Search results

  1. Inanambo

    Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

    Kindly man🤦🤦gunned down 🙆🙆
  2. Inanambo

    Ubabe wowote ule kuhusu suala la NHIF utazidisha mgogoro

    Kama Walivyolazimisha Wastaafu walipwe Mafao ya Kikokotoo. Hii Nchi haina Huruma Kwa Wazee na Wagonjwa
  3. Inanambo

    Kwa jinsi Waziri wa Afya alivyokuwa na maono, kinachofuata ni kuongeza makato kwa wachangiaji

    Hakuna Sector iliyosaidia Serikali kutoa Afya Kwa Wananchi kama Private hospitals. Huduma zao zilindwe na kuheshimiwa. Hivi mlishawahi kuumwa ukaenda Amana au Temeke au mwananyamala? Huko maybe Wana Huduma nzuri Kwa Martenal Health tuu. Msongamano mkubwa Daktari anakulipua ahudumie Wengine...
  4. Inanambo

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Sawa ngoja tukajipange huko Mwananyamala, Temeke, Mabwepande na Palestina hospitals tukisubiri Huduma za X-ray, Usb, echo, ECG, holter monitor, trademill, MRI, ctscan, dialysis, physiotherapy n.k
  5. Inanambo

    Kama mbunge analipwa mshahara kama watumishi wengine kwanini mbunge akistaafu anapewa pesa zote huku watumishi wengine ni 33%?

    Mtumishi WA miaka ya 84+ atajipanga Kwa Mishahara UPI na Marupurupu yapi? Wee umeanza kazi 2015 unaanza na Mshahara 1.5m. Sawa na Mshahara WA aliyeko kazini miaka 35. Lazima utaongea Pumba hizi bcoz Kwa Mshahara huu Una uhakika wa Gari, Nyumba na Miradi.
  6. Inanambo

    Wastaafu wasirudishwe kwenye ajira

    Vijana Kibao wamelazwa JKCI wanasumbuliwa na Cardio, Kisukari na Figo . Wengi wamekufa unaowajua. Usibeze Wazee. Mbona Museven yupo imara. Trump mgombea ajaye 70+. Mama 60+ anatawala na unamsema anaupiga mwingi. Tafuta kuingiza Kipato waache Watumishi wanaotumika according to Sheria na Muongozo...
  7. Inanambo

    Wastaafu wasirudishwe kwenye ajira

    YAni Una mdiss Mstaafu kama vile Wewe hautastaafu. Usipostaafu utakufa au utafukuzwa kazi. Kustaafu ni Heshima na Baraka siyo mwisho wa Maisha. Jani la Njano haliwezi kucheka Jani kavu.
  8. Inanambo

    RPC, Wakili Kibatala walivyochuana kesi mjane wa Bilionea Msuya

    Tayari. Watuhumiwa wako huru. Washtaki wameshindwa kuzibitisha beyond reasonable doubt" uhusika WA WiFi na Mwenzie😭😭
  9. Inanambo

    Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    Ushahidi wa Simu ya House Girl ulikuwaje? Huko Mitandaoni hawakugundua House girl alikuwa anawasiliana na Nani? Hadi kufikia kuambiwa ondoka akapewa 20000 tau?? Au ushahidi huo umetupiliwa mbali??😭😭😭🙆🙆
  10. Inanambo

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    Mna Tabia ya kutukana Personality za Watu. Ndiyo kisa hata Marehemu Fulani hivi mlikuwa mnatukana hadharani mkimuita Mgonjwa wa kujinyea. As a result hakuna aliyewakanya hadi Leo kutukana Wazee na Wagonjwa ili mpate Kura. Siyo poa. Majambazi Wote walihukumiwa Jela au kuuwawa. Lena alishawahi...
  11. Inanambo

    Askofu Malasusa ataisambaratisha KKKT

    Dua la Kuku halimpati Mwewe.
  12. Inanambo

    Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

    Usituchafulie KKKT please. Tofautisha Tania za MTU Binafsi na kundi.
  13. Inanambo

    Aibu: Viongozi wote wa CCM, wastaafu na sasa wanaogopa kusema hadharani kwamba Lowassa alihamia Chadema na kugombea Urais 2015

    Kwa hiyo Waliosema anajinyea pale Geita na hafai kuwa Amiri Jeshi , Ikulu hakuna Wodi za Wagonjwa Leo ni Machapakazi na Shujaa.
  14. Inanambo

    Aibu: Viongozi wote wa CCM, wastaafu na sasa wanaogopa kusema hadharani kwamba Lowassa alihamia Chadema na kugombea Urais 2015

    Mpaka Kanisa watenda Haki, wenye hofu ya Mungu hawajasema. Pale Azania Front hawakuzubutu kumtaja Mbowe atoe Salaam. Alitajwa mwishoni Kabisa na Chaplain WA hapo. I miss Bagonza na Shoo wangesema.
  15. Inanambo

    Aibu: Viongozi wote wa CCM, wastaafu na sasa wanaogopa kusema hadharani kwamba Lowassa alihamia Chadema na kugombea Urais 2015

    History itaandikwa Wakati wa Mazishi hawakusema aligombea Urais kupitia Chadema
  16. Inanambo

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Watu wakishastaafu hawezi kuonana tena kama Kundi. Halafu ni Wizi tuu Wastaafu Kwa Mwaki hata 5 hawafiki. Kwa Nini wasingetengewe pesa Yao ya Mafao ya Mkupuo kama ilivyokuwa Zamani? Anyway Mifuko ya Hifadhi imetumia Fedha za Watumishi kuwekeze Kwenye miradi isiyolipa . Eg Majengo ya Pspf, Lapf...
  17. Inanambo

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Wenye Maandamano Msisahau Bango la Kuibia Wazee Wastaafu Kwa Gia ya Kikokotoo. Wazee walipwe Stahiki zao sio kuwapangia.
Back
Top Bottom