Search results

  1. Yona F. Maro

    100 years of Nyakahanga Hospital

    Greetings from Karagwe. On behalf of The Hospital Management, Hospital Board of Governors, and Karagwe Diocese, am happy to inform the public that this year(2012) Nyakahanga Designated District Hospital will attain 100 years since it started to provide healthcare services. The...
  2. Yona F. Maro

    Think of me if you can. Call me if you will. Love me if you're able

    Dear ---, I can't find the words to describe how I feel about you that I have not already written. I have expressed my love for you and my desire for you and my burning passion for you again and again. These emotions have not changed nor will they. Approaching Valentines Day...
  3. Yona F. Maro

    Kaspersky antivirus 2012 Arusha na Kilimanjaro

    Kama upo arusha unahitaji kaspersky 2012 antivirus tafadhali piga 0755350772 bupe bie ni shilingi alfu 20000 tu utawekewa na kufanyiwa activation
  4. Yona F. Maro

    Kazi ubalozi wa marekani

    AMERICAN EMBASSY EMPLOYMENT
  5. Yona F. Maro

    Nafasi za Kazi NSSF

    National Social Security Fund Employment Opportuni..
  6. Yona F. Maro

    Nafasi Za Kazi Airtel

    AIRTEL EMPLOYMENT OPPORTUNITIES airtel is the 5th largest telecomms Company in the world. In Africa, airtel has over 42 million customers and aims to attract more than 100 million customers across the continent by 2013. airtel Tanzania is a dynamic company that offers excellent career...
  7. Yona F. Maro

    Bank of Tanzania Jobs

    Bank of Tanzania Employment Opportunities The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania's central bank, is looking for suitably qualified Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant positions at its Headquarters, Dar es Salaam, Branches...
  8. Yona F. Maro

    Digital Cameras For Sale

    Digital Cameras For Sale 150 – Goin Down Call 0786 806028
  9. Yona F. Maro

    Scholarships For Tanzanian Students 2012/2013

    Federal Department of Foreign Affairs Scholarships 2012/2013 Switzerland is offering a limited number of university scholarships to Tanzanian students for the academic year 2012/2013 for studies at one of Switzerland's 10 Universities and 2 Federal Institutes of Technology. The documents...
  10. Yona F. Maro

    Kazi Coca Cola

    KAZI COLA COLA
  11. Yona F. Maro

    Kazi Precision Air

    Kazi Precision Air
  12. Yona F. Maro

    Airtel Jobs

    Nafasi za kazi Airtel
  13. Yona F. Maro

    Ulinzi na usalama wa tarakishi (computer ) yako

    Kadri ya siku zinavyosonga mbele , tekinologia kukuwa zaidi , kuja kwa programu nyingi na mbalimbali za kutumia katika kompyuta na hata vitu vingine vinavyounganishwa na kompyuta ndio matishio mbalimbali ya usalama dhidi ya tarakishi yako yanazidi kuongezeka toka Nyanja mbalimbali za utendaji wa...
  14. Yona F. Maro

    Ujio wa interswitch afrika mashariki tuwe makini

    Kuna wenzetu humu wamewahi kupata matangazo toka kwa watu wanaotumia majina ya INTERSWITCH au kujifanya mawakala wa INTERSWITCH , unaambiwa ukingie kwenye tovuti ya interswitch na kubadili taarifa zako au ingiza mpya kwa sababu mtandao wa interswitch unaboreshwa zaidi . INTERSWITCH NI NINI ...
  15. Yona F. Maro

    Kuhusu maandamano ya kumpinga rais wa Tanzania Washington DC

    "No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people. "Julius Kambarage Nyerere, from his A Peaceful New Year speech given in Tanzania on 1 January 1968. Nimesoma kwa masikitiko makubwa sana juhudi za Kundi la Wanaojiita watanzania wa nchini Marekani...
  16. Yona F. Maro

    Usawa katika Maoni /Majadiliano Kwenye Mitandao Jamii

    Mimi ni mpenzi wa Mitandao jamii na mtumiaji wa Dhati kabisa hapa Tanzania nimejiunga karibu mitandao yote ya jamii kwa kipindi cha miaka 7 iliyopita pia ni mwanachama wa mitandao mingine jamii ya afrika haswa Magharibi ,Mashariki na Nchi za Ulaya . Mitandao jamii imeleta mapinduzi makubwa...
  17. Yona F. Maro

    Ujangili wa programu na maendeleo ya teknohama nchini

    Miaka michache iliyopita tuliwahi kuwa na mazumzo na watu Fulani kuhusu Punguzo la Programu za komputa zinazotumika sana na Watu nchini haswa zile za Kampuni la Microsoft kama Microsoft Office , Microsoft Windows , Kampuni la Autodesk Kwenye AutoCAD na Adobe Kwenye Adobe CS pamoja na nyingine...
  18. Yona F. Maro

    Kufungiwa google adsense (disable/deactivate )na malipo kwa cheki

    Taarifa hii ina wahusu wale wenye blogu au tovuti ambazo zinatangaza bidhaa mbalimbali kutumia google adsense kwenye kurasa zao mbalimbali ambao kwa bahati mbaya Akaunti zao zimefungiwa na Google ( Deactivate ) kutokana na sababu kadhaa . Sababu za Kufungiwa 1 – Labda waliclick ( gonga )...
  19. Yona F. Maro

    Mambo 10 muhimu kuhusu blogu

    Haya ni mambo muhimu kuhusu blogu haswa kwa wale wanaopenda kuanza kublogu au wenye blogu lakini wanapenda kujifunza zaidi baadhi ya vitu , mengine unaweza kujifunza kwa kutafuta kwenye mitandao kadhaa au kuuliza . Kuna mitandao 2 mikubwa duniani yenye huduma za bure za blogu ambazo mtu...
  20. Yona F. Maro

    Tuangalie Biashara ya Content/Maudhui ya Mtandao

    Kila siku inavyozidi ndio Mtandao unazidi kuwa mkubwa zaidi , ndio tovuti zinazidi kuongezeka na maudhui kwenye mtandao yanazidi kuongezeka na programu za kuendesha maudhui na masuala mengine kwenye mtandao zinazidi kuongezeka na kuwa bora zaidi . Watu wengi duniani wanazidi kuongeza vitu...
Back
Top Bottom