Search results

  1. BabaMorgan

    Kwa Bajeti ya Tsh. 50,000 napata wapi chumba standard Dar es Salaam?

    Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka. Natanguliza shukurani.
  2. BabaMorgan

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Kwenye ishu ya umeme shirika lijiandae kisaikolojia afu usiofie gari kuishiwa chaji kwani hata petrol uwa inaisha unaenda na kidumu sheli. Hofu yako ni Lake oil na wenzake wamejipangaje
  3. BabaMorgan

    Kama kijana nawezaje kuishi kwenye misingi ya dini(mlokole)

    Kuna wakati unafika unatamani kuishi katika misingi ya imani lakini ujana ni kama unakwamisha. Changomoto kubwa ni vishawishi vya uzinzi na ulevi nawazaga sana vijana waliokoka wanawezaje kushindana na dhambi ya uzinzi na ulevi tena katika mji ambao wanawake wanavaa vimini na suruali za kubana...
  4. BabaMorgan

    Kuna ma Star na kuna Shahukh Khan

    Fikiria wahindi walioko Tanzania utajua wapo wengi kibongo bongo wahindi ni kama wasukuma wapo kila sehemu.
  5. BabaMorgan

    Taasisi zote za Serikali zijitoe katika mtandao wa Twitter X

    Ukiona kitu kinaenda chenyewe bila ya promo ni wazi kinapendwa
  6. BabaMorgan

    Kuna ma Star na kuna Shahukh Khan

    Afu kuna Aslay😂😂
  7. BabaMorgan

    Kuna makabila yana mila na desturi ngumu sana

    Nasikia Rwanda ukienda kuoa unapewa shangazi wa binti upige mambo ili shangazi ajilidhishe kuwa unaweza kumfikisha binti yao kileleni
  8. BabaMorgan

    Msaada Subwoofer kujizima kila mara nini tatizo?

    Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda huohuo inawaka inabidi uanze tena kuweka upande wa radio au Bluetooth haipiti hata dk 2 inazima tena japo...
  9. BabaMorgan

    Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

    Wapewe vidonge vya uzazi wa mpango
  10. BabaMorgan

    Kesho ni sikukuu?

    Unyama idondoke alhamis ili na boss wako muonane wiki ijayo
  11. BabaMorgan

    Kesho ni sikukuu?

    Sure wengi tunataka iwe hivyo
  12. BabaMorgan

    Kesho ni sikukuu?

    Bahrain sio Tanzania😂🚶
Back
Top Bottom