Search results

  1. Cryptopotato

    Nahitaji ufafanuzi juu ya jinsi makampuni ya simu yanavyolipa kodi?

    Mimi ni mteja katika mtandao wa tigo na kwa uelewa wangu naamini yanatakiwa kulipia VAT ambayo ni 18% kautoka kwenye ada zinazo katwa kutoka kwa wateja, lakini kuna baadhi ya ada kama za kulipia bili kwenye makampuni mbalimbali unakuta ada ni tsh 2000 lakini VAT unaambiwa ni tsh 30 badala ya...
  2. Cryptopotato

    Marley Dollars $$ kijana anayetingisha Bongo kwa Mandinga makali

    Ukiona vyaelea.. Ujue vimeundwa
  3. Cryptopotato

    Miundo mbinu ya barabara.Tanroad na polisi wanashirikianaje kuutunza??

    Miundo mbinu katika nchi yetu imekuwa ni changamoto ambayo wengi wetu tumeizoea tayari..kupanga miji mapema kabla ya watu hawajaanza kuingia kwenye maeneo na hata barabara.katika barabara hizi tulizo nazo je Tanroad na trafic wa barabarani wanashirikiana vipi katika kuitunza??. Wengi tumekuwa...
  4. Cryptopotato

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Mmmmh.....huyu kilewo nomaaa.
  5. Cryptopotato

    Wadada wa mjini kusagana imekua 'fashion'

    Wanaume wa dar mnavyo kumbatiana nakubaishiana kwenye mabasi mkidai msongamano.unakuta mwanaume ameaimama nyma ya jamaa tyt kabisa lakini wote wanaona sawa tu hamna hata kujiskia vibaya...kisa wamezoea, wataacha kuwa mashoga kweli
  6. Cryptopotato

    Kizazi baada ya Messi na Ronaldo: Kati ya Neymar, Hazard, Mbappe, Dyabala na Pogba nani kutesa na tuzo ya ballon d'Or?

    Ballon ya sasa ni ya kutengeneza kimaslahi maana haipo tena chini ya fifa...ni kagazetitu cha huko ufaransa ndo kunachagua mshindi.
  7. Cryptopotato

    Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

    Hicho choo cha stendi.....sidhani kama diamond hana akili kiasi hicho.labda anataka kumrudisha wema kwenye lights kidgo maanaa amepotea kabisa
  8. Cryptopotato

    KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

    Awa jamaa generator ,sola wala taa za kucharge hawana...
  9. Cryptopotato

    KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

    Ni ujinga sana nchi inapozidi demokrasia...yani huyu uhuru anaangalia mpaka raila ajiapisha na mpaka sasa amemuacha. sasa ameliingiza taifa kwenye matatizo makubwa zaidi.waafrika hatuiwezi demokrasia....
  10. Cryptopotato

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ungeuliza kwanza amani ipi..labda mwenzako anataka amani ya jannah
  11. Cryptopotato

    Elewa biashara ya Forex na epuka matapeli

    Probably sikatai...ila huyo broker ni wa nje na anaaminika sana kwakuwa yupo nchi yenye miongozo mizuri ya hii biashara,ni wa siku nyingi, execution time yake ya oder ni near perfect etc..saasaa kwa wale wa hapa kwetu wanaotaka watumiwe pesa kwa mpesa ndo waexecute oder ya mtu huo mda wote pips...
  12. Cryptopotato

    Elewa biashara ya Forex na epuka matapeli

    Hahahaha hapa ndo mnawakamatia watu najuaa kuwaonyesha hivi..mbona losses umezitoaaa Unaweka ulizopata tu ulizopoteza zinaweza kuwa zaidi ulizo pata Nahii app yako ya meta trader 4. Unaringishia trials tu piga meta trader 5
  13. Cryptopotato

    Elewa biashara ya Forex na epuka matapeli

    Unataka kujaribu???...nakushauri download trial apps zipo playstore nyingi tu kwanza uone kabla ya kucomit na kutuma hela kwa m_pesa ikaliwa na wajanja
  14. Cryptopotato

    Elewa biashara ya Forex na epuka matapeli

    Mkuu mimi ni mtanzania halisi ningekuwa na nia ya kuwapigia chepuo basi ningetoa ushauri na kumtaja jina kwamba broker flani ndiye bora.nilichojaribu kuwaelewesha wengine nikwamba kuna soko la hisa msimamizi ni DSM na kuwa broker wa hilo soko kyna kanuni na miongozo ambayo itamlinda mnunuaji. Je...
  15. Cryptopotato

    Kiwanja kinauzwa kinyerezi garage

    ENEO ; kinyerez kituo kinaitwa garage karibu na flamingo bar. Karibu na barabara. POTENTIAL: Njia kuu ya magari makubwa,soko kuu la matunda, mradi wa umeme kinyerezi na mengine mengi. UKUBWA ; 1145sqm. BEI ; 65mill maelewano yapo DALALI ; mgao 5% ya mauzo. MUUZAJI: 0692698616
  16. Cryptopotato

    Kiwanja kinyerezi garage karibu na lami

    ENEO ; kinyerez kituo kinaitwa garage karibu na flamingo bar. Karibu na barabara. Nyuma ya frame UKUBWA ; 1145sqm. BEI ; 65mill maelewano yapo DALALI ; atapata mgao 5% ya mauzo
  17. Cryptopotato

    Kiwanja kinyerezi garage karibu na barabara

    Hapo mbona najiumiza mkuu..kabla ya hii hali cha pembeni kiliuzwa 89m.hichi changu ni kikubwa zaidi....ndo nmeshusha mpaka hiyo 65m mkuu.
  18. Cryptopotato

    Kiwanja kinyerezi garage karibu na barabara

    ENEO ; kinyerez kituo kinaitwa garage karibu na flamingo bar. Karibu na barabara. Nyuma ya frame UKUBWA ; 1145sqm. BEI ; 65mill maelewano yapo DALALI ; atapata mgao 5% ya mauzo
Back
Top Bottom