Search results

  1. ldd

    Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

    Pata ushauri WA Dr mapema, iyo ni risk unaweza pata stroke, heart attack,renal failure!
  2. ldd

    Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

    Asubuhi napiga ndizi mchemsho za samaki au na mboga mboga , punguza wanga na bia bia utapungua mpka uogope
  3. ldd

    Tutaona mwisho wenu ninyi timu kusifia sifia ya Rais Samia

    Kwa Mara ya Kwanza ntapigia Kura ccm uraisi
  4. ldd

    Naomba mbinu za kupunguza uzito kwa haraka

    Kilo 3 kwa mwezi ni nyingi sana, Nilikua na 105kg November, nikapiga zoezi mwezi mzima nakata 1kg, Ilipofika January nikawa nakula matunda jioni,mchna nakula ukubwa WA ngumi ,niliginga 80kg wife anasema nnatisha, Nimezipandisha kidgo 85kg
  5. ldd

    Tatizo la maji Hai Mjini

    Aslalekum, Naleta mada hii ya shida ya maji hapa Bomang'ombe na viunga vyake. Anayesimamia huu mradi (Engineer Shoo) ndio tatizo sijui kwanini hajiongezi. Kwa mkoa wa Kilimanjaro kukosa maji miezi mitatu au miwili mfulilizo hii ni kudhibitisha kwamba huyu ndugu yetu Shoo huu mradi umemshinda...
  6. ldd

    Muhimbili yakanusha taarifa za uzushi kuwa muuguzi wake amefariki kwa Corona

    Ata km ni korona au si korona kifo si kifo? Ni vema kututarifu maana watu wa Dar uku mikoani tunawaogopa .Rip mama
  7. ldd

    Ukaribu wa Diamond na Wasanii wa Marekani waliochuja una tija yoyote kweli kwa Taifa?

    Mimi mwelewa nadhani Una tija maana mpaka umeamua ku post uku ina maana unamfatilia na pia unangojea uskie nini kitapakuliwa, Ungepotezea ina maana nonsense, Ila unaleta na uzi uku something is crushing ur heart. Sina team jaman ata kiba namkubali sana
  8. ldd

    Benjamin Mkapa on BBC HardTalk (Video)

    Uyu mzee alikua noma,
  9. ldd

    Ni watanzania gani wengine waliowahi kuhojiwa BBC- HARD TALK mbali ya Mkapa na Lissu?

    Bongo tunapaswa tuwe na wahandishi wa dizaini ile, Salute kwa Lissu kwa kujibu technique questions toka kwa Stiv though yalikua kimitego sana! 2020 is loading...
  10. ldd

    MOSHI, KILIMANJARO: Vigogo wa zamani KNCU wafikishwa kortini

    Du polen kina temba , ushirika sasaivi ni moto wanakusanya pesa zao kwa nguvu chini ya Tume ya maendeleo pale dodoma (na watoa huduma wao).
  11. ldd

    Mkopo wa riba nafuu

    wakupiga kz hawapo jf, umeingia uku ina maana meza nyeupe hauna files na pesa ipo benki uliyokopa kila mwezi unairejeshea, kama pesa ni yako ukiweka 18% p.a kama nmb still utakua na profit nzur tu, lakini tokana na wewe umekopa ndo maana unatuwekea 40%
  12. ldd

    Update: Usaili wa TRA Matokeo kutoka ndani ya siku 10 wasailiwa waendelee kujiandaa vitu si rahisi.

    Maskini kilaza, ata makinikia hujui/step za kufungua bsnes in tz/agoa? Sasa we ni mtanzania au mkenya au mrundi? Ukitoka apo unalamika nini sasa!! na bado chuo mlizoea kupiga chabo pigeni na kwenye mchujo!
  13. ldd

    Anahitajika haraka Administrative Officer/Receptionist

    messenger, driver, cashier $ admn? 250,000/- mpe ndgu yako.maana umejua ni uonevu ndo maana unataka kandamiza uku wanyonge?! assume salar was 3.5m ?
  14. ldd

    Maswali ya usahili TRA

    Jipen matumaini na Mzumbe acha msisome ITA
  15. ldd

    NHIF vipi wameita au bado

    Magu hahajiri, jk aliposema mtanikumbuka, kuna waliokua wanaimba tutaisoma namba! wacha tuisome mdo mdo, jana nlikua ofc ya tra nmekuta kompyuta km 6 front ofc hazina watu nlipojaribu dadis wakasema kz haziend na mkuu kasema hakuna kuajir waliopo wanatosha akizidsha wanacheza game!
  16. ldd

    Msaada kwenye tuta, nimeitwa interview

    Du sasa graduate ata km nimesoma project mgnt, nikiitwa interview kwenye fani ya education nitashindwa kujua ni nn chakufanya!? jiamini na tumia tahaluma yako km graduate. Ndo tatizo la match items na multiple choice.
  17. ldd

    Ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?

    Hope vft bank in arusha
Back
Top Bottom