Search results

  1. K-wire

    Wimbo gani wa R&B unaoupenda na kukukosha moyo?

    Mimi nakumbuka zile nyimbo za Westlife, boys to men, backstreet boys etc Ninyimbo nzuri sana Mdau wewe zako ni zipi?
  2. K-wire

    Tuna shindwa wapi wasomi wenzangu?? Nani alaumiwe

    MAMA NA MWANA Gozbert ; Mama wamenifukuza shule Mama : Hivi ndo nimetoka kijiji cha Mkomanzila kwa rafiki yangu kuchukua pipa nikoroge pombe, nikiuza nitakutumia mwanangu. Kazana kusoma Gozbert; Sawa mama naomba na pesa ya Matumizi, nitashukuru. Mama; Sawa Mwanangu Gozbert: Mama shikamoo...
  3. K-wire

    Wadau hii imekaaje. Huyu mwanaume tumuweke kundi lipi?

    Poleni na majukumu Hii nimeikuta mahali. Habari yako bwana HASSAN Narumaini hatufahamiani.mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen.mkewangu ni ANITA ambae kwa sasa ndio baby wako kipenziiii kwa maelezo niliyoyakuta kwenye simu yake. Leo nakutumia sms hii sio kwa ubaya bali kwa kukupongeza kwa...
  4. K-wire

    Mabinti msiwe walahisi kihivyo inasikitisha sana

    Mwanamke bila msimamo huwa ni sawa na choo cha kulipia, yeyote mwenye pesa ya kukidhi hitaji la kutoa haja yake, huingia na kutoa kisha huondoka na kuacha harufu na uchafu wake. Usichana ni sawa na chakula kilichohifadhiwa kwenye bakuli zuri na safi kikiwa kimefunikwa, ikitokea chakula hiki...
  5. K-wire

    Barber shop zenye huduma ya massage temeke

    Wakuu Habari za mishale hii, Kuna jamaa yangu ameniomba nimuulizie sehemu wanakotoa huduma ya massage au barber shop zenye huduma Hizo hasa maneno ya Temeke au tandika. Yeye anatoke Mtwara, ni dereva wa Maroli yuko njiani na amechoka balaa. Anahitaji kufika hapa town apate huduma Hiyo. Naomba...
  6. K-wire

    Sehemu yenye huduma ya massage parlour Temeke Dar

    Wakuu Habari za mishale hii, Kuna jamaa yangu ameniomba nimuulizie sehemu wanakotoa huduma ya massage au barber shop zenye huduma Hizo hasa maneno ya Temeke au tandika. Yeye anatoke Mtwara, ni dereva wa Marilu yuko njiani na amechoka balaa. Anahitaji kufika hapa town apate huduma Hiyo. Naomba...
  7. K-wire

    Majuto ni mjukuu: Wadada kuna cha kujifunza hapa

    *MAJUTO NI MJUKUU* Dada zangu kuna kitu cha kujifunza hapa Niliolewa na mwanaume mpole sanaaaaaa miaka mitano iliyopita, yani nikisema mpole ni mpole mno, hakunifatilia hata sikumoja, hakuniuliza nini wala nini, alinpa uhuru wa kutosha, nikiaga naenda mahali anasema nenda, hata kama narudi...
  8. K-wire

    Once your wife starts sleeping with other man, just know that your death is near

    Read This Carefully | A man can cheat on his woman and still love her but a woman cannot cheat on her man and still love him. I say this because while men do not have sex with emotions, women can't have sex without attaching emotions to it. This is the reason men simply need a place to have sex...
  9. K-wire

    Mpenzi wangu nilikuwa nampenda tena saaana ila leo hii kanisaliti

    *Kweli wasichana mna akili za usiku tu. Unakuta msichana analalamika, "Ooh nyie wavulana ata mfanyiwe nn hamridhiki, ata mpendwe mara ngap, mi mpenzi wangu nilikuwa nampenda tena saaana ila leo hii kanisaliti",,, wakati ukichunguza mapenzi yao, huyo msichana sawa alikuwa anampendwa...
  10. K-wire

    New member in town

    Am the new member about two weeks now. Its my precious to join JF. Thanks in advance Buddy
Back
Top Bottom