Search results

  1. J

    Hakuna sehemu yenye Majungu, unafiki kama Maofisini

    very true, kuna mnyakyusa mmoja huko lindi ni shida na nusu
  2. J

    Hakuna sehemu yenye Majungu, unafiki kama Maofisini

    Hizi mtu ni hatari, sijawahi kujua shida ni nini, tena bora shule za mjini, za huko porini ndio tatizo
  3. J

    Umetumia Smart kitochi?

    natumia youpin qin, iko poa sana. kuna mtu kaipenda nataka nitafute youpin qin f21s
  4. J

    Kwanini Samsung wameanza kukomaa na processor za Mediatek?

    inauzwa tshs 391,000 AliExpress, 5G huku bado sana kwa sasa, mbaya zaidi redmi note 10 ina bei zaidi ya hii
  5. J

    Kwanini Samsung wameanza kukomaa na processor za Mediatek?

    unazungumziaje redmi note 10 5G, naona ina dimensity 700, na nilihofia sana maana leo AE inauzwa 391
  6. J

    Computer4Sale HP Intel core i7 inauzwa

    naomba model namba, nitakua mwanza next week
  7. J

    Leo naleta mrejesho kwa huyu msichana wa kilokole

    unafeli, nilishawahi kua na mtu wa hivyo, hua malaya wa chinichini, siku ukijua utapata heart attack. samahani kwa maneno makali.
  8. J

    Hapa inakuaje?

    h7 ila nyingi naona ni za afrika magharibi, kenya zipo mbili tu
  9. J

    Hapa inakuaje?

    Wakuu salama? Nilisafiri kwa muda wa wiki 3, kurudi nikajuta kifurushi cha tv kimekwisha (natumia azam ug) basi nikachukua waya wa dish nikachomeka kwenye tv direct, nika add satellite kama 2, ku search nikapata channel ka 40+. kwahiyo nikashindwa kuelewa ni kwangu tu au na wengine mnapata...
  10. J

    Hivi ni kwanini tumeshindwa kujenga O'bey, Masaki, Ada Estate au Upanga nyingine?

    kwa Tanzania nimeona mji mdogo kama Biharamulo umepangwa vizuri sana, wamejitahidi sana hadi leo. Ila katoro pale dah changamoto mno, na kuna nyumba za gharama kubwa sana ila hakuna mpangilio kabisa. Mi naona hizo ramani wangekua wanapewa viongozi wa kata na mitaa mapema
  11. J

    Wauza smartphone tukutane hapa

    sio refurbished boss? maana nimetafuta mpya mwanza sijapata
  12. J

    Wauza smartphone tukutane hapa

    natafuta samsung a5 ya 2017
  13. J

    Nahitaji kufika Mkange Bagamoyo

    au nenda mpaka Matipwili utafika
  14. J

    Suala la UKIMWI Njombe: Inahitajika hali ya dharura

    Hali mbaya sana, kuna mkoa nipo kwa sasa dah...
  15. J

    Bunge litunge Sheria raia yoyote atakayetembea na mke wa Askari aliye vitani kifungo miaka 45

    umesema ukweli mtupu, hua hawajali vitu muhimu, wanaangalia sura, na vitu vingine vingine, huku nilipo ni mji mdogo wamewamaliza ma bar maid karibu wote....
Back
Top Bottom