Hivi sio vyakula bali ni vichocheo vya kula nyama zaidi.
KICHURI
Kichuri kinatengenezwa na kutokana chakula ambacho hakijameng'enywa ndani ya tumbo la mnyama kinachanganywa na ndimu au limao, pilipili na nyongo kinapashwa kwenye moto kinachujwa na baada ya kuwa tayari kinapendeza zaidi ukila na...
Afrika kweli nimeamini tunanyonywa sana, wenye nchi yao wameunga mkono mapinduzi na hawamtaki rais aliepinduliwa. Kwanini nchi nyingine zipangie wananchi hao kiongozi anaewafaa? Kuna nini ndani yake? Ufaransa iko tayari kuisaidi Muungano wa kijeshi wa Ecowas kumrudisha rais, kwanini?
Kumbe...
Kwa kweli tusipompongeza mama kwa utawala wake tutakuwa hatuna shukrani, tumeishi na utawala uliopita tukaona wafanyabiashara na matajiri walikua maadui, wakabinywa wakashindwa kufanya miradi ya maendeleo. Wakashindwa hata kujenga nyumba zao.
Kwa Samia kuna uhuru na njia kibao za kupiga, akili...
Kwakweli mimi sijazunguka mikoa mingi sana ila kwa nilipopita bado sijaona sehemu nzuri za kula bata kama Moshi. Isipokuwa Dar es Salaam
Kwanza nilichopendea hakuna sehemu ya kiwango cha chini zote ni kama VIP ambazo kwa Dar lazma ukute vinywaji vinauzwa bei juu.
Pamoja na kuwapo na wageni...
Kwa mujibu wa BBC
Kwakweli ndio maana Urusi inapaswa kukubali tu yaishe kama Poland itapeleka Leopard 2 Uingereza itapeleka Chalenger Us ikapeleka Abram,T90 ya Urusi haitakuwa na kazi tena
Souce: BBC News Swahili
Hii bora iende... Ndio, sababu hatuna namna.
Toka mama ameingia kumekuwa na mabadiliko mengi sana. Tofauti na mtangulizi wake JPM. Magufuli alibinya pesa mikononi kwa wananchi lakini tukaona maendeleo ya serikali kupitia miradi mingi(sina haja ya kutaja sababu inaonekana).
Mama amekuja...
Hakuna rais ambaye kwenye nchi hakulalamikiwa na wananchi.
Mwalimu Nyerere
Raisi kwa kwanza Tanzania huyu aliogopwa sana matajiri, masikini lakini alifanya mengi ya kukumbukwa. Aliunganisha watu na kuondoa mgawanyiko wa kieneo.
Mzee Mwinyi
Huyu alokoselewa sana na waislamu kwa kuifungua nchi...
Napenda rege na miondoko ya Caribian beat nk. Nakumbuka miaka ya 2007 hawa jamaa walikua 🔥 sana,
Alikuwa Cosmo mwenyewe na Dj alikuwa Bula na jamaa mwingine sikumbuki jina lake. Niliipenda sana rege kwa jinsi wajamaa walivyokuwa wanaendesha kipindi hicho.
Nasikitika kwa sasa kipindi hiki hakipo...
Katika maisha kuna hali tofauti tofauti. Hali zingine ni kutokamilika kwetu, au kujisahau kwetu.
Kwa tulipofikia sasa si kila mtu anastahili kuonewa huruma na kusaidiwa na jamii. Wakati mwingine ni mavuno ya alichopanda. Hebu fikiria hii;
1. UHALIFU
Ulikuwa mwizi, umewaibia watu sana...
Kati ya watu ambao wana nafasi kwenye dunia mpya ni Tyndale na Luther.
Nikisoma historia za hawa watu nasisimuka sana, biblia imetoka mbali sana. Kama sio ujasiri wa hawa basi mpaka leo tungekuwa tunadanganywa tu.
Ujasiri wao ndio umetuweka wazi mpaka leo, Luther alihatarisha maisha yake...
1. Napoleon Bonaparte
Huyu aliasisi mapinduzi ya Ufaransa dhidi ya ufalme lakini baada ya kutawala hakuridhika, alitaka kutawala ulaya yote na alifanikiwa kwa kiasi kasoro Uingereza. Pamoja na kuogopwa na wababe wenzie bado walifanikiwa kumtoa kwa nguvu na kumshika kama kuku.
Alihamishwa kabisa...
Serikali inapswa kuwa makini sana kama ndio wanasimamia hii App.
Hayo majina ya mito yamekosewa sana. Huo mto uliopewa jina la Karanga sio jina lake halisi na sio mkubwa. Mto unaoitwa karanga ni huo nilioweka alama x na huo ulioko kwenye mshale unaitwa Nsoo.
Nimeshuhudia matukio ma4 ya uhalifu ndani ya wiki moja.
1. Ndugu yangu kabisa kavunjiwa duka wezi wamekuja na gari wamezoa kila kitu
(Tahadhari: kama una biashara ya vinywaji usilaze friji nje usiku likifanya kazi, wahalifu wanatumia umeme huo kukata milango na kofuli)
2. Ndugu ya jirani yangu...
Kutokana na mgogoro uliopo hapo ulaya nimesikia kwenye vyombo vya habari mbalimbali lakini vikitaja majina tofauti.
VOA, Mwananchi,Milard Ayo wanasema,wanatamka au kuandika jina Russia lakini BBC,DW wanaripoti jina Urusi.
Sasa swali ni jina gani la kiswahili sahihi kutumika? Russia ni...
Tuseme ulikiwa unafanya biashara maeneo yasiyo rasmi (machinga) ukatolewa na serikali.
Ukatoka na msingi wako wa 2ml kwenda mtaani kuanza biashara unaamua kuuza kiduka cha vitu vidogo vidogo labda na gas za kupikia majumbani.
Kutokana na msingi kuwa mdogo na hali ya biashara mauzo yako...
Hapa nazungumzia mikoa ya Lindi Mtwara na Ruvuma
Kwanza kabisa watu hawa wana utamaduni tofauti na wa mikoa mingine. Ni mikoa yenye wakosoaji wachache sana nchini,ni mikoa yenye maendeleo duni sana,ni mikoa ya mwisho mwisho kabisa.
Huwezi kusikia mbunge fulani au mwanaharakati hata wa...
Mtandao wa kubook tiketi za treni ni mzito sana, baada ya kufunguka unakutana na ujumbe huo.
Wewe umegundua nini hapo😁😁?
Watu wanataka kufunga hesabu zao mwisho wa mwaka wasepe. Ndio maana nasema sasa hivi ukipata fursa piga tu hakuna mzalendo tena. Kila mtu anaangalia tumbo lake.
Tanzania...
Tanzania sijaona MC mbunifu kama huyu jamaa,baada ya kufatilia video zake nyingi nimegundua hata Anord Kayanda Alikua na style hii.
Huyu jamaa nimemkubali zaidi kwa sababu anapenda rege kama mimi. Ni mkali gani wa rege bongo zaidi ya huyu?
Naona mgao wa umeme kwa sasa ni rasmi japo hakuna tangazo la TANESCO. Tulikaa miaka zaidi ya mi5 bila kusikia mgao,na ndani ya muda huo wananchi hasa wa vijijini kufungiwa umeme kwa bei chee kabisa.
Ila sasa toka ameingia ndugu yetu JM kelele zimekuwa nyingi na visingizio ambavyo kwa kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.