Search results

  1. A

    Hii ndio Tanzania ya 21st Century ya uchumi wa Viwanda na Teknolojia

    Kazi ya maboresho ya reli ya kutoka korogwe - Mombo-Moshi-Arusha imeshafika stesheni ya Mombo, kazi zinazokamilishwa kwa awam ya 1 ni kumalizia bàadhi ya maeneo yaliyoachwa kutokana na reli au vifungashio kungolewa na kuibiwa
  2. A

    Kurugenzi ya habari ya CHADEMA bado mko karne ya 19

    Inawezekana vipi kuwa hamua Youtube Channel ambayo inakuwa updated? Inawezekana vipi tukio kubwa kama lililomkuta Tindu Lissu mmeshindwa kuwa na coordinated flow of info kwenye Twitter, Instagram, Facebook, Whatsapp na kwingineko? Hatujaona mtu yoyote ambaye ni sharp, smart, worldly...
  3. A

    Swali ambalo Zamaradi Kawawa kashindwa kujibu

    Ametumiwa e-mail yenye kuuliza idara za serikali zinatakiwa kutoa majibu ya e-mails na barua baada ya muda gani? Email imekuwa delivered kwake huu mwezi wa 3 hajajibu. Kapigiwa simu kasema aliona email lakini hajapata muda wa kujibu Hivyo maana yake ni kuwa serikali ya nchi hii haijali...
  4. A

    The Canadian Connection

    Wenzake karibu wote wameenda Umrah (Hijja ndogo) kufanya ibada ukizingatia Umrah ya mwezi wa Ramadhani una thawabu zaidi na waumini wa dini yake wenye uwezo kama yeye huutumia mwezi huu kufanya ibada zaidi Yeye anakwenda Canada (alirusha picha kwenye Twitter) Je huko Canada kuna nini? Ile...
  5. A

    Baa la Njaa: Baraza la Usalama la Taifa wako wapi?

    WanaJamii kuna yeti ambayo inakuja na inahusiana na mambo ya usalama wa nchi na kwa wanaoelewa kuwa huwezi ukawa na national security kama huna food security..nadhani media za Tanzania zitaipick tuu quite soon au mnao scan mambo ya nje mtakuwa mshakiona hicho chuma kinachokuja na moja kwa moja...
  6. A

    Mohammed Said request

    Mwanahistoria Tunaomba utuleteee Historia ya Mzee Ali Hassan Mwinyi tafadhali na sio haya mambo ambayo yamekuwa diluted tunayopewa na magazeti alikozaliwa career yake familia yake ilikuwaje akawa rais wa nchi 2 tofauti mafanikia yake na ilikuwaje au aliwezake kumkatalia Nyerere na sera za...
  7. A

    Mwanamapinduzi John Mashaka kapotelea wapi?

    Huyu John Mashaka alikuwa awe future leader kwenye serikali ya Mtukufu Rais Magufuli kwa sababu ana meet all the criteria Msomi na ana Phd etc Na alikuwa anasema kuwa ni cabinet material na angeweza kufanya mapinduzi makubwa sana ya uchumi wa nchi hii kutokana na experience yake pale WALL STREET
  8. A

    Rais Magufuli mbona kapunguza Spidi?

    Nashangaa siku hizi hakuna kutumbua majipu Incompetency iko pale pale Mafisadi bado wanaendelea kutanua mitaani na siasa ziko pale pale WITO: Mheshimiwa Rais naomba uongeze spidi ya kunyoosha watu na mkazo tilia kwenye kuwekeza kwenye teknolojia. services za serikali zitolewe kwa njia ya sim...
  9. A

    Kwanini Kikwete asihamie New York?

    Alisema atatumia muda wake aliostaafu kuwahudumia watu wa Msoga, bagamoyo na Pwani bila kusahau alisema wazi kuwa moyo wake anasononeka kuona hakuna suluhu ya kudumu ZANZIBAR ana atatumia muda na connections zake zote kusuluhisha mgogoro wa Zanzibar Lakini cha ajabu hajawahi kukanyaga Rufiji...
  10. A

    Hii ndio NHC ya zama za Magufuli

    Nyumba affordable ya raia wa kawaida ni milioni 800 Hivi huyu Nehemia na NHC wanaishi dunia gani? Hivi kwa hali iliopo sasa hivi kuna mtu wa kununua hizi nyumba? Materials na technology zimefanya construction costs zishuke maradufu. Sasa sielewi why bei ziwe kubwa kiasi hiki? Cha kujiuliza...
  11. A

    Taskforce ya "siri" ya Magufuli iko accountable kwa nani?

    1. Rais anaongoza nchi ya watu milioni 50 2. Ndio kamanda mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama 3. Kaenda kwao Chato, na kutoa kauli kuwa: Ana task force ya siri ambayo inafanya kazi ya kupitia maofisi ya serikali na vitengo mbali mbali na kusema wazi kuwa kikosi hicho cha siri...
  12. A

    Magufuli ataendelea kumlinda Waziri Charles Kitwanga mpaka lini?

    Huyu ni waziri wake wa mambo ya ndani na wengine wanasema ni ndugu yake. Lakini kila kukicha skendo na tuhuma mbali mbali zinazidi kumwandama huyu waziri kuanzia kuchukua mishahara bila kulipwa BOT kwa miaka 6 mpaka hii ya Lugumi enterprises, NIDA na mengineyo. Kama mlipa kodi najiuliza kwa...
  13. A

    Reginald Mengi alituonya juu ya Yusufu Manji tukamdharau

    Nakumbuka mzee Mengi alituambia tuwe makini naye,Lakini leo hii ndiye kampuni zake zinapewa tenda karibuni zote Serikalini (asilimia 90). Huyu mpaka vifaa vya kijeshi anasupply yeye, magodown makubwa yoote anamiliki yeye Huyu imekuwaje amekuwa na nguvu kiasi hiki? Je, aliyoyasema Mengi juu ya...
  14. A

    Nyumba za AVIC TOWN vs DEGE ECO VILLAGE

    Bei zao vipi Zipi zinafaa kununua kwa mtu mwenye kipato cha kati? Pay plan zao zikoje? Nataka kujua maoni ya wana JF
  15. A

    Hivi washauri wa Ridhiwani Kikwete ni akina nani?

    Natazama maendeleo ya kisiasa ya mtoto wa ndugu Jakaya Kikwete nashindwa kuunganisha na kuelewa baadhi ya maamuzi yake. Binafsi naamini kuwa kama akiweza kujipanga anaweza kufika mbali lakini somethings don't add up. Lakini kuna msemo unasema kuwa ukitaka kujua mfalme mzuri au mbaya tazama...
  16. A

    Ethiopia nao washatupita, Kwanini Tanzania tunaendekeza siasa?

    Ethiopia baada ya kuanza shall usafiri wa Light Rail kwenye mjini wake mkuuu wameamua kujenga High Speed Railway kama za Japan na China. Lakini hawajaishia hapo wameamua kujenga uwanja wa ndege mkubwa kuliko zote Afrika ambao utachukua watu million in 120 kwa mwaka. Sisi airport yetu hapa Dar...
  17. A

    Huyu ndio swahiba mkubwa wa Magufuli

    Huyu ndio strategic planner wa Magufuli. I just hope kuwa Magufuli anajua kuwa huyu jamaa ni hatari sana kwa brand yake na atakuwa ni tishio kubwa kwa usalama wa Taifa kama mipango yake itafanikiwa. Namheshimu sana Magufuli na naamini ni mtu makini na naamini ataweka national interest mbele ya...
  18. A

    MUSLIM VOTES: Waislam wa Magomeni wamwalika Membe kwenye Qaswida!!

    Lowassa last week ka raise milioni 300 kujenga msikiti Wiki hii membe kaalikwa kwenye Qaswida na waislam wa Magomeni sijui ata raise kiasi gani Sasa kama hawa waislam wako serious kwa nini wasiwaalike hawa wagomebea ili wawapatie pesa za kujenga hospitali kubwa kama zinazomilikiwa na wa...
  19. A

    Kwanini Serikali haitaki ku-address hizi Conspiracy kuhusu BAKWATA?

    Kuna conspiracy au inawezekana kuna ukweli lakini the narative kutoka kwa waislam Tanzania goes like this: 1. BAKWATA ni NGO iliyoundwa na Serikali na sio waislam 2. BAKWATA imekuwa inaongozwa na viongozi ambao elimu zao ziko chini sana na hi sio reflection ya waislam 3. Serikali imekuwa...
  20. A

    Kwanini Wamerekani wanamtaka Omari Nundu (MB)

    Nyeti ni kuwa Huyu alikuwa ni waziri aliyefukuzwa kazi na JK baada ya kugoma ku saini mikataba ya kifisadi kwenye dili la utanuzi wa Bandari Dar. Naamini threads na documents zipo kuelezea kwa undani nini kilichotokea na jinsi alivyooingilia maslahi ya Wakubwa zake wa Kazi ambao wako kwenye...
Back
Top Bottom