Search results

  1. Morgan Fisherman

    Biashara ya kibanda cha chips

    Habarini wananzengo Nahitaji kufungua biashara ya kisasa kidogo ya kibanda cha chips Je ni mambo gani ya kuyazingatia kiserikali(eg TRA, jiji) na kibiashara? Asanteni.
  2. Morgan Fisherman

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya Barbershop (Kinyozi)

    Habarini wanajamvi, Mimi ni kijana ambae nimeingia kwenye biashara ya Barbershop (haijakamilisha mwezi lakini inaniumiza kichwa) biashara ipo Mbeya. Naombeni ushauri jinsi ya kusimamia ili niweze kupata faida kubwa, kuziba mianya ya janja janja, huduma gani za kitofauti za kutoa ili kuvutia...
  3. Morgan Fisherman

    Msaada wa namna ya kudeal na Mpangaji msumbufu

    Habarini Wanajamvi, Kuna mpangaji wangu ni msumbufu balaa kulipa kodi anasumbua (ana deni la miezi 2) na bill ya maji ndiyo kabisa hajisumbui. Naombeni msaada jinsi ya kudeal na wapangaji wasumbufu kama hawa maana nataka nishike hata mali yake moja ya gharama asije akahama usiku usiku...
  4. Morgan Fisherman

    Kitu gani cha kutumia ili kurudisha lips katika rangi yake ya kawaida?

    Habarini humu ndani. Nahitaji msaada kitu gani cha kutumia ili kurudisha lips katika rangi yake ya kawaida zimekua nyeusi mno Asanteni in advance.
  5. Morgan Fisherman

    Akili ya binadamu

    Natumai mko poa pamoja na hizi tozo[emoji1]. Mind-body dualism hii ni dhana kwamba akili(mind) na mwili(body) wa binadamu ni vitu viwili tofauti kila kimoja kinajitegemea kivyake.Dhana hii ilikua maarufu katika karne ya 17 kutokana na mwanamahesabu wa ufaransa aitwaye René Descartes,alikua na...
  6. Morgan Fisherman

    Msaada wa namna ya kutoa pesa Paypal kwa Tanzania

    Habarini. ngeomba kujua naweza tumia njia zipi kutoa hela kutoka paypal ukiwa Tanzania au ushaur wowote jinsi ya kutoa hela paypal bila ya account ya benki ya nchi husika. asanteni.
  7. Morgan Fisherman

    Tatizo la kuijitafuna nyama za pembeni ya mdomo

    Habarini wanajamvi, kuna hili tatizo ndugu yangu analo la kujitafuna nyama za pembeni mdomoni tunapewa dawa za kusukutua kwa mdomo na za fangasi zinagoma ningependa kujua nini ni shida na je tutaisolve vipi hii hali? Ushauri wenu ni muhimu kwetu. asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Morgan Fisherman

    Naomba kujua utaratibu wa kupata bima ya afya?

    HabariI wanajamvi naombenI kujua utaratibu wa kupata bima ya afya kwa ambae sio muajiriwa asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Morgan Fisherman

    Bei za kusafishia meno

    habarini kama kichwa kinavojieleza ningeomba kujua bei za kusafishia meno yawe meupe. asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Morgan Fisherman

    Naomba kujulishwa faida na hasara za kusajili kampuni

    habarini wanajamvi kama mtu ana maroli ya usafirishaji wa bidhaa i mean transit na akitaka kujisajili iwe kampuni je kuna faida zipi na hasara zipi hasa ukizingatia kwenye taratibu za ulipaji kodi? asanten nasubiri ushauri na mawazo yenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Morgan Fisherman

    Body spray gani au pafyum gani ukizichanganya zinatoa harufu ya kigentleman?

    habari kama kichwa kinavojieleza hapo kuna sehem nilisikia ukichanganya baadhi ya pyafum au body spray zaidi ya moja znatoa harufu nzur halafu unique ningependa kujua mnapendekeza zipi asanteni
  12. Morgan Fisherman

    Mwenye nyimbo ya zilipwndwa inaitwa kivumbi na jasho

    Habarini wanajamvi. Kama kichwa cha habari kinavojieleza natafuta nyimbo ya zamani enzi hzo inaitwa kivumbi na jasho naomba antumie au ataje jina la band iliyoiimba.
  13. Morgan Fisherman

    je ni kweli hii sheria ya kila simu kuwa na password imepitishwa?

    habarini wanajamvi kama kichwa cha habari kinavojieleza kulinganisha na picha iliyopo nngependa kupata ufafanuzi juu ya hii sheria
  14. Morgan Fisherman

    Swali kwa wanawake na mabinti

    habarini wanajamvi na swali moja huwa sielewi hasa kwenye misiba unakuta wadada na wamama wakilia wanaweka neno " eee tata" hivi huwa lina maana gani? nawasilisha.
  15. Morgan Fisherman

    Wanaume wa mikoani tunakufa kiume

    habarini wanajamii. kama kichwa cha habari kinavoonesha ushirikiano na picha ya chini hapo. wanaume wa dar gari zao zote zina airbags watu wa mikoani tunakufa kininja hatuhitaj kuwa na airbags wala breki kwenye gari zetu NB:hii ni nchi huru povu ruksa.
  16. Morgan Fisherman

    zijue tamthilia(TV series)kali 10 za muda wote.

    Habarini wanajamvi. leo nimewaletea tv series kali za muda wote na ratings zake. 1. Planet earth II ( 2016) : ratings 9.5 2. Band of brothers (2001) : ratings 9.5 3. Planet earth (2006) : ratings 9.5 4. Game of thrones (2011):ratings 9.4 5. Breaking bad (2008): ratings 9.4 6. The wire...
  17. Morgan Fisherman

    Wanaume wa dar watafikiri hapo ni kwa mganga.

    habarini wakuu. kama kichwa cha habari kinavojieleza.
  18. Morgan Fisherman

    Huu ndio uanaume

    habarini wanajamvi huu ndio uanaume ila co uanaume wa dar.
  19. Morgan Fisherman

    laptop yangu haiwaki.

    habarini wakuu nina laptop aina ya advent nlkua naitumia vzur lakn nkasafiri kama wiki hiv narud nakuta haiwaki ila inaonesha inaingiza chaji. nahitaji ushaur wenu nfanyaje au tatizo ni nini.
  20. Morgan Fisherman

    Wenye mamlaka wanapaswa wajitambue

    Habarini wanajamii. Unapokuwa na mamlaka, kila mtu atakusifia hata kwa kila kosa la kijinga unalofanya na hii itaweka mwisho kwa wewe kujiboresha. Watu wenye mamlaka wanapaswa kukaribisha upinzani ili kujiboresha kwa kukosolewa pale wanapokua wamefanya kinyume na taratibu zilizowekwa kikatiba...
Back
Top Bottom