Search results

  1. N

    CHADEMA na CCM wamefanikiwa kuiua CUF?

    Mgogoro wa Chama cha wanainchi CUF hatuwezi kusema hauna adhari za moja kwa moja kwa mustakabali wa siasa za nchi yetu na demokrasia kwa umajui wake. Ni ukweli ulio dhahiri kwamba CCM na CHADEMA wanaupalilia mgogoro huu uendelee kuwepo ama kusiwe na maelewano ndani ya CUF kila mmoja kwa wakati...
  2. N

    Kwanini wakristo wanauawa kinyama mataifa ya kiarabu?

    Wana jamvi twaweza toana tongotongo kwa adha wanayoipata wakristo wa Koptic huko Alexandria na kusini mwa jiji la Cairo Misri, tumekuwa tukisikia matukio kadhaa ya wakristo kuuawa katika nchi ya Misri ambayo bila shaka inajinasibisha ni nchi ya kiialamu. Kwa wataalamu wa dini ya kiislamu ni...
  3. N

    Mfumo wa siasa na uharibifu wa bongo za vijana.

    Ukiangalia jinsi mifumo ya siasa inavyoendelea katika nchi yetu tunaona taswira ambayo si njema kwa mustakabali wa Mama TANZANIA. Vijana leo wanafia vyama vyao vya siasa kuliko kulifia taifa, wako tayari kupongeza sehemu ambayo haikupaswa kupongezwa, wanakosoa sehemu ambayo haikupaswa...
Back
Top Bottom