Search results

  1. C

    KERO Kero ya ubovu wa barabara ya Majohe Dar es Salaam

    Hakuna sehemu yoyote aliyochanganya R na L. Acheni ubaguzi wa kijinga. Na wewe ni mjinga, sifuri kabisa. Mtu anaandika hoja ya msingi, unaleta ukarumekenge hapa.
  2. C

    Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    Kwa siku kulala ni sh 30,000/- hapo kwako sio?! Basi itakuwa ni mjini sana kwa gharama hiyo.
  3. C

    Idadi ya Mataifa yaliyoamua kusimamisha misaada kwa Palestina yazidi kuongezeka

    One of the very well scripted/staged event by the west. Ni igizo la hali ya juu,
  4. C

    Tanzania limejitokeza tabaka la "wenye nchi" ambao wanaona hawastahili kuendesha gari kwenye foleni na wana haki ya kutofuata sheria za barabarani

    Wiki iliyopita, muda wa asubuhi, nilikuta ajali, landcruiser ya kiongozi wa jeshi ilikuwa inapita upande ambao sio wake, ikagongana uso kwa uso na DFPA, hizi za wizara. Maana na yeye alikuwa speed ila upande wake. Sasa sijui hiyo kesi iliishaje.. Kiufupi public leadership imekuwa ya ovyo sana...
  5. C

    Magufuli Ungekuwepo Leo nisingefanyiwa Haya. Pumzika Baba

    Hatuna huruma na mtu, awamu ya connection.
  6. C

    4U (siyo 4R) za Rais Samia zitaliangamiza lile kundi la CCM toka kanda pendwa

    Nashukuru umeandika kitu ambacho wenye jicho la tatu ndio wanaelewa. Ni aibu sana kuwa na style hii ya uongo.zi ktk nchi.
  7. C

    Kinachoendelea Loliondo: Shame on them! - Mwinyi, Mkapa, and Kikwete!

    Nakubaliana na wewe, lazima kundi flani la watu lisainishwe kutogusa wala kuonekana ktk kazi za umma.
  8. C

    Mwalimu Japhet Maganga wa CWT hafukuziki? Jibu hili hapa

    Ndg, tpaul na wasomaji wengine. Mie naujua mgogoro huu wa CWT nje ndani. Kufupisha ni kwamba huu mgogoro hauwezi kuisha kamwe hadi siku Mh. Jenista Mhagama, atakapopoteza uwaziri wake. Huyu ndiye injinia wa kuanzia uteuzi wa hawa kina maganga kwenda kuwa wakuu wa wilaya. Katika hili hata mh...
  9. C

    Kinachoendelea Loliondo: Shame on them! - Mwinyi, Mkapa, and Kikwete!

    Wahusika wa madili haya ni wale wale, je ni nini dawa yake ya kudumu?
  10. C

    Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

    Taarifa; 2005 ilipewa leseni kufanya utafiti wa madini hadi 2010. Ikaja kuongezewa muda hadi 2012. Muda ukaisha. Na hapo sheria tayari ilishapitishwa 2009. Cha ajabu zaidi mwaka 2013 ikapewa leseni ianze uchimbaji. Nadhani umeelewa.
  11. C

    Hifadhi ya Taifa Kigosi yafutwa rasmi na kuwa msitu wa hifadhi ya Kigosi

    Ilipewa leseni ya uchimbaji mwaka 2013. Kuwa objective, usikae hapa kumtetea mtu. Soma habari kwa utulivu. Pia usiwaze kwamba watu wapo hapa kusingizia wengine. Unapewa evidence unazidi kubadilisha hoja tu.
  12. C

    WAZIRI KIGWANGWALLA AITIMUA KAMPUNI YA MADINI

    Aisee. Hii ndio hifadhi ya wanyama, aliyopewa TFS, kutoka kuwa TANAPA. Halafu misitu ya TFS inatakiwa kuhifadhiwa na waarabu wa Dubai. Kazi tunayo watanganyika
  13. C

    Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    In fact china wanapatia sana. Kuna jambo ukithibitisha mtu kalifanya, apigwe risasi hadharani mchana kweupe mbele ya kadamnasi. Inauzi sana
  14. C

    Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Au tukawahamishe wamasai kule, unaonaje
  15. C

    Waziri Makamba ni Wizara gani aliwahi kufanikiwa?

    Unajua bora kuwa mwizi, unaacha ufanisi kidogo. Ukiwa FISADI na mzoefu wa "kubwia" mahela ya umma ni shida sana. Haya sasa Bwawa lina nyufa huko! Kazi tunayo.
  16. C

    Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Subirini mzalishe na kupata umeme nafuu,
  17. C

    Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa

    Achaneni na Mkandarasi. Yupo Waziri ameifanya vizuri sana kazi ya SIAIEI.
Back
Top Bottom