Search results

  1. Wyatt Mathewson

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Nimekusoma Ila unapenda ndoa jamani,...yaani i can feel it through your text lines here Mumeo kapata mke for sure
  2. Wyatt Mathewson

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Nimekuelewa Wewe shida yako ni ndoa kama ndoa Ni sawa,ila haimaanishi ilikua ndoa mahaba niue,kama ingekua hivyo atleast ukimwi usingekuwepo ndani humo to begin with! Wote hao akina kibonde sijui ruge sijui habash,etc sio mifano ya maisha kabisa
  3. Wyatt Mathewson

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    hakuna cha ajabu hapo dada Heaven..wote walikua wagonjwa,kaanza wa kwanza kwenda wa pili ni lazima afate right away Hakuna sijui cha vows,sijui anampenda sana and other story za kufikirika.....mortality imewakuta kaanza mmoja huyu mwingine hatachukua round Ndoa na blah blah zingine ni...
  4. Wyatt Mathewson

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    hii haitoi fact yeye na mkewe wote walikufa kwa ngoma regardless unawapamba kupita maelezo....
  5. Wyatt Mathewson

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    na wote wamekufa na ngoma thats not a very good list bro tupunguze unafiki
  6. Wyatt Mathewson

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Sina imani kama wewe Wewe ndio unatuaminisha unacho amini wewe Nikuulize tu Bwana Kitali,tupo hapa tuna discuss mambo ya kidunia,tunatoa hoja za kidunia....yanini umetumia imani zako binafsi za kidini kudiscuss mjadala huu ambao hauhusiani na dini kabisa? Kulikua na haja gani? Kama sio...
  7. Wyatt Mathewson

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Mkuu naona dini ishakuaharibu rationality na uwezo binafsi wa kufikiri tayari Huwezi kua extreme hivi na kutukana kiasi hiki kisa eti unatetea biblia Tuseme Mkuu Kitali as you are now,unaweza kunipiga panga sababu tu nimedharau mumbo jumbos za kwenye biblia,halafu kumbuka mi jirani yako wa...
  8. Wyatt Mathewson

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    Mkuu Kitali hivi unaamini hizi story za kijinga hivi za kwenye biblia? Duh maajabu haya Halafu akina Kitali ni very brainy nakaa nao jirani Moshi kijijini kule...very very bright
  9. Wyatt Mathewson

    Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Wazo la kijinga sana Baada ya miaka 100 utaunganisha Morogoro na Tanga iwe tena Dar es Salaam maana kote pakua pamejaa? Solution hapa ni kuendeleza miji mingine nayo iwe mizuri kama Dar watu wahamie au kubaki huko wasilazimike kuja Dar ili Dar isijae ipumue Cha msingi ndio hicho,lazima kuwe...
  10. Wyatt Mathewson

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    kila mtu apate hiyo elimu kutegemea na mahali maisha yamempeleka working class haiwezi fundishwa financial education ya banker au mfanyabishara mkubwa jifundishe mwenyewe ila kimtaala ni kwamba wengi wa wananchi wanahitajika wawe working class,hivyo elimu per mtaala na kujibia mitihani...
  11. Wyatt Mathewson

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Yaani mkuu una nichekesha sana Wewe kua masikini ndio kunafanya mfumo ufanye kazi sawa sawa Na pia hilo jukumu la kugeuza benki ni chuo cha kufundisha wanadamu sijui umetolea wapi hasa? Jukumu la benki ni kibaraka wa serikali kukusanya amana na kukopesha watu wenye akili kwa niaba ya serikali...
  12. Wyatt Mathewson

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Ni kweli mkuu tujenge utamaduni wa kusema wazi wazi hakuna sugar coating Upo sawa kabisa
  13. Wyatt Mathewson

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Mkuu Benki haipo hapa kutoa "Elimu",ipo hapa kufanya biashara Wewe kutokujua ku-claculate hata riba ni very good for the bank business na sio kazi yake kukuelewesha anything Walimu na hao wengine wanakopa kwa consumption Ulaghai wa kmapuni za mikopo mi siuoni...kama wewe unakopa kwa ajili ya...
  14. Wyatt Mathewson

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Mkuu unashindwa kuelewa Benki sio mama yako Bank is there to do business na ukifa ni ajali kazini kama zilivyo hospitali unaenda ukiumwa wanapiga hela na ukifa wanapiga hela Wewe kama unaona kua tajiri unaumia sana acha kaa group la masikini na lalamika vizuri Serikali,Banks na Matajiri wapo...
  15. Wyatt Mathewson

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Kila mtu akiwa mjanja na kila mtu akawa na pesa nani afanye kazi kufanya uzalishaji nchi iende mbele? Lazima wasiokua na pesa wawepo waajiriwe wajenge huduma na bidhaa nchi iende mbele Sasa kila mtu awe na pesa,kila mtu awe tajiri,NANI AFANYE KAZI mtaroni nchi iwe safi? Wasiokua na pesa wawe...
  16. Wyatt Mathewson

    Asanteni wana Kawe, wana Mapinga Bagamoyo, Watanzania na Hodi Kampala na Uganda

    Hii ni TZ-UG tu Ingekua ni TZ to say Australia? JF nzima ingezimwa zingekua ni uzi tupu za safari What the fvck is this man?
  17. Wyatt Mathewson

    Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

    Hoja nyepesi Kuielewa sio kwamba nimekubaliana nayo Wewe ni mwehu leo unatumia sababu ya "kabila" kesho utatumia sababu ya nini? Utajiri?Umasikini?Dini?Rangi?Occupation?etc Kafie huko
  18. Wyatt Mathewson

    Orodha ya makabila yaliyojaza sehemu mbali mbali DSM

    Cha kwanza na wewe ni mbaguzi kama sisi wabaguzi wengine lakini still una mbavu za kunyooshea wengine kidole Kwanza umetaja "mikoa ya watu" maana yake unabagua wengine which means ni kama ukabila tu Kununua ardhi mahali au kupata ardhi ni umauzi wa mtu na mfuko wake,huwezi pangia mtu mfuko...
Back
Top Bottom