Search results

  1. N

    Mtwara: Ukabila wa hali ya juu wagubika zoezi la uhamisho wa walimu kwenda shule za msingi

    Wewe hamia huko ulikopekekwa acha kelele! Huyo afisa elimu msingi mzaliwa wa kagera kawazadia ualimu mkuu ndugu zake akina Mutakyao pindi tu baada ya kuwasili msingi. Hivyo fanya kazi acha nasi tupambane na hali zetu.
  2. N

    Mwenye CV (wasifu) wa Kamanda Lazaro Mambosasa aweke hapa

    Wewe CV na degree yako ya kikuda imekusaidia nini? Mweleze mbowe umuhimu wa cv kama atakuelewa.
  3. N

    Tahrir Square ya Tanzania

    Kumbe bongo wapo wakweli kiasi hiki?
  4. N

    MISUNGWI, MWANZA: Mwanasheria wa Halmashauri asimamishwa kazi kwa upotevu wa Milioni 279

    Wewe uwe na akili kidogo! Wakati hajawa mwenasheria wa halmashauri hakuona fursa ya kujiajiri?
  5. N

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Endelea kukiri kumpenda shetani kuliko Rais alie binadamu mwenzako. Ungekunywa sumu ili ukapumzike huko kwa mpenzi wako shetani
  6. N

    Serikali ya Tanzania imezuia usafirishaji wa Makontena kwenda Zanzibar

    Wakenya hebu mkamateni Omolo na mrudisheni miguna miguna! Ya watanzania hamtayaweza. Dunia ya sasa hakuna fala pambaneni na hali zenu.
  7. N

    Hivi ni kweli wananchi hawampendi Rais wetu?

    Kwa mfano wewe boda boda umpende ili iweje? Endelea kuipenda TVS King yako yatosha.
  8. N

    Kuwa rais kwenye nchi ya dunia ya tatu ni kazi rahisi kuliko ya karani

    Mtoa mada haujaunganisha ... kati ya kichwa cha mada na kinachozungumzwa. Kama siyo kazi kuwa Rais katika nchi za ulimwengu wa tatu jaribu uone. Tofautisha kati ya kuwa Rais na kufanya maamuzi ukiwa Rais.
  9. N

    Hawa ndo tunawasifia kuwa wana Demokrasia?

    Mahakama ina nguvu gani kama inatoa maamuzi na yanapuuzwa? Africa yote ni manzaganyanza.
  10. N

    Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!.

    Kaka yangu Paskali unanishangaza sana na maswali unayojiuliza na baadae kujijibu wewe mwenyewe! Hivi huyo makamu aliposema kwa niaba ya rais wa Chama cha wanasheria kuna mtanzania ambae hajui Rais wa Chama cha wanasheria ni nani?
  11. N

    CHADEMA na CCM wamefanikiwa kuiua CUF?

    Ni kweli kaka huu ni upuuzi wangu tu! Nawe upuuze, ila duu eti sijui kama najua kutongoza.
  12. N

    CHADEMA na CCM wamefanikiwa kuiua CUF?

    Mgogoro wa Chama cha wanainchi CUF hatuwezi kusema hauna adhari za moja kwa moja kwa mustakabali wa siasa za nchi yetu na demokrasia kwa umajui wake. Ni ukweli ulio dhahiri kwamba CCM na CHADEMA wanaupalilia mgogoro huu uendelee kuwepo ama kusiwe na maelewano ndani ya CUF kila mmoja kwa wakati...
  13. N

    Msaada kuhusu matokeo ya kidato cha nne

    Akili nyingine kama pono vile.
  14. N

    Lissu: Kiburi cha Mbowe kimeniokoa

    Hivi huko Chadema hamna habari?
  15. N

    February 17, 2018, ama zetu ama zao. Hatutakubali kuibiwa Kura-

    Shida yeye siku hiyo atakuwa anavuta shisha tu nyumbani.
  16. N

    Aliyejitolea nyumba kwa ajili ya ofisi za CHADEMA ahamia CCM!

    Usiishie kusema inakusaidia nini chukua hatua? Wape nyumba wafanye ofisi.
  17. N

    Wakurugenzi simamieni uhamisho wa walimu wa sekondari yasije tokea ya masasi girls huko Mtwara

    Huyo mwalimu wa Masasi Girls kama kumbukumbu zangu ziko sawa ni Masters holder na hivi sasa baada ya zengwe la kupelekwa msingi kang'atuka ameamua kurudi kijijini kwao kulima.
Back
Top Bottom