Search results

  1. S

    UDSM: Rais Kikwete atunukiwa PhD ya heshima katika sheria

    Usishangae, Waafrika wengi ndivo tulivyo, tunapenda sana vitu vya kupewa bure bila kutumia bongo zetu. Ndiyo maana tunapenda sana kuandika majina yetu kwenye majengo, barabara, viwanja (stadium) ambayo/ambazo/ambavyo hutukujenga. Nenda mji wowote hapa kwetu angalia majina ya shule, hospitali...
  2. S

    Libyan Lebels ni sawa na CHADEMA nchini, tukiwachekea watatuletea maafa!

    Naipendatz nafikiri una matatizo mengi sana. Kwanza hata maana ya amani huielewi huwezi kusema hapa kuna amani wakati wamama na watoto wanakufa kila dakika kwa kukosa huduma za afya na njaa, vijana wanachinjana kwa kuiba shs 500 wapate angalua sahani ya wali mkavu kwa mama ntilie. Hiyo si amani...
  3. S

    Siku za CCM kuitwa wapinzani zakaribia

    CCM wameshajinyonga wenyewe, wanafahamu fika kuwa kaburi li karibu mno, ndo maana wanaita mizuka (Mkapa) toka makaburini kuja kuwafufua. Mkapa kuitwa na magamba kwenda Igunga kufanya kampeni naye anakubali bila haya kuandamana na Rostam aliyeitukana ccm siku si nyingi kwamba wana siasa uchwara...
  4. S

    DC Igunga amefichua udhaifu wa CHADEMA?

    Godfrey Dilunga ni mwandishi anayeandika makala zake kwa mrengo wake anaoufahamu. Yuko baised kwa makala zake nyingi akionyesha dhahiri yupo upande gani hata kwa jambo ambalo hapaswi kuonyesha upendeleo. Aliandika makala moja ya kuonyesha wazi kwamba haipendi CHADEMA na nilimtumia sms kumwomba...
  5. S

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    Ukisikia maana ya kufanya maamuzi magumu ndo hii. Hii inaonyesha dhahiri CDM kilivyo chama makini. Hawabembelezani na mtu asiye na nidhamu. Sasa hawa madiwani kiburi walitoa wapi? Wananchi wa Arusha hawakuwachagua ili wakawe vibaraka wa kurubuniwa tu, wala si kwa sababu ya kutafuta vyeo...
  6. S

    Diwani CHADEMA arejea CCM

    Kishongo inaelekea we ni mchovu sana. Sasa we umeona mwanzo wa anguko la CDM anguko la CCM hulioni.
  7. S

    Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

    Mwanangu Njagwa Chacha (sijui kama ni jina la kweli!) inaelekea labda wewe hufuatilii kinachoendelea bungeni kwa umakini unaostahili. Nadhani kama ungefanya hivyo usingehangaika kuuliza swali hili. We unazumngumzia haki gani. Kwa kifupi ni hivi, huko nyuma bunge letu lilikuwa la chama kimoja...
  8. S

    Compare and contrast: CCM vs CHADEMA

    I wonder whether Slidingroof is really making a fair comparison between CCM and CHADEMA, when it comes to bunge perfomance. Anasema "bunge has lost its role as a chamber that can have significant effects upon legislation" I would ask Ms/Mr Slidingroof what party has caused all this, ccm or cdm...
  9. S

    Lema ukicheza utapoteza Arusha mjini for good

    Mwana Kwetu, nadhani umeandika hii makala kwa hisia zako binafsi kuliko uhalisia wa mambo. Siamini hata kama kweli umepata mawazo ya kutosha ya wakazi wa Arusha waliomchagua Mbunge Lema na Madiwani wake. Mwana Kwetu mambo lazima yaende kwa sheria na kanuni. Tanzania tumefika hapa tulipo kwa...
  10. S

    Chadema inabadilisha Nchi na Chama Cha Mapinduzi!!

    Huyu bwana anayetaka data anaitwa nani vile? "pumbatupu"? Basi natumaini hili jina ni saizi yake, kwa kweli ni MTUPU, huu mwongozo anaousema umeanza kutumiwa lini na ccm? wakati wa Mwalimu au enzi hizi za akina Mkapa na KJ? ("KJ" Watu wanapend kutumia JK wakimaanisha Jakya Kikwete, mimi sipendi...
  11. S

    Hasira

    USIKUBALI HASIRA IKUANGAMIZE. Katika maisha kuna nyakati mtu au kitu kimekukasirisha kupita kiasi.Wote huwa tunakasirika. Ni kitu cha kawaida kukasirika. Akili na mwili ndivyo vilivyo. Lakini hasira kupita kiasi hubomoa, huangamiza na huaribu starehe zote za maisha. “Usiende kulala ukiwaka...
  12. S

    Sitta atoboa siri ya CCJ

    Mwanangu, Sita siyo stable tena kwa sababu nyingi tu. Lakini kubwa ni dhamira yake (nadhani iliyo nzuri) na matendo yake ambayo ni kinyume, na dhamira yake. Na anafanya hivyo kwa sababu ya chama chake. Wote tunajua ukiwa ndani ya sisiem inabidi uwe mnafiki kubwa uweze kulinda maovu ya kifisadi...
  13. S

    Kuanguka Kwa Rostam Aziz; Tafsiri Yangu

    Malecela unajidanganya, well done ya Nape ya nini? Rostam kaamua mwenyewe na wala si Nape kamtoa, Nape hana uwezo huo, yeye ni mpiga ngoma tu, ambayo mafisadi wanaamua wacheze au wasijitikize. We unayajua magamba ya sisiem? Ngoja uyaone.
  14. S

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Rosta amesema mengi sana kwa wazee wake wakati akitangaza kuachia nyadhifa zote ndani ya chama hiki kichovu. Niliona kwenye TV watu (wazee wake) wengine wakilia lada kwa kumuonea huruma. Napenda niulize hivi hasa ni wanani walikuwa wakilia? Hivi walikuwa wanawakilisha watu wote wa Igunga? Mie...
  15. S

    Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

    Wanangu hapo ndipo tulipofika katika nchi hii:- -Fedha inachukua nafasi ya utu. -Mali inachukua nafasi ya ada. -Wahuni wanatukuzwa. -Waungwana wanabezwa. -Wapuuzi wanatawazwa. -Weledi wanazomewa. Akaunti yetu inaonyesha tuna nakisi ya uongozi. Hizo ndizo dalili za kupotezahaya kwa pamoja, dalili...
  16. S

    Bungeni Kunawaka Moto

    Kweli mwanangu Sitta si kilaza, we all know that, lakini kama ulivyonena ukiwa sisiem lazima uwe mnafiki wa kutisha ulinde hata upumbavu, kwa hasara ya vizazi vya sasa na vijamvyo. Sitta anaropoka mpaka anaonekana hana darasa kichwani. Ati mbona walipokea posho kwa miaka mitano!!! "haya ndio...
  17. S

    The secrecy of quatations

    Men show their characters in nothing more than what they think a laughter. A good friend helps you to know yourself better. Almost every man can stand adversities, but if you want know one's wisdom give him power. You must know all what you say, but you must not say all what you know.
  18. S

    Ubabaishaji, upuuzi kila pembe, tuna nakisi ya uongozi

    Hiki ni kichwa cha habari cha makala ya Rai ya Jenerali ya wiki iliyopita toleo na 193 la Julai 6 - Julai 12 2011. Nawaombeni wote wale mnaoipenda nchi hii, muisome makala hiyo kwa umakini sana. Usisome kama hadithi au novel soma kama literature utakayofanyia mtihani kesho (read it meditatively)...
  19. S

    Hemorhoids

    Labda wengine hatujaelewa una tatizo gani, maanake kama wewe si Medical personnel ni vigumu kuelezea hasa nini maana ya haemorhoids. Lakini kuna nnamna nyingi za kutibu haemorhoids sio tu kutumia rectal suppositories (anusol). Nenda kwa madaktari waliosoma watakutibu.
  20. S

    JK awashangaa viongozi CCM kupenda anasa

    Kila mwenye akili timamu anaweza shangaa Kikwete anachozungumza. Anasema anasa zipi? Kwa sababu yeye anawauliza wanaomsaidia wanataka nini, wao wanamjibu mashangingi yeye anawapa wakati akijua wazi kuwa hiyo ni anasa lakini anawapa. Sasa anashangaa nini wao kupenda anasa wakati anawapa mwenyewe...
Back
Top Bottom