Search results

  1. okaoni

    Taifa stars vs Central African Republic inaanza saa ngapi?

    Hivi hawa marefa wa Tanzania wanafikiria kutengeneza CV ya kimataifa kweli? Yani kipa anadaka miguu ya mchezaji wazi wazi anapeta? Yaani hawana tofauti na waamuzi wa ngumi za vitasa
  2. okaoni

    Kuuawa kwa majenerali wa Urusi na vita kuchukua muda mrefu ni ishara kuwa jeshi hilo halina uwezo unaosemwa

    Huyu Raisi wa Ukraine anaendesha vita kikomrdy. Anamdunda mtu halafu anapiga kelele yeye kuwa anapigwa.ni sawa na mwanamke anamdunda mumewe lakini kelele anapiga yeye ananiuaa
  3. okaoni

    Ushauri: Mke wangu kaondoka usiku huu

    Dah ukiwaona wanavyonyenyekea siku ya harusi, hasa wanavyopeleka keki kuwalisha wakwe goti mpaka chini, sasa subiri akusome madhaifu yako apate na waalimu kutoka kwenye vikundi vya hisa 😀😀😀
  4. okaoni

    Baada ya Wakenya kushindwa kupambana na muziki wa Tanzania, sasa wanaomba kushirikishwa katika "Bongo Flavor"

    Tatizo manyimbo yao mengi wanaimba kilugha, na kutokana na ukabila ulivyo kwao umeingia mpaka kwenye mishipa ya damu hivyo wanaona malugha yao ya kienyeji ni ya maana sana na nyimbo hizo ambazo hazina tofauti na ngoma za kienyeji kushindwa kuteka nyoyo za mashabiki nje ya jamii zao
  5. okaoni

    Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

    Ndio hayo hata yakienda hotelini unakuta yamejazana counter pale yanachagua " nipe hiro...aah hiro siritaki ...." hovyo kabisa mwanaume mwenye akili unaagiza unaletewa umekaa na kutulizana na aliyekuhudumia una msifu hata kama chakula kibaya na ikiwezekana unampa tip kama keep change.....hiyo...
  6. okaoni

    Diamond Platinumz na kauli za kutatanisha katika “ reality show” ya Young, Famous and African

    Kafukuza wanawake wenye akili , wasomi na waliokuwa wanamfundisha kiingereza na exposure, muonekano na kujibihave kimataifa akina madam Sepetu, Zari na tanasha anaende kuchukua waimba taarabu huko mchambawima unatarajia atamfundisha kizungu?
  7. okaoni

    Wachina nao ni wabaguzi?

    Ukiona jamii yoyote kwenye suala la mahusiano na ndoa ni wao kwa wao na hawagusi kabisa jamii yenu ijapokuwa watazuga kushirikiana nanyi kwenye mambo mengine Ni wWABAGUZI wa kupindukia. Ubaguzi wa watu wa Asia ni tofauti kabisa na ubaguzi wa kizungu ambao kwao mahusiano na ndoa hakuna masharti...
  8. okaoni

    Mdogo wa kike wa Mke wangu ana tabia ya kutusikiliza tukiwa tunafanya mapenzi

    Mtahadharishe na mkeo aache kupiga makelele yanayokwenda mbali, inaamsha hisia kwa watoto na familia unayoishi nayo, akidhani anakufurahisha, kuna siku utajikuta umemomonyoa maadili ya familia nzima, maana watashindwa kulala kwa hizo kelele za mahaba na wakiamka wataenda ku practice hisia...
  9. okaoni

    Marejeo: Naomba Mnisaidie kimawazo, kaka yangu kahukumiwa miaka 30

    Doctrine of resent possession, epuka kununua vitu kwa watu, nenda dukani hata kama ni bidhaa dhaifu, dai risiti risiti sio kielelezo cha kulipa kodi tu bali ni kithibitisho cha umiliki halali. Kama unanunua mitaani hakikisha anayekuuzia unamfahamu na lazima muandikishiane kwa wakili au...
  10. okaoni

    Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

    Aliyekuambia zumaridi ni mkristu ni nani? Yeye hamtambui Yesu wala muhamed. Hatumii biblia wala Quran. Wateja wake ni ma murtad wa kiislam , kikristu na kipagani. Hata aliyesababisha hili sakata likafikia hapo ni mteja wake aliyekuwa mwislam alizama huko na mtoto wake ndio mahakama ikaamuru...
  11. okaoni

    Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Boss sikuizi maisha ni rahisi, kitu chochote kama uelewi , lugha yoyote basi ukiweka kwenye google basi unapata jibu
  12. okaoni

    Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Huwezi kufungua kesi ya madai kwenye shauri ambalo final decree haijatolewa. Kumbuka bado nole prosequie is not bar for subsequent proceedings basing on the same fact , hivyo wakikamatwa tena hawawezi kuweka P.O ya autrefois acquit ,autrefois convict au res subjudice , kulikuwa na mswada wa...
  13. okaoni

    Wanafunzi wachoma moto pikipiki ya mwalimu, wafyeka shamba kisa adhabu ya kukutwa na simu shuleni

    Ina maana mabweni ya UMOJA na UJAMAA ilikokuwa kambi ya madem siku hizi kote ni madume?
  14. okaoni

    Wanaume ni kwanini hampendi kuoa wanawake wanaokunywa pombe na ikitokea umeoa unaamua anywee nyumbani?

    Mwanamke mlezi ni kivutio cha watalii, atatafunwa tu kiholela, tena liwe tipwa tipwa ndio balaa kabisa, pombe zikimwingia anawahi chooni kupunguza maji , mengi kabla hayajaingia ndandani anaanza maandalizi ya kusaula , lahaula1!!!! Mpaja huo , sisis tulikuwa tunakunja tu grand malta yetu...
  15. okaoni

    Nchi za Magharibi zitashinda vita na Urusi, Magharibi wanapigana kisayansi Putin yatamkuta ya Saddam Hussein muda sio mrefu

    Putin atauwawa na watu wake. Siku atakayopinduliwa kijinga dunia haitaamini
  16. okaoni

    Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    🇹🇿 Nyie acheni yenu yaanze shule yakiwa mavijeba sisi tunawapeleka 🇹🇿 Nyie endeleeni kuyadekeza ya kwenu fainali kwenye soko la ajira 🇹🇿 Nyie endeleeni kuwaachia ma house girls waendelee kucheza nao sisi wa kwetu bora wakacheze shuleni 🇹🇿 Nyie wa kwenu waacheni waendelee kuangalia ma katuni...
  17. okaoni

    Kalonzo Musyoka, Moses Wetangula na Musalia Mudavadi wananafasi gani kwenye Siasa za Kenya?

    Hayo ni mabendera fuata upepo tu, wewe anzisha lichama lolote wao akina mudavadi wapo tu kama hawa wa kukupigia debe
  18. okaoni

    Tony Rashid arudisha heshima ya Tz dhidi ya msauzi Bongani Mahlangu

    Pale unapochukua mkanda halafu ukiambiwa uutetee unaanza kulia😀😀
  19. okaoni

    Tony Rashid arudisha heshima ya Tz dhidi ya msauzi Bongani Mahlangu

    Subiri matokeo ndio uone marefa wa ngumi bongo wasivyo na aibu
Back
Top Bottom