Search results

  1. thegeniustzda

    Heshima Kwake Kwissa (Mzee Mkavu)

    Mwana labda vipindi kama ICU\ SHILAWADU unaweza mchukilia poa Kwissa(kamanda mzee mkavu) kuwa si lolote ni mbea tu wa mjini Ila ukweli utabaki kuwa jamaa ni mwanzilishi wa vipindi vingi vikubwa vya TV nchini, vipindi vya zamani na vipya Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  2. thegeniustzda

    Chama cha ACT wazalendo kimemvua uanachama aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa Mtaa wa Karikacha

    Chama cha ACTwazalendo kimemvua uanachama aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa Mtaa wa Karikacha, Manispaa ya Moshi, Prophil Shayo kufuatia kuendelea na mchakato wa uchaguzi licha ya chama hicho kujitoa. Shayo tayari amewasilisha barua kwa msimamizi wa uchaguzi baada ya hatua hiyo.
  3. thegeniustzda

    Mablogger Wanaopiga Ads Company Ya Google AdSense

    Ilianza kama utani utani Mara matangazo kuzima Mara Ujumbe wa temporary ad serving limit placed on your AdSense account hatimae yametimia kipigo hevi yani hapa napumulia mipira kwa hichi kipigo cha mwezi huu kimenifungua mengi sana #EpukaUkondoo
  4. thegeniustzda

    Habari wakuu leo nimedegeda mchepuko na sitaki kurudi nyumbani

    Habari wakuu nimedegeda mchepuko yani nimepewa kila staili yani hapa nimekaa sitaki kurudi kwa shemeji yenu sielewi shida nini hapa kaniambia hapa anachemsha maji ya kuoga aje aniogeshee chumbani nishaurini njia gani ya jinsi ya kumdanganya shemeji yenu nisirudi nyumbani ase huu mchepuko ni moto...
  5. thegeniustzda

    Udictecta Wa Jf Uzi Wangu Umepigwa So Sad[emoji36][emoji36]

    Udictecta Wa Jf Uzi Wangu Umepigwa So Sad[emoji36][emoji36] Hivi hakuna forum nyingine tena ambayo unaweza kuwa alternative ya Jf hapa Tz : Jf imefika muda nahisi anahitaji mpinzani Moderate naomba msipige tena huu uzi asiekubali kuambiwa ukweli lazima anahisi kushindwa
  6. thegeniustzda

    AdSense Mpya Inahitajika Haraka Sana Pesa Mfuko Wa Shati

    Natafuta AdSense Mpya Ya Kununua Kama Unayo Njoo Pm Tuyajenge Fasta Pesa Mfuko Wa Shati
  7. thegeniustzda

    ZIARA ZA KUSHTUKIZA[emoji3][emoji3]

    Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi ziara za kushtukiza za viongozi wetu, nikaona hili ni jambo zuri tena linafaa kuigwa na sisi wananchi...
  8. thegeniustzda

    Msaada Kuhusu Adsense Invalid Click Protecter

    Kama kichwa kinavyojielezea hapo juu nilikuwa naomba msaada kuhusu kuset pluggin ya kuprotect invalid click kwa sababu hapo majuzi nimepata majanga ya kupigwa invalid kibao japo adsense bado inaishi je invalid protector pluggin ni safe kuitumia kwenye adsense ? na je kuna yoyote ambae ameset...
  9. thegeniustzda

    Good News Kwa Blogger Ambao Hawawezi Kushare South Kupitia Fb

    Nitaweka Link zipatazo 100 Uwe Fasta Tu Kujoin haraka kabla group halijajaa hii kwa bloggers ambao ni wavivu wa kushare fb au ambao wameshindwa kbca haya magroup ukipambana sana uwezi kosa $20 kwa siku japo ni ndogo lkn kwa hali ya magu kuna blogger wengine hata $3.00 hawafikishi .... Sent...
  10. thegeniustzda

    EXCHANGE DEAL ADSENSE IMESHAPOKEA BARUA KWA ADMOB ILIYOPOKEA BARUA

    EXCHANGE DEAL ADSENSE IMESHAPOKEA BARUA KWA ADMOB ILIYOPOKEA BARUA NINAYO ADSENSE AMBAYO IMESHAPOKEA BARUA MARA KADHAA ILA SAIVI NATAKA NIHAMIE KWENYE APPS SASA NATAKA NIEXCHANGE NA MTU MWENYE ADMOB AMBAYO IMESHAPOKEA BARUA NICHEKI 0684613293 SERIOUS BUSSINESS
  11. thegeniustzda

    Adsense Payment Pending No! Email

    Nawasalimu wote katika jukwaa hili ! Naomba Kujua Shida ni yangu pekee yangu au hata kwa bloggers wengine kwenye AdSense yangu malipo yanasema kuwa yanasubiri (Pending) na email sijapata na suala hili nimeona watu wengi mno wakilalamika kwenye jukwaa la (AdSense Forum) na cjui kwa watanzania...
  12. thegeniustzda

    Pongezi Zangu Kwa Algorithim

    Namshukuru sana huyu jamaa kwa ujuzi na mbinu aliyoitoa hapa jf kuhusiana na kupiga hela nyingi kupitia adsense bila kuvunja sheria zao japo alinikazia sana nilipomfata PM lakini ndio alinipa moyo wakuendelea kufatilia baadhi ya post&coment zake pamoja na post za jamaa anaeitwa MAZAGAZAGA Japo...
  13. thegeniustzda

    Anataka kufanya Research, ni maswali gani awaulize wafanyakazi na wananchi wa eneo hilo?

    Wakuu Nina Mdogo wangu anataka afanye project yupo form4 Research ya Geography Topic Environmental Pollution Sub-Topic LAND/SOIL POLLUTION Anataka Aende Kwenye Kiwanda Cha Ngozi Wakuu Msaada Ni Maswali Gani Anayopaswa Kuwauliza Wafanyakzi na Wananchi Wanaoishi Karibu Na Kiwanda
  14. thegeniustzda

    Rais uko wapi kuna wapigaji huku Sekondari ya Darajani, Moshi..

    Shule inaitwa Darajani Secondary School, ipo Moshi vijijini, Marangu.. Jamani huu ni wizi kweli kweli WAZAZI tunalipia laki na hamsini halafu shule nzima wapo 1,000 piga hesabu kwa laki na hamsini mara 1000; sasa ni elimu bure au elimu pesa? Na hii ni shule ya kata na Mheshimiwa Raisi alisema...
  15. thegeniustzda

    Nafundisha kutengeneza mashine za kutotolesha vifaranga(incubator)

    Nafundisha kutengeneza incubator mashine za kutotolesha vifaranga Aina zake ninazofundisha - Mashine zinazotumia umeme - Mashine zinazotumia mafuta taa Nitafute whatsapp au tuma sms unaanza na neno 'nataka darasa' Mafunzo ni elfu tatu mpaka uelewe kabisa, kwa walio serious tu kwa namba 0766650933
  16. thegeniustzda

    Jinsi ya kubeti

    wadau msaada jinsi ya kubeti ? Soka Beti , M-Bet , Meridian Beti , Sport Pesa Na Mtu Wakubeti anatakiwa aweje ? Je Unatakiwa Kujua Mpira Sana Au Nikubuni Tuu Wakuu Vyuma Vimekaza Kila Mmoja Angetoa Maoni Yake Yangesaidia Sana Na Madada Zetu Wasiojua Mpira !!! Tz Ishi Na Mimi !!!!Vyuma Vimekaza...
Back
Top Bottom