Search results

  1. chief_

    Idd njema.. Ofa ya huduma za Graphics

    Kwa mahitaji yako ya kukuza na kutangaza biashara yako karibu tuzungumze.. LOGO POSTER PACKAGE STICKER & LABELS MOTION GRAPHICS N.K Sampuli za kazi zangu ziko katika online portfolio hii hapa link WORK PORTFOLIO
  2. chief_

    Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

    Tupeane updates... Ni makampuni ya Facebook pekee au! Au wamefanya yao 'wazee' ===== Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram yatoweka hewani muda huu. Mtandao wa Facebook ambao ndio mmiliki wa mitandao hiyo hawajatoa taarifa yoyote kwa wateja wao mpaka sasa. ===== Baada ya...
  3. chief_

    "Tunaifanyia testing mkuu"

    Jamaa anapishana na NOAH yake chalinze akiwa kwenye bus na yenyewe ikiwa imebeba Kiroba cha mahindi na watu na aliipeleka kwa fundi ikatengenezwe ilala. Kumpigia fundi kumuuliza mbona gari yake kaiona chalinze fundi akasema "Tunaifanyia testing mkuu" [emoji23][emoji23]
  4. chief_

    Wale wa maeneo ya Songea - mbinga

    Habari zenu wakubwa wa jukwaa kubwa hili la kijamii tz na Afrika Mashariki kwa ujumla. Ninaimani humu ndani kuna kuna watu kutoka pande mbalimbali, basi wale wazee wenye machimbo pendwa ndani ya Mbinga na songea tufahamiane. Kuna baridi sana huku sijawahi ona.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]...
Back
Top Bottom