Search results

  1. Asiye na Chama

    Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

    Shida yetu wabongo tunataka kwenda na matukio sana bila kutafakari! Ile ya kware ilikua kali!
  2. Asiye na Chama

    CCM ni kati ya vyama vikubwa duniani (nyuma ya India, China, Pakistan na Uturuki)

    Ukimfumania mke wako utasema ni sawa kwa sababu na wa jirani alifumaniwa?
  3. Asiye na Chama

    CCM ni kati ya vyama vikubwa duniani (nyuma ya India, China, Pakistan na Uturuki)

    Ni kweli, na miaka yote ya kutawala bado tunahangaika na matundu ya vyoo kwenye shule!
  4. Asiye na Chama

    DC mteule ndugu "Mchopanga" alisoma shahada ya kwanza bila kuwa na matokeo ya kidato cha sita licha ya kuisoma kwa miaka mitatu

    Cheo cha DC hata mtu ambae hajaenda shule anaweza kupewa, it is not a professional post!
  5. Asiye na Chama

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ulishamwoma mama akila mahindi njiani au kugawa mapapai? au akienda kuswali anarushwa kwenye vyombo vya habari?
  6. Asiye na Chama

    Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

    Kweli kaka, hata watu wa hali ya chini mambo yalienda vizuri, fikiria mpaka mchoma mahindi anaweza kumiliki bastola!
  7. Asiye na Chama

    Ushauri kuhusu kuwa Mwanasiasa

    Kuwa mwana siasa kianzio uwe na unafiki wa kutosha, na usiwe na aibu!
  8. Asiye na Chama

    Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

    Ni kweli kabisa, ila akiendaga kwa nini wanaposti?
  9. Asiye na Chama

    Tanzania Kwenye Vyombo Mbalimbali Duniani

    Mkuu unapoteza nguvu bure, huyu hawezi kukuelewa!
  10. Asiye na Chama

    Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

    Za polio, ndui, tetanus etc zilifanyiwa tafiti nchi za joto?
Back
Top Bottom