Search results

  1. Fasouls

    Wakati matajiri duniani wakitoa misaada kukabiliana na COVID-19, Mo Dewji yeye anauza vitakasa mikono

    Ukiona hivyo serikali haishi vizuri na hawa watu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Fasouls

    Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

    Yan hii corona kwa ccm ni own goal zuri tu.. watu hua tunaangalia current situation..sasa hivi hata ukiniambia mambo ya standard gauge sielewi...zaidi zaidi nitakuuliza kwenye corona umefanya nini Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Fasouls

    Marekani na WHO wameionya Madagascar kuachana na dawa yao ya kutibu Corona

    Huo ni udaku..otherwise source please Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Fasouls

    SOLD: Tv flat screen, Simu, Subwoofer Vinauzwa

    Risiti unazo? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Fasouls

    Kangi Lugola: Rais sio mchumi hajui mambo ya fedha vizuri, Mawaziri mshaurini vizuri

    Raisi ni taasisi sio mtu mmoja..haiweziakani taasisi nzima isiwe na mtaalamu wa mambo ya uchumi.. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Fasouls

    Mnyika: Kama CCM watatumia dola kubaki madarakani, sisi tutatumia nguvu ya umma kuwaondoa

    Tanzania mtu anasoma hadi level ya dr lakin empty head Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Fasouls

    Usijaribu kuchumbia, kuoa nyumba ya washirikina

    Ndugu mashana..unaposema unagingwa ndotoni hua inatokeaje kwa mwanaume Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Fasouls

    Wanaume wa miaka hii ni hasara tupu

    Watu wengine utadhani hizo IST pensi kunywa bia utadhani wananunua kwa hela zenu......
  9. Fasouls

    Majeshini hakuna wanaume wa hovyo!

    Akili za kuambiwa ongeza na za kwako Nilikua na kibanda kange na kulikuaga na mwanajeshi mmoja hivi alikua anapenda kuja na kushinda sana pale..sasa siku moja ikapotea flash kumuuliza akakataa baada ya kupita siku kadhaa akaileta ebana nilimvutia ndani nikampa za faster.. Ebu fikiria mwanajeshi...
  10. Fasouls

    Rais Museveni hachoshi kumsikiliza

    Kwahyo hapo unajiona una bonge la IQ..hadi wote humu unatuona mafala..ni kipi ulichoongea cha maana hapo Kama sio kuungaunga habar ulizozipata humu humu tu
  11. Fasouls

    Yamenikuta mwenzenu.....

    Hilo mbona dogo yaliyomkuta jiran yangu usiombe yakukute
  12. Fasouls

    Hivi ni kweli mlevi huwa harogeki?

    Jamaa yangu mmoja alikua tapeli sana watu aliwaotapeli walikua wana mtishia kumroga..sasa ..muda wote alikua anashinda amelewa na si kawaida yake..kuumuliza akasema anakunywa ili asirogeke..
  13. Fasouls

    Wasafi Media Mchukueni The Tripple P,Adam Mchomvu.

    Ni kweli yupo poa sana..si mtu wa kufanya featuring anatakiwa asimame mwenye kwenye kipindi kama main presenter na sio kutupwa kwenye so so what sijui..muda ambao watu wengi wanakua wamelala Nahisi jamaa wanambania sana anavitu vingi sana vya kushow out Labda kama ana majukumu mengine pale...
  14. Fasouls

    Toyota spacio inauzwa bei chee!!

    Acha udalali
  15. Fasouls

    Niliyo yaona katika safari yangu ya Cameroon

    Jamani mliosafiri sehemu mbali mbali mje mtoe shuhuda km huyu..zinatuencourage na sisi kutembea
  16. Fasouls

    Sababu ya Prof. Kabudi kuwa mpambe badala ya mshauri ni hii?

    Waache watukanwe tu..aongezee zaidi sababu hawaelewi hao.tukana mzee
  17. Fasouls

    Nimestaajabu, Minyoo katika nyama ya kuku

    Mtie kwenye sufuria alafu mchemshe peke yake kwa dk 15..uanglie kama hatokufa
  18. Fasouls

    Toka lini TAKUKURU wanatembea na SMG na AK47 na bila vitambulisho?

    Hivi nyalandu alikosa hata bastola.. Watu wamekuja na mbwai..na yeye angeonesha mbwai pale pale
Back
Top Bottom