kama ndio rahisi hivyo mbona liverpool kafungwa mechi 2 tu mpaka sasa kwenye ligi? washindwe ulaya kumzibiti liverpool uone wewe huku bongo? maajabu haya.
sheffield kupata goli ambalo Lile goli tumejifunga wenyewe Mkuu, mkuu ukimuondoa arsenal, liverpool ndio timu iliyofungwa magoli machache hapo epl. halafu hapo wachezaji uliowataja wanamagoli mangapi kila mmoja? maana sasa hivi man united hawashangilii tena ushindi bali wanashabikia chenga au...
You Reds! That possession stat is just insane! 83.1%?! Domination indeed. Controlling the game like that and taking the win - that's the Liverpool we love to see! #YNWA
kwanini wanashindwa kwenda kuchukua maswali ya interview ya waandishi waliomuuliza guardiola,mourihno au klopp? wanakaa wanaanza kubuni maswali yao wanatoa maboko. bongo ubunifu zero kabisa. wanaishi kwa mazoea
hizo takwimu hazita kusaidia lolote mwisho wa siku utatoka kwenye hayo mashindano maana anatakiwa mwenye magoli mengi sio shot on target wala kumiliki mpira.
Man U sasa hivi wamevurugwa ,waache wa overrate wachezaje wake maana huku kwenye makombe hawawezi tena kushangilia,wameshapoteza ubora.timu inaishia kwenye hatua za makundi kwenye UEFA Champions League. kwanini wasishangilie wachezaji ambao hawana ubora maana kwenye ushindani kwa sasa hawapo...
I agree, it would be a huge mistake to sell TAA. He's one of the best right-backs in the world, and he's still only 25 years old. He could be a Liverpool player for many years to come.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.