Habari Wana jamvi?
Naomba kutoa mawazo yangu kuwa Kuna jambo haliko sawa jijini Mwanza hususani swala la miundombinu. Jijini Mwanza hakuna miundombinu au barabara za kiwango cha jiji Kama ilivyo kwa majiji mengine. Barabara ndani ya jiji la Mwanza ni ndogo, na za zamani.
Ukiangalia barabara ya...
Kuna ile mwanamke unamwona au mnafahamiana. Muda si muda mnapeana namba na mawasiliano kuanza. Katika kuwasiliana, mwanamke anajiletaleta au kujitongozesha.
Lkn inatokea mwanaume havutiwi na yule mwanamke. Hii ni kwa sababu wanawake wengine au huyo mwanamke sura haisomi kabisa au shape...
Tatizo la Umeme nchini ni kubwa sana. Tatizo hilo ni la muda mrefu, miaka mingi sana. Mikakati na mikakati imekuwa ikipangwa lakini hakuna kinachoendelea.
Kuna miaka ya nyuma ilisemwa kuwa ile gas ya Mtwara ingemaliza kabisa tatizo la Umeme nchini, lkn hakuna kilichotokea.
Taifa au serikali...
Hii iko Wilaya na Mkoa gani ndugu? Kutoka million 35 hadi zaidi ya 100millions, hizi nyingine hujasema ziliparikanaje ? All in all hongera sana kwa kazi nzuri!
Awamu hii wananchi wamelalamika nini mbele ya Makonda? Umesema amekalia kuti kavu baada ya wanancji kulalamika lakini hujasema malalamiko ya wananchi ni juu ya nini..... Be specific !!
Tanesco masika wanalalamika eti miundombinu imeharibiwa na mvua; kiangazi eti mabwawa hayana maji. Tanesco hawataki masika wala kiangazi, labda sasa waende sayari ya Mars ndo hakuna masika na kiangazi!
Hapo aliyeenda kusoma na mwenye Elimu yake humjui na hakukuomba chochote umsaidie, ukimjua si utanuna na kukonda ndugu...... Hakuna anayeenda kusoma ili ku ringishia mwingine. Jiamini tu !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.