Search results

  1. Don Clericuzio

    NBA - Clay Thompson of GSW Suffers Achilles Tear, will be out for a season

    Hii ni habari mbaya kwa washabiki wa GSW waliotegemea kupambana na Lakers msimu huu baada ya kuburuza mkia kwa sababu za majeruhi msimu ulioisha. Tuendelee kusubiri mpaka msimu mwingine tena, ila kwa mtazamo wangu GSW is no more in terms of a competitor.
  2. Don Clericuzio

    Pele - The Global Icon

    Wakati tukiendelea kumpa pole Messi na Barcelona kwa kipigo kikubwa kutoka kwa Bayern, nimepata nafasi ya kuandika kidogo kuhusu Pele, ni tafsiri kutoka kwenye kitabu chake cha Why Soccer Matters, na kiasi kutoka kwenye machapisho mengine yanayohusu maisha ya huyu nguli. Nilipata motivation ya...
  3. Don Clericuzio

    NBA yamesimamisha ligi kwa sababu ya Coronavirus

    NBA suspends season due to coronavirus Rudy Gobert, mchezaji wa timu ya Utah Jazz amepimwa na kukutwa na coronavirus. Hii imesababisha ligi iahirishwe mpaka wakati utakaoamuliwa (until further notice). Game ya jana kati ya Oklahoma City Thunder (OKC) na Utah Jazz iliyokuwa ichezewe Chesapeake...
  4. Don Clericuzio

    Happy New Year To All Man United Fans

    Naomba nichukue nafasi hii kuwatakia heri na baraka washabiki wote wa Man United. Wajaliwe kuendelea kupata matokeo kama waliyoyapata msimu uliopita na huu unao endelea, kwa miaka mingi ijayo.
  5. Don Clericuzio

    Kazi - Data Entry (Accounting Related)

    Kuna assignment ya 2 weeks or 3, ni data entry. Sifa za mwombaji: Awe amesoma Accounts IFM au UDSM (Average GPA ya 3.8+ kwa First Year na Second Year) Awe amemaliza chuo mwaka huu July/June 2019 Awe Dar es Salaam Awe na Laptop Awe hayuko busy, means awe tayari kufanya kazi chini ya...
  6. Don Clericuzio

    Mikopo ya Benki na Matumizi Sahihi kwa Watumishi

    Last week kuna mdau alizungumzia kuhusu kufanya maamuzi ya kuacha kazi ili akapige mishe zingine mtaani, kwenye mjadala ikaibuka point ya makato ya mikopo kuwa mikubwa kiasi cha kusababisha net kuwa ndogo kiasi cha kutokidhi mahitaji. Nikawaza kwamba hili tunaweza kulijadili kama topic...
  7. Don Clericuzio

    Urais 2020 Hatuna Chaguo Zuri

    Kwa washabiki wa mpira watakumbuka jinsi washabiki wa Manchester United walijikuta hawana jinsi isipokuwa kumshabikia adui jirani. Hii ni kwa sababu wasingependa hasimu wao mkubwa Liverpool FC achukue ubingwa na kuwakaribia. Hali waliyokuwa nayo washabiki wa Man United tunaenda kukutana nayo...
  8. Don Clericuzio

    Mitazamo ya Wazee Vijijini Kuhusu Sakata la CAG na Spika

    Hope all is well. Leo nimepata muda wa kuongea na Baba ambaye yuko Kasulu-Kigoma kwa muda wa zaidi ya masaa mawili (dakika zaidi ya 120) kwenye simu. Maana aliniomba mapema kwamba kama nitakuwa na muda wanahitaji kuongea na mimi kuhusiana na hili swala la CAG. Baba ni mwana CCM na amewahi...
  9. Don Clericuzio

    Kahaba Kumng'ata Sehemu Za Siri Mteja

    Leo nimepata muda wa kusikiliza radio EFM kipindi cha Ubaoni, wana segment inaitwa Ripoti ya Leo. Hapo wamerudia ripoti ambayo wengi wameomba irudiwe. Msimuliaji alikuwa ni mama ambaye mume wake ndo kafanyiwa kitendo hicho, haijafika mwisho kiasi cha kujua kwa nini mtoa huduma kamfanyia hivyo...
  10. Don Clericuzio

    UEFA nations league

    UEFA NATIONS LEAGUE DRAW League A Group 1: Germany, France, Netherlands Group 2: Belgium, Iceland, Switzerland Group 3: Italy, Poland, Portugal Group 4: Croatia, England, Spain League B Group 1: Czech Republic, Slovakia, Ukraine Group 2: Russia, Sweden, Turkey Group 3: Austria, Bosnia...
  11. Don Clericuzio

    Tigo ni shida

    Tigo nimeshidwa niwaweke kundi gani, walichonifanya nimewaelewa. Jana usiku nimenunua vocha shs 2,000/-, nikajiunga kifurushi cha kupiga mitandao yote cha shs 1,000/-, nikaongea na simu moja kama dakika 7 hivi nikawa nimemaliza. Nilivyomaliza nikasema hii 1,000/- iliyobaki niunge kifurushi...
  12. Don Clericuzio

    Techno Camon CX Air

    Topic closed
  13. Don Clericuzio

    Don Clericuzio

    Wakuu naombeni mnikaribishe humu ndani.
Back
Top Bottom