Search results

  1. Pancras Suday

    Kama hujawahi panda hii gari basi furaha ya maisha hujaipata

    [emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka aise
  2. Pancras Suday

    2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

    Ushauri wako umezingatiwa mkuu
  3. Pancras Suday

    Why Tanzania is not interested in Technology?

    Siku zote mnalaumu vijana tu, we umeona kabisa serikali imejidhatiti kabisa kwenye suala la technology ila vijana wanazingua!? Haya tuje kwenye mfano mdogo tu uliotoa kuhusu anuani za makazi, haya niambie hizo anuani za makazi zitamsaidia nini kijana anayetengeneza software!? Tulitegemea...
  4. Pancras Suday

    Why Tanzania is not interested in Technology?

    Una waziri wa hayo mambo hana hata ABC za masuala hayo then utegemee kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Pancras Suday

    Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

    Unaacha kujionea huruma mwenyewe unaonea huruma watu wenye furaha
  6. Pancras Suday

    Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

    Kwa nini usirudi android mkuu!? Kuna haja ya kulalamika ilihali unajua alternative!?
  7. Pancras Suday

    TCRA watajuaje kama natumia VPN?

    May kama kuna watu wamewalenga lakini VPN haizuiliki, wamewashindwa watu "Tuma namba hii jinalitatokee....." ndo sembuse watu wa VPN na hizi dynamic IP? [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
  8. Pancras Suday

    Msaada Software for data recovery

    Tafuta hii DiskGenius professional utakuja kunishukuru
  9. Pancras Suday

    Je! Macbook itanifaa?

    Zingatia maelezo ya mleta mada, kwa hiyo MacBook ya 2012 inamfaa sana, angeleta mambo ya masuala ya graphics ningemshauri tofauti
  10. Pancras Suday

    Je! Macbook itanifaa?

    Hizo kauli is all about business tu
  11. Pancras Suday

    Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

    Waache watu waishi vile wanataka ilimradi tu hawavunji sheria za nchi
  12. Pancras Suday

    Google pixel zina tatizo la kujizima ghafla?

    Nunua simu mpya acha kununua vimeo ambavyo watu wamevishindwa dunia ya kwanza huko
  13. Pancras Suday

    Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking nachokiexperience sio nilichokidhania

    Hacking ni kipaji wala sio somo la kujifunza, vinginevyo utaishia kulia😂😂😂
  14. Pancras Suday

    Kuelekea Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Waziri Bashe aelezea msimamo wa Serikali kuhusu GMO

    Tungeendelea na aina ya kilimo chetu, GMO inakwenda kuleta matokeo chanya lakini kinachoacha madhara kila sehemu, kuanzia kwa watumiaji na ardhi
  15. Pancras Suday

    Ushauri wa Bure: Dr Slaa, Dr. Nshala, Wakili Mwabukusi na Mdude Waanzishe Chama chao cha Siasa

    Kama mawazo yako yapo hivi basi ni ngumu kuifikia Tanzania ya asali na maziwa
  16. Pancras Suday

    Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

    Yaani hapa Tanzania ukishajulikana watu wanataka wakupangie uishi vipi, hata hivyo unavyoishi Salim akijua anaweza kukushauri ubadilike
  17. Pancras Suday

    Kama lengo ni Yanga na Simba zikutane Fainali kulikuwa na haja gani ya haya Mashindano?

    Tulibebwa ili tukutane au hujafurahia tukutane!?
  18. Pancras Suday

    Kama lengo ni Yanga na Simba zikutane Fainali kulikuwa na haja gani ya haya Mashindano?

    Msiyemtaka kaja, tukutane jumapili 😂😂😂
  19. Pancras Suday

    Ifahamu Mahenge (Ulanga, Morogoro) na siri zake

    😂😂😂 Sina uhakika japo nakumbuka kuna mama mmoja nilikuwa nakula free na kupiga shoo tu, nakumbuka nilimpaga ada ya shule nikasingizia kwa baba nimeibiwa🤣🤣🤣
Back
Top Bottom