kuliko kupotea kwa chama
Back
Top Bottom