Search results

  1. TEAM 666

    Loe Dec 7 2023 natimiza miaka Sita ndani JF

    Siku kama yeo mwaka 2017 niliingia rasimi katika mtandao wa JF imetimia miaka Sita kama mwana JF natoa shukrani kwa wana Jf wenzangu kwa michango yenu. Nimebadili sana maisha yangu mtazamo wangu ndani ya hii miaka pongezi zangu kwa Moderator @maxemelo
  2. TEAM 666

    Hadi muda huu sijasikia mafuriko Kigamboni

    Wakuu Kigamboni ndio sehemu salama kwa Dar?
  3. TEAM 666

    Watanzania wameombwa kupaza sauti zao kulaani mashambulizi ya Makombora yanayofanywa na Taifa la Israel kwenye ukanda wa Gaza eneo la Palestina

    Rai hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali,wakati akizungumza na waandishi wa habari akizungumzia juu ya machafuko yanaendelea kati ya Israel na Palestina. Aidha,Balozi Abuali amesema mashambulizi hayo yamekuwa yakitoa roho za watu...
  4. TEAM 666

    Ninunue kiwanja sehemu gani ndani ya Dar?

    Habari wakuu ñina mpango wa kununua kiwanja Dar ukubwa wa sqm 800 katika maeneo kati ya mbezi, kigamboni chanika chamazi bajeti yangu million 10 au kibaha Sehemu gani itakua nzuriii ambayo haitakua kushoto kwa muelekeo wa Tanga
  5. TEAM 666

    Duka la Kuuza mayai ya kisasa na tray zake

    Habari wakuu Nina plan yafungua duka la Kuuza mayai ya kisasa pamoja na tray zake Mpango wamayai ninunue Moja kwa Moja kwa wafugaji wakubwa location itakua Dar Ubungo huku na mm nitaanza taratibu kuwafuga hawa kuku target and of the day mayai nizalishe mwenyewe kutoka shambani nisiwe dalali...
  6. TEAM 666

    Macho ya mtoto kutoa matongotongo tangu anazaliwa

    Habari wakuu, Mtoto wa kiume ana miezii miwili sasa macho yake yanatoa matongo tongo, tumeenda hospital wakatupa dawa tumemtia lakini wapii still hadi sasa hili tatzo limekua sugu. Masada wenu wakuu.
  7. TEAM 666

    Kiwanja Dar au ninunue Guta la mizigo

    Habari wakuu. Ushaurii wenu ninunue Guta la mizigo au ninunue kiwanja Dar
  8. TEAM 666

    Ugonjwa gani umeikumba michungwa yangu

    Habari wakuu Naomba kujuzwa mm nimkulima wazao la michungwa msimu huu machungwa yamekua na ukungu mweusi na majani yake ya michungwa yamekua meusii kama kwenye picha. Msada wakuu
  9. TEAM 666

    Punguzeni Ushuru mnafanya vitu rahisi kua vigumu

    Habari wana JF Hiii sio sawa TRA yani ushuru wa hii gari milion 55 sawa na nusu bei ya hii gari uko Japan kama kijana umejichanga uchukue hii ndinga Land cruser prado milion 97 Japan lakini ukija Bongo Unailipia tena milion 55 kama ushuruu Hii inawapelekea kama serkalii kukosa kabisa haya...
  10. TEAM 666

    mwaka 2022 finca walipata hasara ya 3.4bn corona ilitaka kuua hizi bank

    Finca Microfinance clears losses , records profit in 2022 Finca Microfinance Bank Limited posted a profit after income tax amounting 1.3bn / - last year , compared with a loss of 3.4bn / recorded during the previous year . The statements show total assets increased to 79.7bn / - during the...
  11. TEAM 666

    Benki ya Finca kutokuwepo na ATM imekaje wadau?

    Nahitaji kufungua account na hii bank ili niweze kuweka fixed diposit lakini cha kushangaza hii bank kadi zao hazina huduma ya fixed diposit. Vipi usalama wa hii bank wakuu? BOT
  12. TEAM 666

    Wapi nitapata Spea za pikipiki kwa bei ya jumla?

    Habari wakuu, Wapi nitapata chimbo la spea za pikipiki kwa bei ya jumla nahitaji kuuuza jumla la rejareja sasa wapi nitapata mzigo kwa bei ya jumla mwenye data kuhusu hii biashara msaada wakuu.
  13. TEAM 666

    Benki ya NBC yazindua hati fungani ya NBC Twiga Bond riba 10% kwa miaka mitano

    Benki ya NBC Yazindua Hati Fungani ya NBC Twiga, kuwainua wajasiriamali na wadau wa kilimo. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza utoaji wa Dhamana (bondi) ya miaka mitano inayofahamika kama Dhamana ya Twiga NBC, (NBC Twiga Bond) ambayo inamlenga mtu yeyote anayetaka kuwekeza na kupata...
  14. TEAM 666

    Nataka kuweka mzigo wangu Finca Bank

    Habari wakuu, Nina seving yangu ya milion 50 nataka kuweka finca fixed deposit nasikia wanatoa riba ya 14% kwa mwaka tofauti na bank nyingine wao hutoa 6%. Asilimia 14% za finca zimenivutia nataka kuzifata wasiwasi wanguu kuhusu hii bank usalama sije ikafilisiwa na BOT, Je pesa zetu...
  15. TEAM 666

    Niulize chochote kuhusu biashara ya duka la rejareja

    Habari wakuu: Nafanya biashara ya duka la rejareja yapata miaka 6 sasa mafanikio makubwa nimeyapata kupitia hii biashara hakika sijutii kuingia katika hii biashara. Nakaribisha wana JF kushare nikichokua nacho kupitiaa hii biashara ya duka la rejareja pia nakaribisha wadau wenye uzoefu...
  16. TEAM 666

    Kuna mashine ya kuchonga njiti za makuti?

    Habari wakuu Kuna fursa mtaani imekuja ya ununuzi wa mafagio ya njiti za makutiii kwaajili ya kuwekezea paa za nyumba za watalii Wananunua ujazo wa role ya ufagio kwa tsh mia tano 500/ Shunguli ya kukaa na kisu na kuanza kunjoka si ya kitoto je kunaurahisi mashine inayoweza kuchonga
  17. TEAM 666

    Msaada kulipa deni Benki

    Habari wakuu, nahitaji kuchukua mkopo bank kupitia dhamana ya pesa zangu ambazo zipo kwenye account ya NMB bonus account Lakini kupitia hii account nahitaji kufanya fixed deposit. Je, nitawezaje kulipia huu mkopo kipindi ambacho account imefungwa? Nadhani nimeeleweka. Msaada tafadhali.
  18. TEAM 666

    NMB imetangaza kupata faida ya shilingi Bilioni 298

    Benki ya NMB imetangaza kupata kupata faida ya shilingi Bilioni 298 kabla ya kodi ambayo ni sawa na mwaka wa 54 % ndani ya nusu ya kwanza ya mwaka 2022 tofauti na kipindi kilichoishia June 2021 ambapo ilipata faida ya shilingi Bilioni 193. Baada ya kodi imeongezeka kwa asilimia 53 na mawazo ya...
  19. TEAM 666

    Toyota Landcruiser TX-l gari ya kiume kweli kweli imesimamia ngapii

    Habari wakuu hii gari aina ya toyota hizi toleoo la mwaka 2020 kama sikoseii nigari bora zaidi kutolewa kwenye matolea ya landcruiser prado ndomana hata serkali yetu inayaagiza kwakasi sasa yanaenda kushindana na V8
  20. TEAM 666

    Tatizo la kupakua video App kama tubemate videroder

    Habari wakuu, Infinx hot 11 play kushindwa kupakua video online hii inatokana na nini?
Back
Top Bottom