Search results

  1. Gwangzu

    Hivi huu mgao wa umeme ni kwa mkoa wa Tabora pekee au?

    Huku mkoa wa Tabora yaani Umeme katika wiki mbili Leo ndio umeshinda asubuhi mpaka saa 10 saahizi wamekata. Sasa hivi kila siku asubuhi kuanzia saa 1 wanakata kuja kurudi ni saa 6 usiku [emoji24] KAMA TATIZO NI MABWAWA KUKOSA MAJI TAFUTENI HATA UMEME WA NUCLEAR KWA KIM JONG HOOO KULE WA...
  2. Gwangzu

    Taja msemo mmoja wa "Dj afroo amigos"

    Arrrrrlight Asante sana Aaahhh nistairi Moja tena maridadi zaidi tunakwingilia kaskazini mashariki kusini mwa India tunakutana na alie starling kwenye HOLO SINEMA..... [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Gwangzu

    Naomba support yenu wadau

    Habari za muda huu wakuu... Mimi ni Mdau wa jukwaa hili la technology nimefungua channel Kule youtube inayohusu ma.Game na teknolojia kwa ujumla ninaomba support yenu kwa kusubscribe channel yangu ya youtube inaitwa SWAHILI ZONE na kushare video zangu huwa naweka maelekezo jinsi ya kudownload...
  4. Gwangzu

    Hivi ni kweli??

  5. Gwangzu

    Hii nayo kwa Vodacom mmezidi

    Yaani leo nimefungua ile Menu yao nijiunge bando la buku nimekuta eti Mb 350 ndio kwa buku Hadi nikajua nimekosea ngoja nirudie tena duh kumbe ndy ilivyokuwa. Yaani jana2 nimejiunga kifurushi cha Kanda ya ziwa kwa buku ni Mb GB 1 dakika 100 all network sms 100 Siku 2. Duh yaani kesho naenda...
  6. Gwangzu

    Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

    Wakati wanasayansi duniani wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya corona, rais wa Madagascar Andry Rajoelina amezindua dawa ya mitishamba ''inayotibu'' Covid-19 . Hata hivyo Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema kuwa hakuna ushahidi wa tiba ya Covid-19 baada ya Bwana Rajoelina...
  7. Gwangzu

    Coronavirus: tupia picha | tuone hali ilivyo huko china

    Tushare kwa picture hali ilivyo huko china; *soon nawaletea pictures*
  8. Gwangzu

    Nani anajua maana ya haya maneno...

    Wakuu naombeni maana ya maneno haya:- -Kuna anaejua alafu anajua kuwa anajua. -Kuna anaejua alafu hajui kuwa anajua. -Kuna ambae hajui na anajua kuwa hajui. -Na kuna ambae hajui na hajui kuwa hajui.
  9. Gwangzu

    Wakuu, nauli ya kutoka Dar es salaam mpaka Seoul,South Korea yaweza kuwa ni kiasi gani?

    W akuu habarini za saahizi? mimi sio muongeaji sana ngoja niende kwenye swali direct kama headline inavyo someka naomba kufahamu nauli ya ndege kutoka Dar-es-saalam to seoul, south korea - Go and return na jinsi ya kupata visa na passport maana nataka kwenda kufanya matembezi ya mwezi mmoja huko...
  10. Gwangzu

    Hivi hawa marefa wa kibongo huwa mna watoa kijiji gani?

    Dah! yaani nilitamani kuvunja video pale nilipoona refa anaongeza dakika 7' tukio hili limesababisha kuwavunja nguvu wachezaji wa jkt na kuweza kufungwa,, Ila Simba Sc mmebebwa na refa! dakika 7' si bora angeOngeza hata 4'
  11. Gwangzu

    Kitendawili,, Kitendawili: Ameshinda Lakini Katoka..???

    Nipeni Jibu,, Mkishindwa Nipeni Mji;
  12. Gwangzu

    Tips za leo

    tarehe 19/12/2018 arsenal draw no bet Chelsea GG bayern munich over 1.5 first half GOODLUCK [emoji94]
  13. Gwangzu

    HIZI NDIO KAMPUNI ZA KUBET TANZANIA

    Hizi ndio Kampuni za kubeti tanzania
  14. Gwangzu

    Mchezo wa kamali wa bonanza

    Kuna huu mchezo mpya unaitwa bonanza a.k.a Dubu ni mchezo mpya wa kamali umeletwa na wachina,watu wengi mnanaufam. huu mchezo ningeomba serikali muwaambie hao wachina waweke sehemu maalum ya kuchezea sio ovyo ovyo kila mahari watu wanacheza hata vichochoroni, Unakuta watoto hawaendi shule...
  15. Gwangzu

    Tecno yangu 305 nikiingia jamii forums naambiwa javascript is disabled nini tatizo?

    Yaani tangu wa apdate tuu hii web aplication basi mimi na JF sio marafiki tena nilikuwa natumia smartphone nikaiuza sasa huwa natumia ka tekno ila tangu wa apdate tuu hii web nimekuwa nikiingia jf naambiwa javascript disabled [emoji36] NB.Jamii forums toweni hiyo javascript watu watumie JF na...
  16. Gwangzu

    Msaada jinsi ya kudownload GTA kwenye cm ya android

    naombeni link ya Kudownload gta yenye mb kidogo na stolage kidogo then mtufahamishe jinsi ya kulidownload kwa faida ya watu wote hata wale wanaotembelea google kufahamu kujua jinsi ya kushusha gta nadhani nimeeleweka vyema
  17. Gwangzu

    Hivi tutorial gan nitatumia kucode web kwa kutumia Html na Css

    Ningependa kujua hv tutoria ipi ambayo nitaweza kudesgin web kwa html na css au unalipia kwanza wordpress ndio unadondosha code?. please kama haufahama sivyema ukaleta maneno ya kejeli!
  18. Gwangzu

    Ijue Nauli Ya Kutoka Dar Kwenda Seoul

    Kwa Miezi Kadhaa Nimekuwa Nikifuatilia Kujua Ni Kiasi Gani Cha Pesa Kutoka Dar Mpaka Seoul South.Korea Sasa Nimefanikiwa kujuwa. Kutoka Dar Kwenda Seoul Ni Million Mbili Na Kidogo Hv Za Kitanzania lakini Inategemeana Na Msimu, Kuna Muda bei Inapanda Na Kushuka!. GOODLUCK
Back
Top Bottom