Search results

  1. BabaMorgan

    Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka. Natanguliza shukurani.
  2. BabaMorgan

    Kama kijana nawezaje kuishi kwenye misingi ya dini(mlokole)

    Kuna wakati unafika unatamani kuishi katika misingi ya imani lakini ujana ni kama unakwamisha. Changomoto kubwa ni vishawishi vya uzinzi na ulevi nawazaga sana vijana waliokoka wanawezaje kushindana na dhambi ya uzinzi na ulevi tena katika mji ambao wanawake wanavaa vimini na suruali za kubana...
  3. BabaMorgan

    Msaada Subwoofer kujizima kila mara nini tatizo?

    Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda huohuo inawaka inabidi uanze tena kuweka upande wa radio au Bluetooth haipiti hata dk 2 inazima tena japo...
  4. BabaMorgan

    Kesho ni sikukuu?

    Aliyeko karibu na Mufti tusaidieni kumuuliza kama kesho ni sikukuu. Confirmed kesho ni Eid
  5. BabaMorgan

    Hizi mvua zinazoendelea sasa utazifurahia kama unaishi kwenye mitaa ya kishua

    Imagine unaishi Manzese, Buguruni, Luhanga, Mburahati, Tandika, Keko, Mbagala kwanza asilimia kubwa nyumba zinavuja miundombinu ya mitaa ni mibovu ongezea mifereji ya maji machafu inayotoa harufu watu wanatake opportunity ya mvua kuzibua vyoo very disgusting mitaa inatia kinyaa na hakuna...
  6. BabaMorgan

    Wadogo zangu wa kike hata kama nyumbani kwenu maisha ni magumu usikubali ndoa ya sogea tukae

    Mtu akitaka kuishi na wewe kanuni ni kutambulishana kwa wazazi wa pande zote mbili tena physically kama kwao ni mbali hakikisha mnaenda achana na biashara za kutambulishwa kwenye simu ama video call kama ni Kigoma pandeni Saratoga muende. Flat TV, sofa set, bedsofa, friji na sabufa zisifanye...
  7. BabaMorgan

    Kadri Mwanamke anavyokuwa mzuri ndio wasiwasi wa kuchapiwa unakuwa juu

    Possibility ya mwanamke mzuri kuliwa ipo juu kulinganisha na mwanamke wa kawaida au mbovu ni jambo ambalo liko wazi kabisa jaribu kufikiria mwanamke ambaye akipita sehemu kila mmoja anapiga salute kuwa chombo kimepita mpaka wanawake wenzake wanakubali kuwa mwenzao ni mzuri.. Sasa ukiwa na...
  8. BabaMorgan

    Naomba ushauri juu ya dawa za kuongeza mwili

    Kadri siku zinavyoenda wembamba wangu unazidi kunipa stress nilifikiri nikiwa mbaba nitaongezeka mwili ila imekuwa kinyume kadri siku zinavyoenda ndio nazidi kupungua. kila nikikutana na mtu tunayefahamiana swali la kwanza kuniuliza mbona umekonda sana unaumwa? Kinachoniumiza siyo kukonda ni...
  9. BabaMorgan

    Asanteni wamiliki wa magari kwa kutii maagizo ya kubandua namba za 3D bila shuruti

    Hivyo ndivyo maagizo ya serikali yanapaswa kuheshimiwa bila ya kuanza kuhoji hoji serikali ina watu makini inapokataza kitu means imeona mbali haiwezi kukataza kitu chenye maslahi kwa Taifa. Sasa mkachukue plate namba nyingine ni elfu thelathini tu haipendezi kuona plate namba zina mabaka...
  10. BabaMorgan

    Design hii ya wanawake wanastahili kutorokwa kwenye bill

    Sometimes nakubaliana na baadhi ya wanaosema Mwanamke hapaswi kuonewa huruma kutokana na tabia zake za ubinafsi. Kuna mwanamke ameomba tukutane tusalimiane kwa mtazamo wangu ni kuwa amenimiss anahitaji kuniona tupeane salamu then kila mtu ataendelea na ratiba zake nikapigia pamba zangu kawaida...
  11. BabaMorgan

    Kama kazini kwako hawajali kuhusu wewe unapata wapi nguvu ya kujali kazi zao?

    Unapata kile unachotoa haiwezekani usambaze chuki utegemee return ya upendo. Kuna baadhi ya mabosi wanatreat wafanyakazi wao kama takataka kazi kubwa isiyolingana na mshahara, mazingira hatarishi bosi anachofocus nacho ni kazi yake nothing else. Unakutana na mfanyakazi anajituma kwa kufanya...
  12. BabaMorgan

    Mafanikio ya mwanamke na mwili wake

    Kuna mwanamke nimekutana naye tukiwa tunasubiri usafiri kwa haraka ni design ya wanawake waongeaji sana so katika stori mbili tatu tukajikuta tunagusia siku ya wanawake duniani. Kwa kifupi ni mwanamke anayeamini mafanikio ya mwanamke yapo katikati ya mapaja yake. Mimi: Wanawake siku hizi...
  13. BabaMorgan

    Bongo mtu akikupa laki moja ujue mfukoni mwake amebaki na million kumi

    Bongo iliyojaa wanafiki, wabinafsi na roho mbaya unaweza kumtengenezea mtu dili la mamilioni akakupa elfu kumi kama shukurani ndio maana cycle ya matajiri inaendelea kuwa ya watu kadhaa huku masikini wakiongezeka. Kampuni ikiwa inapata faida wakurugenzi wapo kimya wanajinunulia magari na...
  14. BabaMorgan

    Watangazaji wanawahoji mabilionea

    Millard Ayo ametoka Dar es salaam mpaka Babati kumhoji Bilionea Mulokozi hii ni win win situation kwa maana Millard Ayo kaongeza contents kwenye mitandao wake the same Mulokozi kaongeza wigo wa kutambulika hususani kwenye biashara ya vileo anayofanya. Najaribu kufikiria kwa sauti kinachotokea...
  15. BabaMorgan

    Kuna uhusiano gani kati ya watu wafupi na mikoa yenye baridi?

    Mimi Kwetu ni kusini huko kwenye baridi ni kama nilinusurika kuwa mfupi na yote sababu mama yangu alihama nikajikuta nimezaliwa na kukulia kwenye mkoa wenye Joto nikawa mrefu. Nimekuwa nikifanya research kuhusiana na watu wafupi na mazingira walipotokea nimenotice mikoa yenye baridi hususani...
  16. BabaMorgan

    Mbinu gani inaweza kutumika kumbadilisha mtoto anayeanza kuandika kutumia mkono wa kushoto?

    Wakuu ambao mshakutana na scenario kama hii kwa watoto kuna uwezekano wa kumbadilisha mapema?
  17. BabaMorgan

    Watu wafupi na inferior complex

    Wanajishtukia sana lakini kimsingi ni watu ambao tunawaheshimu na kuwapenda. Ufupi sio ulemavu ni maumbile kama ilivyo urefu, unene au wembamba. Ufupi usikufanye ujisikie vibaya na kukufanya utumie nguvu kubwa kusaka attention inabidi ujivunie maana hata sisi warefu tunapenda wanawake wafupi...
  18. BabaMorgan

    Happy Valentine day, kumbe kupata Soulmate sio jambo dogo

    Hongereni wote mliofanikisha kupata wenza wenye mapendo ya kweli once again happy valentine na kila la heri kwenye mahusiano yenu. Ushawahi kusikia mtu anakwambia kuwa single raha huyo mtu ni mnafiki promax hakuna kitu kama hicho kwa binadamu aliyekamilika. Kila mtu anahitaji kuwa na mtu...
  19. BabaMorgan

    Osama Bin Laden HardDrive Documentary imethibitisha kwenye Harddisk za Osama zilikuwa zina pornography

    Baada ya shambulio la mauaji ya Mastermind wa September 11 the only and one Osama Bin Laden aliyekuwa tishio kwa Marekani wataalamu wa uchunguzi walienda extra mile kukagua vitu vyake hususani electronic devices. Kwenye Harddisk zake walikuta email za kimkakati alizokuwa akiwasiliana na kutoa...
Back
Top Bottom