Search results

  1. kikiboxer

    RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

    Kuna msanii mmoja nimeona ameenda kuaga na mabaunsa wa 5 msibani.
  2. kikiboxer

    Hashim Rungwe: Hayati Magufuli alikuwa anachukua pesa za umma na kuwapa wapinzani kumuunga mkono

    kwani tunafanya mapenzi au kazi? kwanza nimpende ili iweje? naipenda kazi sio boss. Wewe ni mtoto wa kike mpaka ufanye kazi na boss unaempenda?
  3. kikiboxer

    Hashim Rungwe: Hayati Magufuli alikuwa anachukua pesa za umma na kuwapa wapinzani kumuunga mkono

    Wewe ndio huna akili za kung'amua alichosema Hashimu. Sikiliza tena pengine unaweza kuelewa. Kwa kukusaidia ile ni kazi ina descriptions na kila kitu si lazima umpende raisi ndio ufanye kazi. Wewe kazini kwako ni lazima umpende boss wako?
  4. kikiboxer

    Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Faida ya hii biashara ikoje wakuu?
  5. kikiboxer

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Jamaa kakomaa hasa kupata uteuzi, katoka kuwa mwalimu mpaka kuwa DED sio mchezo ghafla watu wanaharibu kitumbua.
  6. kikiboxer

    Alarm ya mafuta kuflash

    mkuu weka mafuta hata ya 50k acha ubahili.
  7. kikiboxer

    Siku ya Familia 15 Mei Yaja

    Mh hongera,huwa ukipata jambo la kushughulikia huwa unatekeleza kwa haraka nakupongeza kwa hilo.Ongeza juhudi zaidi kwani matatizo bado yapo.
  8. kikiboxer

    Kwa sasa kuishi Dar es Salaam ni utumwa na mateso makubwa mno

    kwakweli Dar foleni ni shida. kwa wale wapanda daladala sijui hata kama huwa wanabakisha nguvu za usiku. Mimi ninatumia pikipiki walau inanipa flexibility ingawa msimu huu wa mvua kidogo ni changamoto. Ndani nina Mark ii huwa ninaitumia week end tu na inapolazimu. Juzi nilitoka nayo kwenda...
  9. kikiboxer

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    mkuu usijidanganye kwamba insurance italipa mkopo wako endpo uta default no, ni pale ukishindwa kulipa mkopo tokana na matukio ya aidha umepata kilema au umekufa. Lakini kama una dunda mtaani mali itauzwa tu.
  10. kikiboxer

    Mtazamo wangu: Arsenal atamaliza bila taji msimu wa 2023/24

    haya njoo hapa ujitetee fala ww. kazi kutukana watu choko baba yako mzazi
  11. kikiboxer

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    dogo acha siasa watu wanapigana vita kushinda haijalishi kanuni. mara kadhaa hapa Russia anatishia kutumia nuclear naye hajui kanuni?
  12. kikiboxer

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    huo ni utaratibu wake hajachaguliwa na mtu pakupiga. Israel nae akijibu kwenye majengo asilaumiwe
  13. kikiboxer

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Ngoja tuone hii vita badae tusije kusikia Israel anaua watoto na wanawake. Uzuri bado tupo.
  14. kikiboxer

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    mkuu nipe A,B,C za kudhibiti wanakamati kama C.A.G natarajia kufanya hii shughuli siku sio nyingi.
  15. kikiboxer

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    mkuu wana kamati wanapigaje kama hutojali unisaniue mapema ninatarajia mwezi wa sita kubariki ndoa.
  16. kikiboxer

    Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

    kaanzisha kanisa lake? kwa sikuhizi kanisa ni investment km investment zingine. Inawezekana kaona fursa itayomlipa baadae. Kuhusu hilo la mumewe huyo dada aseme ukweli aache kusingizia hiyo kazi ya kanisa.
  17. kikiboxer

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    wake up mkuu badirika li timu litakupa pressure hili. Mimi sikuhizi hata sina time. kocha huyu tumepigwa hakuna kitu
  18. kikiboxer

    Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

    sasa kama shida inakuja kwny kodi unadhani kwanini tunakubishia? utaliendeshea Japan? are you insane?
  19. kikiboxer

    Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

    Coaster showroom hupati kwa bei hiyom
Back
Top Bottom