Search results

  1. Mnazareth

    Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

    utajijua mwenyewe na mchepuko wako
  2. Mnazareth

    Hongera JF member "Trudie" kwa kupata mtoto, kheri ikawe kwako na familia yako

    Kataa ndoa sasa inahusikaje hapo.. Hongera Trudie Kataa ndoa
  3. Mnazareth

    Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

    Kushinda mitandaoni nayo ni kazi,na inalipa sana siku hzi
  4. Mnazareth

    Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

    Mahusiano ni mtego wa kuingia kwenye ndoa. KATAA NDOA
  5. Mnazareth

    Wafaham Vijana wa kampeni ya "Kataa Ndoa " !!

    Vijana wa kataa ndoa wana hoja ya Msingi Kataa ndoa,ndoa ni mtego na maumivu kwa mwanaume
  6. Mnazareth

    Vijana tafuteni partner sio mke

    Naanza kuielewa hii kampeni ya Kataa ndoa
  7. Mnazareth

    Ubikira Wangu

    Safi sana
  8. Mnazareth

    Wanawake mnawezaje kuishi na mwanaume anayefokafoka?

    Hadi nimecheka...wanakuwa mafundi wa kubembeleza enhe
  9. Mnazareth

    Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Kwa hali inavyoonesha Ruto kachukua nchi,hawa nation kabla ya saa moja usiku watakuwa washakamilisha mahesabu
  10. Mnazareth

    Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    uchaguzi wakenya realtime https://elections.nation.africa/
  11. Mnazareth

    Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

    Dah mbona unanikatia Tamaa namna hii?? Au wewe ndio umempata huko tayari??😀😀
  12. Mnazareth

    Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

    Mie kwako mbona sipindui na unajua...sijui kwanini tunapishana
  13. Mnazareth

    Wanawake hivi mnapendea nini sauti nzito?

    😀😀🙂 haya bhana...Nimekumiss duh
  14. Mnazareth

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Hahaha eti bonge la baba ,hamna niko vilevile.usiogope..unaanzaje kumuogopa kaka yako?? Sasa hvi utakuwa unaniona sana tu
Back
Top Bottom