Fuata Hatua Zifuatazo Kuhakiki Taarifa za Mpiga Kura Kwa Kutumia Simu Yako Ukiwa Nyumbani Bila Kwenda Mahali Popote. Ni vyema kila mtu ahakiki na mwezi wa kumi aende kupiga kura ili kuamua mustakabali wa nchi yetu na future yetu sisi na watoto wetu
Chagua namba 9
Chagua namba moja
Weka...
KITABU CHA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU BENJAMIN WILLIAM MKAPA.
Nimefurahi sana kumaliza kukisoma kitabu cha Mheshimiwa Rais wa awamu ya tatu ya uongozi wa Taifa letu la Tanzania Mzee Benjamin William Mkapa: My Life, My Purpose; A Tanzanian President Remembers.
Nilitamani sana kukisoma kitabu...
Mzee Fredrick Mchauru ambae ni mtanzania wa kwanza kuwai kupata scholarship nchini Tanzania ametimiza miaka 100 leo April 25. Mzee Mchauru alizaliwa tarehe 25 April mwaka 1920 huko Newala Mtwara na alisoma Sekondari ya Chidya na Minaki.
Mzee huyu alikua katibu mkuu katika serikali ya kwanza...
Habari za mchana waungwana,
Nimekua najiuliza hili swali labda kuna wataalamu watusaidie. Ni kwanini hakuna vijiji au marafiki au vikundi au taasisi zinazo anzisha bima ya kuwakinga wanachama wake na majanga - community based? zikasajiliwa na kufuata taratibu zote za TIRA
Tumeona kuna taasisi...
Nimemsikia Mh Rais leo alipokua anapokea ripoti ya CAG na TAKUKURU huko chamwino Dodoma akisema amemrudisha nyumbani balozi wa Tanzania nchini Ethiopia kupisha uchunguzi wa upotevu mkubwa wa fedha
Utafiti unaonyesha balozi huyu ni mama Naimi Hamza Azizi
Na suala hili lilianza kuchunguzwa tangu...
Dalili za nchi masikini:
Uwepo wa redio FM kila kona
Msafara wa Rais unakuwa na gari nyingi kupita kiasi
Kila mtu anajenga nyumba/ kijumba
Wananchi vichwani kunawaza mpira
Matumizi na mapato hayana kanzidata/ data base
Kila baada ya hatua tano kuna duka/ kila mtu mchuuzi
Watu wanasoma...
Baada ya kusubiri kwa miaka na miaka kama Wakiristo wanavyosubiri ujio wa Masihi, hatimaye leo 12-1-2020 ujenzi wa barabara ya kutoka Chuo cha Ardhi mpaka Makongo Juu na Goba umeanza.
Cha kushangaza kidogo ni kwamba ujenzi umeanzia hapa Chuo cha Ardhi kwenye posta na mabweni. Wamefumua ile lami...
Binafsi I am not very much impressed na majority ya viongozi wetu.
Tanzania sioni viongozi wenye vision and charisma tena wakiwa wadogo kama kina Obama na Sankara.
Viongozi wanaoweza kufanya mapinduzi kwenye Wizara, Mikoa, Wilaya au taasisi wanazoongoza. Tatizo hasa ni nini?
Chukulia mfano...
Taarifa rasmi inasema kua Kitabu Kipya cha Historia na Kumbukumbu za Rais Mkapa kutoka Nov 12, 2019. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolea na Uongozi Institute, Katika kitabu hicho, pamoja na mambo mengine, Rais Mkapa atazungumzia historia yake toka utoto na Nyakati za Urais wake wa awamu ya 3
Wakuu
Hili suala nimekua nalifikiria mara kwa mara
Tuna chuo Kikuu cha kilimo SUA lakini kwanini hakuna wanafunzi au walimu wanaotoka pale na kua wakulima wakubwa na bora. Wote wakimaliza pale wanaamini kwamba wanatakiwa waajiriwe maofisini. Ina maana hawa walienda chuo cha kilimo ili...
Waasalamu
Leo katika tafakuri zangu za hapa na pale nikakumbuka kisa cha dada yangu ambae ni mtoto wa mama yangu mkubwa.
Sister wangu huyu alienda kushitaki kwa babu yetu mzaa mama kwamba mume wa mama mkubwa (baba yake wakambo) huwa anamtongoza na anamtaka kimapenzi.
Kesi ilikuwa kubwa sana...
Wakuu
Naomba tujadili na kupata maoni ya wengi kuhusu shauri la mgombeaa binafsi wa ubunge na term limit. Binafsi sioni tatizo na nina pendekeza tungeruhusu wagombea binafsi katika nafasi za ubunge na tungeweka term limit kwamba mtu anaweza kua mbunge kwa mihula 4 tu nchini.
Tanzania baada ya...
Wakuu
Waasalam. Naomba tujaribu kuelimishana kidogo hasa kwa wale wajuzi wa masuala ya kidiplomasia. Malengo ya Kuteua Balozi Bila Kumpa Nchi ya Ubalozi ni Nini Hasa? na majukumu yake yanakua yepi? na je anakua na mshahara wa ziada kwa kazi hiyo na boss mwengine pia wizara ya mambo ya nje...
Waheshimiwa
Kuna jambo moja ambalo watu wengi wamekua wanalikosea bila kujua. Kwa maoni yangu ni muhimu kuelewa tofauti kati ya business na investments. Ni muhimu kuzingatia suala la return on investment au Retun on Asset wakati wowote unapofanya investment au biashara. Usipozingatia haya...
Afrika ya Kusini ndio the largest economy in afrika with the best infrastructure in the entire continent. Mafanikio haya yamewezekana kwasababu kuna mzungu anaishi pale mpaka leo
Zimbabwe uchumi umeanguka kabisa baada ya kuanza kumuondoa mzungu. Na sasa wazimbabwe wote wanahamia afrika ya...
Wanabodi, Heshima kwenu
Nimefuatilia kwa ndugu, jamaa na marafiki wengi waliochukua mikopo na kununua bajaji, Bodaboda au ggari za kufanya uber na kugundua wengi hawakupata faida walioitarajia.
Na ukweli wa mambo ni kwamba biashara hizo ukiazisha na ukafanya mwenyewe meaning dereva ukawa wewe...
Utafiti wangu wa miaka zaidi ya 20 unaonyesha yafuatayo:
1. Kwenye familia nyingi sana watoto wa kwanza huwa na maisha magumu na struggle nyingi
2. Wenye majina yafuatayo mara nyingi huja kupata challenge nyingi sana za maisha
Joyce, Herieth, Judith, Juliet & Holo
3. Watu wengi wenye...
Waasalam Wakuu
Kama mnavyojua watanzania wanapenda sana biashara za kuigana jambo ambalo ndio sababu biashara nyingi huwa zinafeli. Toka mwaka 2015 watanzania wengi wenye vihela kidogo walivamia hii biashara ya kukopesha watu maofisini mwao pamoja na ndugu jamaa na marafiki. Kwa rekodi...
Waheshimiwa
Baada ya kuona hii video ya Bwana Nape Nnauye akishangiliwa na wananchi kama shujaa leo huko uwanja wa Taifa na watu wakigombaniana kumpa mkono kama celebrity wa Hollywood nime conclude kwamba:
Until last week Nape Nnauye was a leader BUT now he is Larger Than Life Celebrity...
Wakuu nimeona watu wengi wanasimamishwa na matraffic na kuambiwa gari yako inadaiwa lipa sasa kama huna hela acha gari katafute hela. Gari haiondoki hapa hadi ulipe.
Kuna njia ya kucheki kama gari yako inadaiwa au kama leseni yako inadaiwa ilikuondoa these stupid traffic polisi suprises.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.