Search results

  1. Tzhacker 000

    Nimenunua HDD zimeanza kuandika IDE Device Failed naombeni msaada

    Wakuu Habarini Poleni na Majukumu, Ebana Nina tatizo hapa nahitaji msaada kwa yoyote mwenye Uelewa Zaidi juu ya Hili Jambo.. Juzi kati hapa mwezi wa Pili Nilinunua HDD mbili Zote TB 2 Kampuni ni (SEAGATE) na Kuweka katika mashine yangu. HP ELITE DESKTOP Core i5 Hazikupita hata wiki mbili Zile...
  2. Tzhacker 000

    Download: Money Heist (La Casa De Papel) S4

    Kwa wale Wapenzi Wa Hii Series kitu cha 4 kishatoka kama Hujapata Pita na Hio Link mzigo una Episode 8 Full HD English Language: Pia Subtitle ni English Mzigo uko hapa Link: https://bit.ly/2X1mXbk Mzigo una GB 3.43 NB: ----Not my own link Nime share tu---. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Tzhacker 000

    Kifurushi hiki kutoka Tigo ni wizi mtupu

    Wakuu Habarini, siku chache hivi karibuni nilikuja na mada kuhusu Kifurushi kile kipya cha Vodacom leo ni Hii mpya Ambayo nataka Nishee na Nyinyi. Majuzi kati Tigo wamezindua vifurushi vipya basi katika pita pita yangu nikajikwaa kwenye kifurushi ambacho niliona kinanifaa sana kwa matumizi...
  4. Tzhacker 000

    Usinunue Hiki kifurushi kipya kutoka Vodacom, utajuta

    Kuna kifurushi Vodacom wamekiweka kwenye Menu yao juzi kati *149* 01# >3>2 >2 >1>3 Kifurushi cha elf mbili na miatano unapata GB 3. Hiki kifurushi ukishajiunga Kimelimitiwa Spidi yaan kinatembea chini ya kb 100/ps Hivyo inakuwa ni ngumu kukimaliza ila ukinunua vifurushi vingine vya Internet...
  5. Tzhacker 000

    YouTube Channel inauzwa

    TAYARI ISHAUZIKA
  6. Tzhacker 000

    Sometimes Jamii Forums Siielewi (Bugs)

    Hizi ni Bugs ambazo Nakutana nazo Mara kwa Mara ...Angalia Hio picha kwenye Dp upande wa Replies Juu inaonyesha Vingine na Chini Inaonyesha Vingine Wakat Picha Halisi ya Dp niya upande wa Chini sa nashindwa kuelewa . vp Nawewe unakutana na Bugs Gan ndani Ya Jf Funguka wahusika Washughulikie...
  7. Tzhacker 000

    Wakuu Wa JF naombeni Mfanye Haya Mabadiliko

    wakuu Habarin ?? Nimeandika uzi huu baada ya kuona mambo kadhaa ambayo ni mhimu kwa Namna moja ama Nyingine Yaongezwe kwenye Forum Yetu hii ..pengine Naweza kuwa mm ndo nimeona Yana Umhimu na kwako Yasiwe na Umhimu ila najua kuna watu walishawahi Kufikili au Kuwaza Kama nilivyoona Mimi... Haya...
  8. Tzhacker 000

    Udukuzi mpya umeingia Tanzania

    Kwa Watanzania wote wanaoutumia simu za mkononi, hii ni kwa ajili yenu na naomba uwe makini uisome habari hii na kuielewa. Huu ni wizi mpya wa kutumia teknolojia ambao umeingia mjini kwa kitaalamu wanauita “Swim Swap Fraud” na kuna baadhi ya watu katika eneo letu la Afrika Mashariki tayari...
  9. Tzhacker 000

    Njia rahisi ya kuroot Tecno Spark K7

    Kama ni mgeni wa kuroot soma hizi kwanza[emoji116] Jinsi ya ku unlock bootloader kwenye tecno Twende sasa MAHITAJI Kompyuta Recovery Super SU Vcom drivers SP flash tool Baadhi ya mahitaji yapo kwenye makala za nyuma,kwahiyo hapa tutakupa Recovery na Super SU tu. Pakua[emoji117]...
  10. Tzhacker 000

    Ushauri: Nimetengeneza app lakini sijui bei yake

    Habari wana JF, kama kichwa kisemavyo, mm ni developer, nimetengeneza app yangu ya kwanza kama majaribio, lakini kuna watu wameipenda na wanataka niwauzie, lakini mimi sijui bei ya app, naombeni ushauri je niuze shilingi ngapi? Unaweza kuona app yenyewe hapa Download Bado sijaweka playstore...
  11. Tzhacker 000

    [Huyu Bot yupo tayari kukuhudumia] Habari za teknolojia kwa lugha ya kiswahili

    Habari wanajamvi kwa ujumla? Nimetengeneza bot maalum kwa ajili ya kukupa taarifa uchambuzi na trick mbalimbali za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili, kama unatumia telegram unaweza unaweza kumuadd kwenye magroup, Channel na hata wewe mwenyewe kibinafsi kama hupendi magroup yupo tayari...
  12. Tzhacker 000

    Trick: Kwa wenye Iphone 8 ,Iphone X jinsi ya kuchaji simu hizo Ndani ya mda mfupi.

    Chaji iPhone 8 Au iPhone X kwa Uharaka zaidi. Simu za iPhone 8, 8 Plus na X zina support fast charging. kutokana Na taarifa ya Apple, unaweza kuiweka chaji kutoka 0 hadi 50% Ndani ya dakika 30 lakini unahitaji gadgets za gharama kubwa . kwa Wale ambao hutumia iPhone zao kila siku kwa...
  13. Tzhacker 000

    Telegram mpya v4.7(app 1 account zaidi ya 1)

    YALIYOMO KATIKA HIO MPYA. >Multiple Account Sasa utaweza kutengeneza Akaunt mbili Ama zaidi kupitia App hio moja wala huhitaji Paraller Sapce Ili kutengeneza Akaunt zaidi. >Swipe Reply Sasa unaweza Kujibu ujumbe uliotumiwa haraka zaidi kwa ku swipe tu. >Quick Switch between different...
  14. Tzhacker 000

    Kuwa makini na utapeli huu wa mtandao

    Utapeli ni tatizo kubwa sana kwa kila mtu,hasa mtumiaji wa mtandao, huenda wewe ushawahi kukutana na aina fulani ya utapeli. Kuna aina nyingi sana za utapeli wa kimtandao, leo tutaona baadhi tu na shuhuda mojawapo. 1. KUPIGIWA SIMU NA WATOA HUDUMA WAONGO Hii imetokea watu wengi sana,unapigiwa...
  15. Tzhacker 000

    Trick: Download media zote Insta sasa

    Habari wanajamvi? Natumai wazima.. Leo nataka nionyeshe njia rahis ya kupakua media tofauti kene Instagram kwa kutumia app ndogo sana Regrann.. Unaweza ipakua hapa [emoji117] Regrann Baada ya kupakua nenda insta copy link ya video njoo nayo kene Regrann paste hapo na utafanya kama...
  16. Tzhacker 000

    Download GTA San Andreas buure kabisa

    Leo hii nmependa kushare nanyi game zuri lenye GRAPHICS KALI na challange nyingi za maisha GTA SAN ADREAS. GTA SAN ANDREAS ni game ambalo limeandaliwa na kudesigniwa na ma director tofauti kutoka nchini marekani. Hili game linahusu maisha ya kawaida hasa kwa gangstar American hivo linalenga...
  17. Tzhacker 000

    Tetesi: Baadhi ya simu kukosa huduma ya WhatsApp Dec 31(soma kama yako ipo)

    WHATSAPP Yatoa Tamko kufungia Baadhi ya Simu janja zisitumie mtandao huo ifikapo Dec 31 mwaka huu (2017). Simu janja hizo ni kama vile 'BLACKBERRY OS', 'BLACKBERRY 10' & WINDOW 8.0 Na simu zingine Aina hizo zote za Matoleo ya Nyuma zinazotumia mfumo wa OS !! Whatsap imesema Watumiaji wa...
Back
Top Bottom