Search results

  1. Darleen

    Watanzania mliokuwa mnamtukana Hayati Magufuli mkaungame na mkaombe msamaha kaburini kwake

    Nimesoma makala moja humu ni dhahiri tunaendeshwa na mabeberu tena wametukalia mabegani. Kipindi cha stiglers goj sijui george nlitaka kushawishika kuwa mradi ule ulikuwa unaharibu mazingira, ila niliangalia faida za kuwa na bwawa kuba la umeme ni nyingi kuliko kutunza mazingira ya eneo lile...
  2. Darleen

    Jana siku ya wanawake nimempiga chini aliyekuwa housegirl wangu

    halo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Darleen

    Nahis mke wangu kapewa ujauzito na staff mwenzake na akautoa.

    Wadau kama heading inavyojieleza hapo, nipo kwenye dilema kubwa sana baada ya mke wangu kunijulisha kuwa ni mjamzito. Kutokana na matatizo ya uzazi tuliyonayo specialist akashauri apigwe ultrasound. Majibu yakatoka ujauzito una wiki 5 na siku nne, na mm nlikuwa huo mwezi ulotajwa nlisafiri...
Back
Top Bottom