Search results

  1. K

    Polepole: Maendeleo ya watu na vitu, vinategemeana

    Na: Idara ya itikadi na uenezi CCM Taifa. 12 May 2018 Dodoma. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Humphrey Polepole amefafanua kwa kina mahusiano yaliyopo kati ya maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu katika mahafali ya Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu ambapo wanachama zaidi ya 1000 wa...
  2. K

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    Na Jumanne Lutengano Majoka Mjasiriamali Mbeya Mjini. Hakuna mashaka kuwa mapokezi ya bashasha na kauli aliyoiandika Prof. Mark Mwandosya katika ukurasa wake wa Twitter baada Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi “Sugu” kuachiwa kwa msamaha wa Rais hapo jana anaungana na kauli ya Sugu mwenyewe...
  3. K

    Mwenyekiti UVCCM Taifa avipongeza vyombo vya habari kwa kuwasemea wananchi

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndg Kheri Denis James (MCC) ametembelea kituo Cha Habari Efm na Etv katika Ofisi zake zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam Akiwa katika ziara hiyo ameahidi kuendeleza ushirikiano na vyombo vya habari pamoja na kupongeza wadau wa...
  4. K

    UVCCM yawatakia kila la heri wanafunzi wa kidato cha sita

    Umoja wa vijana wa CCM umewatakia kila la heri wanafunzi wa kidato cha sita nchi nzima katika mitihani ya Taifa inayoanza kesho.
  5. K

    Dhana potofu: Nyongeza ya mshahara Mei mosi

    Na Yahya Msangi (PhD). Lome - Togo Nimepitia kurasa mbalimbali za vijana na wengi leo wamelalamikia mishahara kutoongezwa na raisi. Siwalaumu sana kwa kuwa ndivyo walivyoaminishwa na hakuna anayewaelimisha. Wengi wananukuu au kuongozwa na historia; wananukuu "enzi ya Nyerere". Tatizo ni...
  6. K

    Tuvute subira, Tanzania yenye neema inakuja

    Na Dr. Anthony M. Diallo Historia nzuri sana hii Kuanzia mwaka 1978, ukuaji wa uchumi wa Tanzania na Kenya, vilikuwa ardhi na mbingu. Tanzania ilijikuta katika vita, na baada ya vita ikajikuta mufilisi. Fikiria Taifa lilihitaji dola milioni 300 tu hivi za kufufua uchumi, lakini...
  7. K

    Ufunuo wangu kuhusu tuzo ya Abdul Nondo

    Anaandika Joseph Kalala, Urbana University. Kama haujapata kuuelewa ufunuo basi huu ndio ufunuo wa kweli kuhusu mambo haya yanayoendelea Tanzania; 1. Mabalozi kadhaa kutweet na kuretweet tukio la hivi karibuni la tuzo za haki za binadamu ni ufunuo kuwa mabeberu wanateseka wa maendeleo...
  8. K

    Dr. Magufuli lifted veil: African economies could bask in sunlight

    By Derek Murusuri, Business Analyst 29-4-2018: INCONCEIVABLY when an influential business man based in Africa to try and convince the British Government to re-annex the United States of America to raise a hyper power on earth that would ensure a lasting world peace. In a world dominated by...
  9. K

    Sanaa ya maandamano na sikukuu: Nyuma ya pazia kuna wakubwa

    Anaandika Sheikh, Dr Yahya Msangi(PHD). LOME, TOGO. Ni vyema wenzangu mkaelewa yanayojiri nchi nyingine ili mtafakari kwa makini. Kumekuwa na harakati za kuandaa maandamano nchi mbalimbali Afrika toka kipite kimbunga cha ARAB SPRING. Kipunga kiklichoanzia Tunisia kikasambaa kwa kasi Misri...
  10. K

    Mfahamu Zahera Mwinyi, kocha mpya wa klabu ya Yanga

    Million 600 za CAF, million 250 za sportpesa, million 180 za macron na million 80 za kampuni ya maji ya Afya. Kutokana na kuingia hatua ya makundi.
  11. K

    Mfahamu Zahera Mwinyi, kocha mpya wa klabu ya Yanga

    Kuhusu Zahera Mwinyi. 1. Kuwa coach katika bara la Africa haihitaji Sana mtu mwenye utaalam mkubwa, Bali anahitajika mtu mzoefu na soka la Africa. "Ukocha ni project" Katika project kuna Mambo makuu matano. 1. Initiate Hapa tunaona kwamba Kuna uanzishwaji wa wazo(idea) katika project...
  12. K

    Mfahamu Zahera Mwinyi, kocha mpya wa klabu ya Yanga

    Kuhusu Zahera Mwinyi. 1. Kuwa coach katika bara la Africa haihitaji Sana mtu mwenye utaalam mkubwa, Bali anahitajika mtu mzoefu na soka la Africa. "Ukocha ni project" Katika project kuna Mambo makuu matano. 1. Initiate Hapa tunaona kwamba Kuna uanzishwaji wa wazo(idea) katika project...
  13. K

    UVCCM yaanzisha mahusiano na chuo kikuu cha Whitworth Marekani

    TAARIFA 23/04/2018 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Ndg.Kheri Denis James na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa amekutana na kufanya mazungumzo na Profesa Megan Hershey mhadhiri mwandamizi kutoka kitivo cha Sayansi ya Siasa katika Chuo Kikuu cha...
  14. K

    Nani mkweli kati ya Zitto Kabwe vs Serikali sakata la trilioni 1.5?

    Anaandika Abbas Mwalimu UKWELI NI UPI? Nchi yetu kwa sasa ipo katika hali ya sintofahamu ya taaluma ya uhasibu, kufuatia ripoti ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) kuonesha kuwa kuna kiasi cha shilingi trilioni 1.5 ambazo inadaiwa na baadhi ya watanzania kuwa hazionekani...
  15. K

    Ripoti ya CAG katika Vyama inaonesha hakuna mbadala wa CCM Tanzania

    Na: Said Said Nguya Leo natumia fursa hii adhimu kuwaletea makala inayoeleza mustakabali wa Vyma vya Siasa na mbadala wa Chama Cha Mapinduzi kwa kuitizamia na kuichambua ripoti ya CAG iliyotolea hivi karibuni. Nianze na msemo maarufu unaotumiwa na mwanasiasa mmoja hapa nchini kuwa" Chama...
  16. K

    Mwili wa Agnes Gerald 'Masogange' waagwa leo katika viwanja vya Leaders

    Mwenyekiti Wa UVCCM Taifa Ndugu Kheri Denis James Leo Aprili 22, 2018 Ameungana Na Familia, Ndugu, Jamaa Na Marafiki Katika Kuaga Mwili Wa Msanii Maarufu Nchini Bi. Agnes Gerald (Masogange) Katika Viwanja Vya Leaders Club Jijini Dar Es Salaam.
  17. K

    Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka apokea wanachama 283 Zanzibar

    Mbali na kupokea na kukabidhi kadi kwa wanachama wapya 283 katika Mkoa wa Mjini Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Tanzania Ndugu Shaka Hamdu Shaka amezindua pia madaftari maalum ya wanachama kwa ajili ya kusajili upya wanachama wa UVCCM na kuhuisha takwimu zilizopo za wanachama. Vile vile aliyafungua...
  18. K

    Tetesi: Waraka wa watumishi wa CCM walioondolewa kazini kinyume na Katiba ya Chama

    Porojo za vijiwe vya kahawa.... Mabadiliko ya katiba ya CCM tume ya utumishi ni sekretarieti ya CCM. Mkutano mkuu umemalizika Disemba mwaka 2017 na kufuatiwa na kamati kuu iliyofanyika Chamwino ambayo ndiyo iliyoteua majina ya wagombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa Singida Kaskazini, Songea...
Back
Top Bottom