Search results

  1. S

    Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Bro. ebu pata Coca moja Bariiiidi hapo kwa Mangi arafu ulipe kwa niaba yangu.
  2. S

    Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Aisee Taifa linapita kipindi Kigumu?!!!!!, bila shaka unatania tu Mkuu. Sasa DRC wanapita kipindi gani?.
  3. S

    Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Hilo ndio Tatizo kubwa sana. Watu wameaminishwa kwa muda mrefu na wameamini hivyo.
  4. S

    Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Vipi Mkaruka Mkuu amechezea kamrija kako nini?. Maana waathirika wote hawataki kukubali enzi zimebadirika, badala yake wanajiliwaza kwa kumchukia Mkuu. Anachofanya ni kwa manufaa mapana kwa sisi na vizazi vyetu.
  5. S

    Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Mkuu wangu ninachokuombea ni Afya na Uhai ili uweze kushuhudia maendeleo makubwa ya Nchi yako yatakayoletwa na huyo jamaa unaemchukia kiasi kwamba uko NEGATIVE kwa kila anachofanya, tena anafanya kwa manufaa yako na kizazi chako.
  6. S

    Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Hujamjua Magu jipe Muda, usimchukulie POA. Ile AKILI kubwa Bro.
  7. S

    Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Mwenyezi Mungu akusamehe, yaani Magu ni Tatizo kubwa?!!!!!!. Ile ni AKILI Kubwa sana, ili umuelewe unahitaji utulivu vinginevyo itakuchukua muda mrefu kumuelewa. Utamuelewa vizuri Manufaa ya anachokifanya sasa yatakapo anza kupatikana.
  8. S

    Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Ukiwa Negative kwa kila kitu huo ni Mtihani, huwezi jua uwezo wako mpaka ujaribu kutenda jambo. Lengo kuu la sisi kununua Ndege ni kukuza Utalii, TZ niya pili Duniani kwa vivutio vya Utalii. Sasa wewe unaushauri gani?, tuuze Ndege zote tugawane pesa?.
  9. S

    Nataka kuusema ukweli mchungu, Pamoja na unyonyaji wa Clouds FM lakini hawawezi kushushwa na yeyote hata awe WCB

    Issue sio kushushwa inatakiwa wasiwe ZURUMATI, wao wapate na Wasanii pia wapate. Bila shaka mpaka sasa Akili ishawakaa sawa hawawezi kuendeleza UBWANYENYE wao.
  10. S

    Msaada: Nimetekwa China

    Dish Limeyumba; Moja haikai Mbili haikai yaani ni Tafrani.
  11. S

    Mhadhiri Vicensia Shule: Rushwa ya Ngono inatawala Chuo Kikuu DSM

    Hili tatizo ni kubwa sana kwenye Vyuo vyote na wahusika ni wote wawili yaani baadhi ya Walimu na baadhi ya Wanavyuo pia.
  12. S

    Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

    Aisee umeshamaliza majibu yote kabisa. Nadhani hakufikilia yote hayo.
  13. S

    Uchawi imani potofu zina application kwenye kilimo?

    Haya JF tafadhari mpatie Invoice yake alipie Tangazo.
  14. S

    Watangazaji Clouds Fm kipindi cha Jahazi waitana 'Mashoga'

    Kumbe SioRIZK FM ni WAHENGA kwenye hiyo fani tangu 2013, wangekuwa wanazaa mtoto keshaanza Shule.
  15. S

    Tetesi: Mashoga jijini Dar wajianda kutaja majina ya wateja wao; wamo vigogo wazito.

    Mungu Ajalie hilo litokee litasaidia sana kupunguza hili tatizo.
  16. S

    Barua ya kuachishwa kazi imeniharibia siku kabisa leo

    Ndugu kwa sasa hivi kama huna uzoefu na Biashara ya Taxi, Bajaji au Bodaboda usiguse kabisa ni hatari. Kwa mtu ambae ameharibikiwa maisha anahitaji muda wa kutuliza akili kwanza kwa kupata uhakika wa mahitaji muhimu kwanza wakati anajifunza Mtaani watu wanaishi vipi.
  17. S

    Watalii Wenye kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja kurudishwa kwao

    Kwakua ni too late kwahiyo unashauri Serikali ifumbe macho. Jaribu kufikilia huo mzunguko ukimkuta mwanao wa kuzaa, mzee mzima unaletewa Posa kijana wako kapata Bwana.
  18. S

    Watalii Wenye kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja kurudishwa kwao

    Hivi ndugu yangu unajua madhara ya Ushoga kweli?!!!. Fikiria huyo mtoto wako wa kiume ambaye unampenda na kumwita JEMBE lako siku moja unasikia kuna Mtalii Kamuinamisha kwa kumpatia Dollar kadhaa, unadhani huo Utalii utakuwa na maana yoyote kwako?. Fikiria nje ya Box Kaka. Sisi kama nchi lazima...
  19. S

    Barua ya kuachishwa kazi imeniharibia siku kabisa leo

    Mkuu achana na MABajaji hiyo biashara kichaa. Hebu fuata ushauri wangu, tumia hiyo 1M utaweza kupata matumizi yako ya kila week arafu hiyo 4M inayobaki iweke Bank mpaka akili itulie kwanza. Ukijichanganya utajuta usawa huu kupata Mtaji ni issue.
Back
Top Bottom