Search results

  1. Daffi Jr

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Atatapika yote aliyowatendea watu wa Mungu wasio na hatia
  2. Daffi Jr

    Ada shuleni zimerudi?

    Acha kupotosha Wewe,taarifa yako haina ukweli wowote.Tuletee kiini cha taarifa yako
  3. Daffi Jr

    Ada shuleni zimerudi?

    Hii taarifa yako umeifanyia uchunguzi na kuhakikisha inaukweli??Source of information ni Nini!
  4. Daffi Jr

    Uchaguzi 2020 Zipo dalili za CCM kupita ktk msukosuko mkali sana

    It is coming to an end!! Very soon it will be like other political parties that prevailed in those days!
  5. Daffi Jr

    Mama amuua 'House Girl' kwa kipigo, amfungia chumbani

    Then bila hiyana anamchukua na video akimpiga!!!Wanawake Mungu anawaona Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Daffi Jr

    Anayeweza kutambua huyu ni mdudu gani

    "manyonya"???????
  7. Daffi Jr

    Mwenye uzoefu au aliyewahi kufika lake duluti naomba ABC

    W/end iliyopita nilikuwa pale!! Pazuri!! pametulia sana!!
  8. Daffi Jr

    Kwanini watanzania wanaogopa kupingana na CCM?

    Eti kama hautakuwa mwana ccm utapata taabu sana!!!!Mungu atusaidie tu
  9. Daffi Jr

    Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Walikuwa wanatusaidia sana!!nahisi kama wamesitisha mpaka marejesho yote yarudi!!Mimi nilirejesha but up to now!!Wanahakikisha taarifa zangu!!Wiki ya tatu sasa
  10. Daffi Jr

    Hivi Magufuli ni Rais wa miundombinu?

    Siku hizi hotuba za baba sinaga time za kuziangalia!!Maana kinachoenda kuongelewa unakijua!! Barabara Reli Umeme Ndege Nk
  11. Daffi Jr

    Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

    Siku hizi jukwaa la wakubwa hauonekaniki!!Kwa nini
  12. Daffi Jr

    Nilipoona ' Mapinduzi ' ya Sudan na yale yaliyowahi kutoke Algeria, Tunisia na Libya naona hayako mbali nchi moja hivi

    Mkuu turudishe kwenye ule Uzi wa kisiwa cha puerte Rico!!kuna kitu pale nataka kujua zaidi
Back
Top Bottom