Search results

  1. Thelonious

    Msaada: Kwa madereva wanaosafirisha mizigo nchi za Afrika Kusini, Botswana, Namibia, Angola nk

    Thanks brenda18 Ninahitaji madereva wa malori ili kuepusha mikono mingi.
  2. Thelonious

    Msaada: Kwa madereva wanaosafirisha mizigo nchi za Afrika Kusini, Botswana, Namibia, Angola nk

    Wakuu husikeni na mada tajwa hapo juu. Mimi shida yangu natafuta dereva wa gari, lori anayeenda hayo masafa nina kamzigo kangu. Charges tutaelewana tukishakutana PM. Pia kama wamjua mmoja asiyekuwepo humu JF unaweza kunirecommend utakuwa umenisaidia sana. Natanguliza shukrani.
  3. Thelonious

    Swali: Kwa ambao hawataweza kubadilisha passport zao itakuwaje?

    Uhamiaji wakati wanazindua hati mpya walisema mwisho wa matumizi ya hati za zamani ni 2020 January. Walieleweka vizuri saana. Sasa wasiwasi wangu kuna Watanzania wanaoishi nje ya nchi bado wanatumia hati za zamani na hazijaisha. Unakuta ilibadilisha mwaka jana mwanzoni na inaisha miaka mitano...
  4. Thelonious

    Leo heshima imerejea kwenye ndoa yangu

    Umekimbilia JF kujisifu usikute mkeo naye kakimbilia group la mashoga zake. Ka-comment. Mmmh mwenzenu leo tia maji langu sijui limeninyea viagra. Ngoja kesho nione kama ataweza kurudia.
  5. Thelonious

    Kina mama si kwa kuwachimba huku wakwe zenu wakike

    Eti mdogo wako hajapata mchumba bado. Na huyo aliyekuwa anaongea naye vipi?
  6. Thelonious

    Hii ni hali ya kawaida kweli au kuna shida!

    That is a serious psychological problem. See your psychiatrist.
  7. Thelonious

    Natafuta mwanamke wa kutengeneza nae couple JF

    cc joanah sitaki kubahatisha ila naamini niliyemtag atanikubali .
  8. Thelonious

    Wanaume wenye magari huwa wanafaidi sana mahaba kutoka kwa wanawake zao

    ulisemalo lina ukweli mwingi saana ila unaeleza u mtu wa namna gani. sidhani kwa dunia ya sasa binadamu kama unakuwa na fikra za hivi...
  9. Thelonious

    Kendrick Lamar is overrated

    Read between the lines. No any comparison sketched there. BTW, who is overrating kendrick?
  10. Thelonious

    Kendrick Lamar is overrated

    Unaweza kuwa sahihi kwasababu hata mashairi yanabadilika. Tulikuwa na classical era, romanticism, modernism sasa. Ila naamini misingi ya music ni ile ile.. ni kama utawala alipita christopher columbus akapita Obama ila misingi ya kiungozi na kumbukumbu za waliofanya vizuri kwa kipindi chao...
  11. Thelonious

    Kendrick Lamar is overrated

    Kendrick is not overrated dude. He deserves all hype he's receiving. I'd even you if you were only comparing him with legends, I mean pac,nas, Jay z. But, lamar he's the king of this time.
  12. Thelonious

    Nashindwa kuacha kufikiria mapenzi, nifanyeje?

    halafu huwa unaandika kama badgirl fulani wakati u mtoto wa kimaadili kabisa. Ninayekufahamu nakuona tu hapa.
  13. Thelonious

    Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

    Jumapili njema Dr. bbade
  14. Thelonious

    Nimemtumia M-Pesa kanirudishia

    Jitafutie mdangaji na mwenye shida na hela hapo ungeulizwa baby na za kutolea jamani kipenzi.
Back
Top Bottom