Search results

  1. Suleiman hatibu

    Nawezaje kujitoa kwenye kesi ya madai niliyoianzisha?

    Nikiwa kama mpeleka maombi mahakama kuu kuhusu kesi ya madai sasa sioni sababu ya kuendelea na kesi nataka kujitoa, Je nafanyaje? Na kesi bado haijaanza kusomwa. NAOMBA MSAADA WENU NAMNA YA KUANDIKA BARUA AMA MAELEZO YA NAMNA YA KUJITOA
  2. Suleiman hatibu

    Naomba ushauri kuhusu matokeo haya

    Kijana wangu amepata four ya 29 Na matokeo ndio kama nilivyoyahainisha Anaweza kusomea ishu gani? plz naomba muongozo wenu wakuu CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'F'
  3. Suleiman hatibu

    Msafara wa CUF wazuiliwa na Polisi usitoke nje ya Newala kuendelea na ziara ya ufunguzi wa matawi

    BREAK NEWS Habari za hivi punde Msafara wa wabunge wetu unao ongozwa na Makamu mwenyekiti CUF bara umezuiliwa na police usitoke nje ya newala Leo kuendelea na ziara ya ufunguzi wa matawi na vikao vya ndani ya chama ktk ratiba yake Leo kuelekea Tandahimba Polisi mtaendelea kutumiwa na ccm hadi...
  4. Suleiman hatibu

    Cuf yazindua kauli mbiu ya haki na furaha kibabe

    Mwenyekiti wa chama cha wananchi cuf prof ibrahim LIPUMBA leo amezindua kauli mbiu ya haki na furaha 2019/2020 lipumba akiambatana viongozi mbalimbali wa kitaifa aliwahutubia maelfu ya wanachama wa mkoa wa dar Wale wanaosema cuf imekufa baada ya yule kiajuza cha zanzibar kwenda act hakika...
  5. Suleiman hatibu

    Prof Lipumba kuzindua sera ya furaha na demokrasi yenye misingi ya haki sawa kwa watu wote

    Jumamosi hii ya tah 22,saa 2 asubuhi pale kwenye ukumbi wa Diamond jubilee Mwenyekiti wa CUF ambaye ni mwanasiasa msema kweli. Prof Ibrahimu Lipumba atazindua sera ya furaha na demokrasia itakayozingatia misingi ya haki sawa kwa watu wote. Hakika huu ni ubunifu na ni mpango wa kukiweka tayari...
  6. Suleiman hatibu

    Lipumba kuzungumzia bajeti ya Serikali ya CCM kesho

    Chama cha wananchi CUF kinawataarifu wanaCUF na Watanzania wote kwamba kesho, Tah 15/6/2019 Saa 3 asubui Yalipo makao makuu ya CUF-buguruni Mwenyekiti wa CUF na bingwa wa masuala ya uchumi africa na duniani..Prof Ibrahim LIPUMBA ataongea na vyombo vya habari kwa maudhui ya kuichambua bajeti...
  7. Suleiman hatibu

    naomba kupata elimu

    HABARI WAKUU heshima iwe kwenu,naomba msaada wa kupata product key ya microsoft office 2007 inayakayoifanya ifanye kazi bila mizengwe...nimekwama plz
  8. Suleiman hatibu

    CUF yajipanga kuelekea chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu

    PROF LIPUMBA ATEUA JESHI LAKE LA KUINGAMIZA CCM KUELELKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NA UCHAGUZU MKUU WA MWAKA 2020 Mwenyekiti wa cuf Prof Lipumba baada ya kushauriana na Makamo Mwenyekiti wa Zanzibar Abbas Juma Muhunzi na Makamo Mwenyekiti wa Tanzania Bara Maftah Nachuma amewateua wafuatao...
  9. Suleiman hatibu

    Kwa uchafu huu kinondoni tutapona kweli

    Hali ni mbaya sana ya uchafu katika baadhi ya maeneo yetu ya manspaa ya kindoni Dar es salaam: Kufatia Agizo la manspaa kutaka makusanyo yote ya wakazi yapitie uko kwao ivyo wakandarasi wote wamegoma kuzoa taka mpaka utaratibu wao wa zamani uendelee. Wa kati wowote kuanzia sasa kutalipuka...
  10. Suleiman hatibu

    Ushauri wa haraka unaitajima

    Nina mke lakini nina kidum changu ambacho kinaniliwaza haswa Jana tulitofautiana kidogo kwa kupishana kiswahili,leo hii kwa hasira zangu nimerudi hom pasipo kumtembelea nyumbani kwake, kitendo hicho kimemkasirisha sana kiasi cha kufikia kutaka tuachane Kwa kweli akili yangu haikubali kumuacha...
  11. Suleiman hatibu

    Pingamizi zito dhidi ya mgombea wa CHADEMA kutoka kwa mgombea wa CUF

    SALUM MWALIM [CHADEMA] ''OUT'' KUGOMBEA JIMBO LA KINONDONI APINGWA PINGAMIZI ZITO . NI PINGAMIZI ZITO LA KISHERIA KUTOKA KWA MGOMBEA MAKINI MHE RAJAB SALIM JUMA. . Ni masaa matatu yalitosha kupitia FOMU za mgombea wa chadema Ndugu Salum Mwalimu na kugundua makosa chungu mzima kwenye FOMU...
  12. Suleiman hatibu

    CUF yazindua kampeni jimbo la Kinondoni

    Chama cha wananchi cuf,leo tah 21/1/2018 kimezindua kampeni zake jimbo LA kinondoni katika viwanja vya Ali mapilau Kata ya makumbusho Uzinduzi huo uliohanikizwa na burudani mbalimbali na uliuzuliwa na mamia ya wananchi wa jimbo hilo Akiongea kwa kujiamini mgeni rasmi wa uzinduzi huo Mh Abdul...
  13. Suleiman hatibu

    CUF yachukua fomu jimbo la Kinondoni

    Mh. Rajabu Salum mgombea wa CUF jimbo la kinondoni Leo amechukua fomu rasmi. Mgombea huyo amekamilisha zoezi la uchukuaji wa fomu akiambatana na viongozi mbalimbali wa Wilaya na taifa akiwepo Mh. Abdul Kambaya. Mbali na uchukuaji wa fomu, wafuasi wa CUF waliojazana mbele ya ofisi ya Manispaa ya...
  14. Suleiman hatibu

    CHADEMA kusimamisha mgombea jimbo la Kinondoni?

    Mimi ni mkazi wa jimbo la kinondoni nakaa Kata ya tandale maeneo ya mtogole Jana usiku maeneo haya ninapoishi mida ya saa tano mpaka saa sita usiku kulikuwa na kikao cha chadema kilichofanyika kwenye nyumba ya jirani yangu,mwanzoni sikujua kama ni kikao cha chadema,lakini leo jioni wakati...
  15. Suleiman hatibu

    CUF: Taarifa kwa umma na vyombo vya habari kuhusu uteuzi wa CCM kwa jimbo la Kinondoni

    THE CIVIC UNITED FRONT) CUF - Chama cha Wananchi) TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UTEUZI WA CCM KWA JIMBO LA KINONDONI Waheshimiwa Watanzania, tumepigiwa simu na Wanahabari kutaka kujua msimamo wa CUF kuhusu uteuzi uliofanywa na CCM dhidi ya Maulidi Saidi Mtulia kugombea Jimbo la...
  16. Suleiman hatibu

    CUF mchaka mchaka uchaguzi wa mdogo

    Lipumba aendelea na kampeni zake jimbo la longido!! Leo ilikuwa zamu ya namanga,wananchi wabaki vinywa wazi baada ya kusikia maneno yaliyojaa nguvu ya hoja haswa katika eneo la uchumi Uchumi ulikuwa unadadavuliwa kitaifa na kimataifa.. Ngoma itakavyopigwa ndivyo itakavyochezwa
  17. Suleiman hatibu

    Seif Sharifu na mpango mfu

    Sefu sharifu hamadi mbona unatuchanganya!! Mbona unatafuta suluhu na ccm au ndio mataifa walivyokuagiza?
Back
Top Bottom