Search results

  1. Antonio Conte

    Israel: Iran na Hezbollah wakiingilia hii vita, US wataingia kutusaidia

    Hivi huu ni ushabiki au ni kitu Gani? Yaani Hizbullah iifurushe America? Achen mambo yenu ya kijinga
  2. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yaani mpk mwakani mtasikia milio mingine. Sasaivi anga la Ukraine Kwa kiasi kikubwa liko vzr Russia anafanya mashambulizi Kwa kutokea mbali kabisa ata ndege za Russia haziwezi kuzurura hovyo ktk anga la Ukraine. Hakuna Cha Iskandar Wala Cha Kinza yaani Wala takataka ya S400 na 500...
  3. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Joe Biden anajua sn kusukuma kete ya Chess board! Yaani anasukuma taratibu huku anagonga Blue label taratibu. Sasa ktk haya majira ya baridi na masika Russia atakimbia ktk ardhi ya Ukraine. Ukraine watakua na F16, watakua na long ranges kibao kutoka US, France na Germany na Storm Shadow ambazo...
  4. Antonio Conte

    Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

    Tobaaaaa Ivi unamfahamu mkristo wa Kweli wewe?? Mkristo wa Kweli ni msabato na nje ya hapo walio Baki wote ni wa uongo Na Bikra Maria alikufa na kuzikwa hapa hapa Duniani Wala hakupalizwa kwenda Mbinguni.
  5. Antonio Conte

    Chimbuko na Upotofu wa kanisa la Waadventista Wasabato

    Tobaaaaaaaa! Warahi yaani kanisa lijengwe Kwa kajiwe kadogo yaani mwanadamu Petro badala ya kujengwa Kwa Mwamba mkuu ulio imara Yesu Kristo? Hebu basi acha hizo we Mzee wa ukatukumeni
  6. Antonio Conte

    Lijue Jeshi la North Korea - Uwezo wake na Nguvu zake. Kwanini USA wanaliogopa?

    Watu wanapenda kujifurahisha sn! Yaani hii US iiogope NOKO? Kwa kipi hasa US aiogope NOKO? US haiogopi Russia ambae ndio Mwenye madude mengi ya nuclears kuliko NOKO na China na Iran alafu Leo mnakuja kupiga kelele hapa NOKO sijui mdudu Gani?!! Hebu acheni hizo bhana. Km mmeshiba na mnakuja hapa...
  7. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Russia baada ya kuona Kinzal zinadunguliwa sasa Leo karusha Iskander 11 na zote zimedunguliwa.... Russia kabakiza kitu Gani hajagusa ktk silaha zake??? Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  8. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Uingereza akisema atatoa basi ujue mzigo uko ktk uwanja wa vita tayari Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  9. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sasa hbr za warusi za Nini wakati wao wanaandika kirusi tu??? Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  10. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yes jamaa walitangaza kutuma mzigo kumbe mzigo ulikua tayari ktk uwanja wa vita unafanya kz! Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  11. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ata last year wakati Russia anaondolewa Karkiv pamoja na Kehrson walikua wanasema hivi hivi matokeo yake wakakimbia Hii counteroffensive ya Ukraine ni ya hatari mno maana jamaa wanashambulia maeneo yote... Tena wamejipanga vzr Kweli na Russia ime switch ktk defensive hii ikiwa na maana kwamba...
  12. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Black sea fleet za Russia sasa ziko chini ya Storm Shadow. Kimbizeni makorokocho yenu hayo Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  13. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa muda mrefu Ukraine walikua wanafanya maandalizi ya hii counteroffensive. Wakijifunza namna ya kutumia hizi silaha za west. Sasa ni wakati wa kuanza kuona hizo silaha na impact zake Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  14. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mjadala mkubwa uko ktk Storm Shadow Je zitleta mabadiliko Gani ktk uwanja wa vita?? Maana tayari ziko ktk ardhi ya Ukraine. Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  15. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huo mstari mwekundu auchore Kwa Nani? Hajipendi eeh?? Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  16. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yule Trump chizi pandikizi la Russia anaweza kuongea point Gani zaidi ya pumba? Mataifa ya magharibi wao wanafikiria hayo manyuklia tu ya Russia na si vinginevyo. Yaani nyuklia ndio zinaibeba Russia lkn ktk mambo mengine Russia ni km Zaire ya Mobutu Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums...
  17. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Russia sio tishio Tena Kwa West Countries. Mataifa ya magharibi yanaiona China km tishio kwao linalokuja na sio Russia! Russia walishaimaliza zamani kabisa kilichobaki Kwa Russia ni kukifuta tu sasa Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  18. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hoja za kijinga kabisa. Hiyo somalia ambayo US anafanya anavyotaka iwakimbize US? Yaani waswahili bhana. Mnaichukulia US km Zaire ya zamani ya Mobutu..... Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  19. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Labda west ya kigoma Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  20. Antonio Conte

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Yaani somalia iwakimbize US? Hoja za kijinga kabisa hizi Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom