Search results

  1. Inanambo

    Waziri Ndalichako unapata Faida gani Wastaafu kulipwa Kikokotoo?

    Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani miaka yote hii ndio Ndalichako kaona Waanze 2022 kupunja Wastaafu akidai wataishi miaka 12. Hivyo...
  2. Inanambo

    Miujiza ya uponyaji na kufanikiwa kiuchumi

    Yaani nashindwa kuelewa Watu wanaosema/wanaoshuhudia wamepona baada ya kutumia mafuta na maji ya upako. Wapo wanaosema wamekunya au kutapika au kujifungua; kobe, hirizi, panya, tandu, jongoo, nyoka, toothpick, nyuzinyuzi. Au wameua nyoka nje ya nyumba zao au paka. Nisaidieni hii ni miujiza...
  3. Inanambo

    Maombi yamepokelewa Secretariat ya Ajira, kwanini hadi sasa hakuna mrejesho mwingine?

    Kwenu Secretariat ya Ajira. Mliweka Nafasi za kazi za MDA na LGA hapo July 2022. Wasaka Ajira tukajitosa kuomba Tena Kwa Gharama kubwa na Sifa mlizotaka zipo. Mrejesho toka kwenu ikawa Received. Mpaka Leo hakuna jibu lingine la maybe not shortlisted au shortlisted au nafasi hii imechukuliwa...
  4. Inanambo

    Huduma za Afya JKCI Outpatients ziboreshwe

    Unaumwa, una appointment ya kumuona Cardiologist JKCI. Unaambiwa njoo saa 12 asubuhi. Unafika mnakusanywa kwenye mahema mnasubiri Daktari. Unapewa namba. Unaambiwa Katie Bima. Mnapanga foleni ya Bima. Saa 4 tayari huiamuona Doctor unaambiwa Yuko Wodini Bado. Unakaa unamuona Doctor Saa 7...
  5. Inanambo

    Collapse of East African Community 1977, mnakumbuka?

    COLLAPSE OF THE EAST AFRICAN COMMUNITY 1977 Katika pita pita za kujisomea nimekutana na hii. Nikaona ni vema Millenials wakajua hii Story. Wahenga wenzangu hizi sababu zinatosha? Please ongeza zingine tujikumbushe. Despite its success, the East African Community collapsed in 1977 due to a...
  6. Inanambo

    Sekretarieti ya ajira waoneeni watafuta ajira huruma

    Ni jambo la kusikitisha Watalaam wa Secretariat ya Ajira kuwanyima Watafuta Ajira fursa ya Usaili. Eti huujaitwa kwenye Usaili (Shortlisted) kwa kuwa hujazibitisha Vyeti vyako kwa Wakili au Mwanasheria. Ingawa umekidhi vigezo vyote vya Sifa ya Ajira tajwa. Hivi wanashindwa Jumuiya mtafuta...
  7. Inanambo

    Naomba kuuliza: Hivi kwanini Walimu hupanda Madaraja bila kusoma ilhali Watumishi wengine wa Umma hawapandishwi?

    Wapo Watumishi wasiopanda Vyeo wakiambiwa hawajasoma Kozi Fulani kwa miaka 20 tangu waajiriwe. Wanafanya kazi kwa Ufanisi wanajaza OPRAs lakini hakuna cheo wala Kuongezwa Mshahara. Huwa wanahusishwa tuu kwenye Scheme of Service zikifanyiwa marekebisho. Hivi Utumishi hawaoni haja ya kuhoji...
  8. Inanambo

    Nimefulia wandugu, Mshahara Juni 2021 tayari?

    I am in Low Water, nimefulia Kwa kweli. Tegemeo la Kwanza Salary ya Serikali. Mshahara wa Juni 2021 naona umechelewa. Nimesubiri SmS ya sijapata. Wengine kwenu Vipi?
  9. Inanambo

    CRDB Ile Interview ya Sales Executives Majibu Vipi? Mlishaita watu? Wiki mbili zilishapita kitambo

    Kulikoni CRDB Wapendwa. Nilifanya Interview zote pale Coca-Cola Mikocheni Feb mwanzoni. Mkasema majibu after two weeks. Mkanipa natumaini ya kuitwa kazini. Hadi leo March 8 hakuna majibu. Kuna walioitwa tayari? Tujulishane Wandugu.
  10. Inanambo

    Je, Air Tanzania walishaita watu wa ajili ya usaili?

    Naomba mwenye kufahamu kama Air Tanzani walishaita Interview ya Cargo Officer na Sales. Walitangaza October 2019. Nikaona Nina sifa walizotaka Hadi leo sijapata Jibu.
  11. Inanambo

    TCCA siyo haki mlivyotufanyia: Tangazo la kazi mkaweka mwisho Jumapili mkafunga ofisi. Mnatutaabisha waombaji kazi

    Kwenu wadau wa kusaka Ajira. Katika pita pita nilikutana na tangazo la ajira/mafunzo TCAA Website wanahitaji wahitimu wa Chuo kikuu Bsc. Umri miaka 25 mwisho na deadline iwe 25/3/2018. Hawakusema tuombe kwa Email. Baada ya kuona nakidhi vigezo na masharti na Bachelor yangu ya Science ya 2016...
  12. Inanambo

    Niliomba kazi PCI Musoma mwaka jana mwishoni Je Wameita waombaji?

    Habari ndugu zangu Job seekers. Nakaribia kupata Uchizi kwa kukosa Ajira. Nimeomba taasisi zote zilizotaka watumishi wapya : TARURA, TANAPA, PCI, Brighter Monday, American Embassy, TANESCO hadi leo sijajibiwa. Tafadhali naomba mwenye kuitwa kwenye usaili anijuze kwa kuwa sifa ninazo na barua...
  13. Inanambo

    TANAPA tafadhali pokea simu ueleze jinsi ya kuomba kazi Online

    Wadau wenzangu Job Seekers, ninaishukuru TANAPA kwa kutangaza nafasi tele za kazi. Ila wamesema tuombe online. Nimejaribu kujiunga na hiyo ARUTI system lakini kila nikiomba wanipeleke kwenye kuomba kazi wanasema: Sorry, This email is not activated. Please activate your email from your mailbox...
  14. Inanambo

    Funzo la Maisha ya Ivan Ssemwanga kwa wana East Africa

    Nimepitia habari kuhusu huyu SOCIALITE wa Uganda kwenye vyanzao kadhaa vya habari. Nimepata somo la kufundisha wengine kuhusiana na maisha ya huyu Marehemu Ivan Ssemwanga. Nawasilisha kwenu kama nilivyopakua huko. Ila naomba wanaojua English wajaribu kuwatafsiria waabudu Lugha ya Taifa. Before...
  15. Inanambo

    Kuajiriwa TRA ni kutajirika hadi mkoani kwenu?

    Kuna uzi nimepitia humu JF unaeleza kuwa ajira za TRA ni utajiri na neema mpaka mkoani kwenu. Wamefikia kusema kuna kabila lilitajirika kwa kuajiriwa TRA wakajipelekekea Maendeleo ya Maji, Umeme, Hospital ,Shule na Barabara. Eti sasa hilo limerekebishwa kabila hili hawataajiriwa tena TRA na...
  16. Inanambo

    Hongera Kenya kwa mrejesho wa kazi za Infrastructure

    Leo asubuhi nimebahatika kuwatch Citizen TV Nikakutana na Live Kipindi kutoka State House yao kinaitwa Infrastructure Summit. Nikavutiwa kukisikiliza. Waziri wao alikuwa anaongea kuhusu kazi aliyoifanya ya Infrastructure mbele ya wadau. Baadaye kila aliyekabidhiwa kazi ya kuhakikisha miundombinu...
  17. Inanambo

    WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO TAFADHALI TUPIA MACHO UTARATIBU WA UUZAJI NYUMBA WA TBA

    Awali napenda kukupongeza Mheshimiwa Waziri kwa kazi unayoifanya katika wizara yako. Pia pongezi ziwaendee TBA kwa kujenga Nyumba bora na za kisasa kwa ajili ya kuwauzia Watumishi wa Umma. Mheshimiwa Waziri Nyumba hizi zimejengwa Tanzania nzima na watumishi tumepewa fursa ya kuomba kuuziwa kwa...
  18. Inanambo

    Wapinzani kubatizwa Ubatizo wa Moto

    Nimeriwind CD ya Dodoma Juzi. Nikasikia x KATIBU mkuu akisema "Aliwabatiza kwa Maji, ila huyu atawabatiza kwa Moto". OK sifa ya Maji ni kupooza, Moto ni kuunguza na kuteketeza. Kwa nini Wapinzani wafanyiwe hivyo? Wamekosa nini? Mbona Kule UK Labor na Conservative, Usa Democratic na Republican...
  19. Inanambo

    Nampenda Mtangazaji wa Tv I Mimi Mars

    Huyu Binti Mrembo Mimi Mars wa TV1 ananikoga moyo kwa umahiri wake Wa kipindi cha Weekend Gossip Hakika anaweza kipindi kwa jinsi anavyotia ladha. Watangazaji wengine Wa kike igeni mfano wa huyu Binti Huwa naacha kila kitu kumsikiliza. Mwenye CV yake please naomba.
  20. Inanambo

    Kuna haja ya kuwafanyia wakazi wote wa Dar es Salaam registration

    Leo nimemsikia mkuu wa polisi kanda maalum ya DSM akiwataka kwenye nyumba kuweka picha ya mpangaji kwenye mikataba. Hii itasaidia utambuzi kwenye uhalifu. Kwa maoni yangu napenda kumwambia mkuu huyu kuwa wahalifu DSM si wapangaji tu. Kuna tabia iliyojengeka hapa mjini ya majirani kutofahamiana...
Back
Top Bottom