Search results

  1. kubwi

    Akili kubwa zinavyo handle migogoro

    Yanafaa kwa kuliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kubwi

    Namna Wazungu walivyotokea duniani

    Asante ila pua ndefu ya kitasha inatoka wapi au nayo ilivutwa na baridi?? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kubwi

    Sio Sahihi: Waasia na Wamatumbi Wote Kuitwa Watanzania?

    Rangi nyeusi kwenye Bender's ya taifa inamaanisha nani.mtanzania ,mwafrika au yeyote mweusi???? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kubwi

    Hii ndio sababu herufi za jina ambulance kuandikwa kutoka kulia kwenda kushoto

    Ninayasoma ila sijatafalari Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kubwi

    Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kibarua naomba msaada wake

    Mungu hamwachi mwenye nia ya dhati.japo pa kuanzia pengine panahitaji ujikane.kuna mjumbe ametaja masuala ya shoe shine nk. Utafanikiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kubwi

    Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kibarua naomba msaada wake

    Hapa Niko tabora ugunga.Nina mwalimu mmoja ni freelancer Airtel na Vida.mwingine ana genge LA matunda gharama kama 1.5million. Nadhani tumesha badili mawazo tangu Oct 2015,degree kwa sasa ni kwa ajili ya kulima bustani ya nyanya. Use your education to innovate other areas of life.hata hivyo...
  7. kubwi

    Mto Kongo na Maajabu yake

    Acha watweleze wahenga Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kubwi

    Mto Kongo na Maajabu yake

    Hebu nisaidieni swali hili jamani Congo DRC ni tofauti na Congo Brazzaville??? Na maraisi wao ni tofauti?? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kubwi

    Kutembelea SCOAN

    Mimi sitarajii kwenda mapema ila ni mdau wa damu.wengi tunakwamishwa na nauli.Agnes utafika kabisa .cha msingi ungana nae kwa sela ya kanisa ''distance is not a barrier'' Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kubwi

    Mfahamu Ryan White kijana aliyegusa hisia za wengi

    Mie nimemjua Leo ila nimesikitishwa jinsi alivopata shida hiyo. Inatufundisha kuwa uhai wetu uko mikononi mwa Jehova tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kubwi

    Kazi ya usimikaji wa nguzo za Umeme utakaotumika kuendesha treni za kisasa zitakazotumia Umeme na Reli ya kisasa - SGR imeanza

    Ngano isipoanguka ardhini ,ikaoza,hukaa hivyovyo. Ikianguka ardhini,ikaoza huzaa sana. We must suffer first.
  12. kubwi

    Meditation sio kwa waamini....

    Nadhan uko sahihi.imani ni kwa waliookomaa huenda baada ya kupitia mazoezi mengi ya meditation. Vilevile kufikia hatua ya kuwa na imani timilifu ni mchakato unaihitaji meditation.
  13. kubwi

    Kuacha kazi ya ualimu kusomea kodi

    Da!!!nimepitia Ka Uzi haka.kana utata. Kuna hekima niliipata mahali ,inasema.''ukienda mji wowote Tanzania usimkute mchaga,hama haraka maana hapafai na hautopaweza''ikimaanisha those people are talented to utilise fully resources .ukisema hapafai mwingine anasema panafaa. Ushauri wangu::tumia...
  14. kubwi

    Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    Ulikuwa unakujakuja kea mbali.basically kuamini tunapokea kabla ya kuona.hata wana falsafa wanakubali juu ya vyanzo vya ufahamu/sources of knowledge ,authoritative, imperial,intuitive,ns revelation. Sisi wanadini tunatumia saana hiyo ya mwisho. Si kwamba hatuwezi kuhoji.na tunahoji ila tunabaki...
  15. kubwi

    Aibu ya kufungia mwaka: Mchungaji afumaniwa kanisani akioa mke mwingine

    Mama mchungaji nakuuliza kwa nini ukaondoka nyumbani kwa mchungaji .ulitegemea akitaka ndoa aipate wapi???he,wewe ulipoondoka ukaenda huko haukutoa Mali(I call it a soda or chips) kwa wengine??? Kama hilo ulikuwa sawa,je, ulifanya kwa kumwadhibu mchungaji???if so ,una hukumu kubwa zaidi. Wewe...
  16. kubwi

    Rose Muhando amelazwa hospitalini nchini Kenya, katika chumba cha uangalizi maalum ‘ICU’

    Ndugu zanguni kila mmoja wetu amewahi kukosea hatua Fulani katika maisha.Asiyelijua jaribu ,ana Uhuru Wa Ku beza.Mungu alimfufua Lazaro ,anaweza kumwinua tena.liko tumaini bado.
  17. kubwi

    Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    Mungu mwenyewe anatisha. KAMWAMBIA MUSA MWANADAMU HAWEZI KUNIONA AKAISHI.
  18. kubwi

    Mwenye uelewa haya ni Madini gani?

    Da matobolwA ya tabora
Back
Top Bottom