Search results

  1. S

    Zitto aishauri familia ya Filikunjombe isipeleke nje migogoro inayowakumba

    akiongea na kipindi cha XXL, siku ya jumatatu iliyopita ambayo ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka mitatu toka kifo cha Deo Filikunjombe. Zitto alisema kuwa kwanza hadi sasa haamini kuwa Deo alifariki, na kuwa kwake yeye urafiki wake na Deo ulienda mbali ya urafiki na ukawa kama undugu. pia...
  2. S

    INAHITAJIKA GARI NDOGO YA KUKODI

    Gari ndogo ya kukodi inahitajika kwa matumizi ndani ya Dar es Salaam. kama unayo nitumie message inbox kwa mawasiliano zaidi.
  3. S

    Mtifuano kampeni za CHADEMA Turwa-Tarime; Viongozi wala pesa za kampeni, wawataka wenyeviti kutembea kwa miguu kufanya kampeni

    MTIFUANO KAMPENI ZA CHADEMA TURWA-TARIME Viongozi walamba pesa za kampeni, waamua kutembea nyumba kwa nyumba Wapanga kuvunja kanuni na maadili ya uchaguzi kwa kuomba kura siku ya kupiga kura. Mgombea agoma kutoa pesa za biashara alizokopa VICOBA Hali ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya...
  4. S

    Waziri Lugola tunaomba mrejesho wa mbwa

    Kwa kuwa muda uliompa kamanda Sirro umepita naomba mrejesho kama hiyo 6pm ulitwangiwa na kamanda au la, na kama hajatwanga unamchukulia hatua gani?
  5. S

    M/kiti halmashauri Tarime Mjini (CHADEMA) afumaniwa, apigwa kalazwa hospitali ya wilaya

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Mjini, Hamisi Nyanswi (CHADEMA), usiku wa kuamkia jana majira ya saa 10 usiku alifumaniwa na kupata kipigo kikali, hali yake sio nzuri na amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Tarime. Taarifa zaidi zinasema kuwa, Hamisi alikuwa amelewa na alimchukua demu wa...
  6. S

    Tetesi: Milestone International Co. Ltd iliyolipwa Milioni 866.6 ni kampuni ya Mbowe inayosimamiwa na shemejiye Kineneko Mtei

    Kwanza naomba kwa heshima na taadhima, admin msiunganishe uzi huu na mwingine. Ndugu wanajukwaa, kama wote tupendavyo, juhudi za kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya kodi za watanzania ni endelevu na popote pesa hizo zinapokwenda sisi watozwa kodi lazima tuhoji. Nimeona uzi huku ndani...
  7. S

    Salum Mwalimu ana watoto, asidhalilishwe

    Katika uzinduzi wa kampeni za CCM, Jimbo la Kinondoni maeneo ya Biafara, walisimama watu mbalimbali, Bwana Tamim alidai kuwa yeye anatoka Zanzibar na Salum Mwalimu hivyo akadai anamjua kwa undani na anajua sababu za kwa nini hajao hadi sasa, alienda mbali na kusema kuwa mtu asiye na uwezo wa...
  8. S

    CHADEMA kushiriki chaguzi ndogo

    Kamati Kuu ya CHADEMA iliyoketi jana imefikia muafaka wa kubadili gia angani na kushiriki chaguzi ndogo zilizotangazwa na tume ya uchaguzi. Kuanzia saa 5 asubuhi hii viongozi wa CHADEMA wataongea na waandishi wa habari kuelezea kwa undani sababu za wao kufanya maamuzi hayo.
  9. S

    CCM yasomba viongozi ACT, CHADEMA, CUF Tarime, Mwanza, Bunda, Dar es Salaam

    MWENYEKITI MPYA UVCCM AANZA KWA KUVUNA VIONGOZI WA UPINZANI KAMA KUMBI KUMBI VIONGOZI WAFUATAO TOKA TARIME, MWANZA, BUNDA, DAR, BUTIAMA WAPOKELEWA NA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA NDUGU KHERI JAMES JANA JIONI KWENYE MKUTANO MAALUM WA KUTAMBULISHWA KWAO AMBAPO ALIKUWA NA MH. HUMPHREY POLEPOLE NA...
Back
Top Bottom