Greetings from Karagwe.
On behalf of The Hospital Management, Hospital Board of Governors, and Karagwe Diocese, am happy to inform the public that this year(2012) Nyakahanga Designated District Hospital will attain 100 years since it started to provide healthcare services.
The...
Dear ---,
I can't find the words to describe how I feel about you that I have not already written. I have expressed my love for you and my desire for you and my burning passion for you again and again. These emotions have not changed nor will they. Approaching Valentines Day...
Kuna mambo mengi ya kufanya zaidi haswa kwenye zama hizi za teknologia , msimamo wangu utabaki ule ule kuvunja mawe na matofali sio maonyesho si miaka yote wanafanya hivyo ? toka tumepata uhuru ? Kanda yetu inakabiliwa na tishio la ugaidi sasa hivi mbona hatujaona UNIT KOMANDO ya kupambana na...
Jamani nyie acheni kuongea mambo ya historia , ndio jeshi letu limewahi kushiriki operesheni mbalimbali na vita nchi nyingine lakini ni zamani na mbinu zilizotumika kipindi hicho ni tofauti sana na sasa hivi kitekonologia na mambo mengine .
Kwenye historia hata rumi ilikuwa na jeshi bora...
Kama huna teknologia sahihi kwa muda sahihi iweze kutumika na mafunzo na muda sahihi utapitwa na vitu vingi sana , sasa wengi wetu hapo wanaongelea zaidi vitu vilivyopitwa na wakati miaka 40 iliyopita kama kweli wale ndio komandoo wetu uwanja wa taifa basi walivyofanya ni vya miaka 40 iliyopita...
Vingi vilivyosemwa hapo juu ni sahihi lakini mumesahau kusema kwamba vikosi vya makomandoo mara nyingi wanaandaliwa kwa ajili ya shuguli maalumu na malengo maalumu lakini hayo zaidi yanatekelezwa na nchi za ulaya na marekani kwa sababu wanamipango ya muda mrefu dhidi ya mataifa mengine kama iran...
Unaweza kuomba kama ni raia wa afrika mashariki vikwazo vingi vya ajira vimefutwa na kupunguzwa changamkeni watanzania kule somalia , sudani kusini na maeneo mengine hakuna wataalamu huko
AIRTEL EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
airtel is the 5th largest telecomms Company in the world. In Africa, airtel has over 42 million customers and aims to attract more than 100 million customers across the continent by 2013.
airtel Tanzania is a dynamic company that offers excellent career...
Bank of Tanzania Employment Opportunities
The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania's central bank, is
looking for suitably qualified Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the
following vacant positions at its Headquarters, Dar es Salaam, Branches...
Hiyo ni njia ya kuongeza Trafick kwenye tovuti husika lakini wangeweka anuani kamili ingekuwa bora zaidi bila kuondoa zile zilizowekwa kwenye tangazo ambazo labda ziko kwenye magazeti na sehemu nyingine lakini pia kuna makosa wanayafanya kwenye matangazo yao kuelekeza mtu kwenda kwenye tovuti...
Federal Department of Foreign Affairs
Scholarships 2012/2013
Switzerland is offering a limited number of university scholarships to Tanzanian students for the academic year 2012/2013 for studies at one of Switzerland's 10 Universities and 2 Federal Institutes of Technology. The documents...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.