Search results

  1. D

    Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    Weee kaaa kimya hiyo hiyo ngoma si yako niyamzee wako kama alivaa atajua namna yakuvua kama amevalishwa ataelewa jinsi yakutembea nalo wewe nawe ni mtoto tu katika familia
  2. D

    Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Ndugu hujui mateso huyo ndugu anatatizo La sononi ndilo kwanza linalomsumbua..unadhani ni nini kitakacho kaa kichwani hata akienda shule gani..ushauri wangu kwake aende kwa matabibu wa akili na ufahamu (saikolojia) na baada ya kutoka huko ugonjwa wake utaonekana tu akienda katika hospital...
  3. D

    Rais Magufuli awataka Jeshi la Polisi, Mawaziri na watendaji wa Serikali wasijihusishe na ufyekaji bangi mashambani

    Kama ni askari wenziwe watajuwa kuwa ni yeye aliyetenda kosa hilo..ila kama risasi ilitoka nnje ya askari hao...itakuwangumu kujuana
  4. D

    Rais Magufuli awataka Jeshi la Polisi, Mawaziri na watendaji wa Serikali wasijihusishe na ufyekaji bangi mashambani

    Achakujjfanya wewe kuwa kipofu ... Hivyo kwa.azingira gani mkulima was jinijini analima na wanakijiji wenziwe wasijuwe kuwa Mwenzao analima..au halimi ..! Wote huwa wanajuana..kilichobakia nj uhunitu...hivyo tamko lipo sawa tena.. Sanaaa!
  5. D

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Voda hebu mnijuze ile link yenu ya voda ya afrika kusini inanyodili na mikopo
  6. D

    Wimbo wa Papii Kocha umenitoa machozi

    Ngoja nawewe upatwe najambo ambalo kwa hakika haukutenda na wala haukujua linatendekaje likupate ..
  7. D

    Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Hilo nalo swali lamsingi kwakila mwenye kujitambua katika jamii anayoishi
  8. D

    Naomba Rais Magufuli akemee utekaji na mauaji yanayoendelea nchini

    Tena akemee hivyo hadi huko marekani
  9. D

    Ni aibu kiongozi wa dini kuitupa injili na kutumika kisiasa

    Uwezekano wakutenga dini na siasa ni mdogo sana kwakuwa zote ni dini na zote ni siasa..zinamalengo yake na nia zake pamoja na mitazamo yake..hapa napenda nitabaishe jambo kidogo kwakuwa wapo wanaodhani dini ni IMANI NA SIASA NI IMANI..OK ipohivi katika siasa mfano siasa za ujamaa nakujitegeme...
  10. D

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Jibu:pea moja ya kiatu ni 10 picha ya MTU ni5 picha ya p ni 4hivyo ni19
  11. D

    Wakili wa kujitegemea, Awadh A. Said Zanzibar atoa ufafanuzi wa kauli ya Prof Kabudi kuhusu mamlaka ya JMT kwa Zanzibar

    Kule ni rahisi zaidi watu kwa watu wakule kurubuniwa ndiko yanakotokea matatizo mengi yakimataifa mfano meli iliyoleta mzozo mkubwa was samaki baadae tunaambiwa kibali kilitoka kule,meli zenye kubeba madawa ya kulevya duniani tunaambiwa kibali kimetoka kule, gaidi mkubwa kakamatwa ughaibuni...
  12. D

    Mkutano wa Umoja wa Afrika: Nchi 23 zaweka saini mkataba wa anga huru; Tanzania hatumo

    Sisi tayari anga yetu ni huru kwa American.. Haiwezi kuwa huru kwa wote..
  13. D

    Reli ya standard gauge ya Rwanda na Tanzania ni kaburi la uchumi wa Tanzania

    Jamani povu lanini hiyo no ndotu tu ikitokea hats wewe ukiotandoto ya umilionea na ukiamini asubuhi yake kuwa utakuwa ni milionea kwa ndoto hiyo kwakweli upimwe akili tu
  14. D

    Ombi kwa Rais Magufuli: Wananchi hatutaki Passport za rangi ya blue

    Asante msemaji tulie kuteuwa kuisemea jamii yote ya Afrika mashariki
  15. D

    Uwanja wa wanasaikolojia, (Para-profesional & Professional Psychologists) wote tukutane hapa

    Hivi ni kweli kila mwanadamu anazaliwa na chembechembe za ugonjwa wazimu na ni kweli huwa zinalipuka na MTU huyo huwa kichaa kamili?
  16. D

    Natafuta mme wa kunioa

    Njoo huku tusemezane dhambi zako hatakama zimekuwa nyekundu kama bendera zitakuwa nyeupe kama theruji
  17. D

    Mtwara: Taharuki Tandahimba baada ya madai ya mtoto mchanga kutabiri mvua ya ajabu; wakesha wakinywa uji wa Muhogo

    Huo ni mpango wa shetani kutia watu hofu lakini hakuna tukio kama hilo hao watu wa mtwara mhogo in sehemu yao kubwa kama chakula cha kilasiku huo no uzushi wa MTU Fulani tu
  18. D

    Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

    Hivyo anakumbuka kuwa yeye mwenyenyewe(Lema)alikuwa Rastafale?
Back
Top Bottom