Search results

  1. Abubakar Abdallah

    Nampenda rafiki yake kuliko yeye

    Stori za kutungwa,unaboaa
  2. Abubakar Abdallah

    Malipo ya youtube yanapatikanaje

    Wanajamvi kama kuna mtu anatambua watu wanalipwa vipi youtube kwa video wanazoweka naomba anijuze,na anapitia hatua zipi....
  3. Abubakar Abdallah

    Mazoezi ya viungo

    Nataka kubuild body bt naanza na juu kwanza,lakini watu wanantisha niongeze ratiba ya mlo,eti wale mabode byulda msaada plz...,na ukiweka na aina ya zoezi la kupiga sio mbaya,na mda wa kuona outcomez.....
  4. Abubakar Abdallah

    Unajipaka mafuta gani mwilini?

    Ni vizur pia ukiweka na bei yake..
  5. Abubakar Abdallah

    Unajipaka mafuta gani mwilini?

    ....ni losheni ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanya ngozi ing'ae...,kuondoa dark spots pamoja na weusi weusi?...[emoji1]
  6. Abubakar Abdallah

    Mapenzi bila mawasiliano

    Unayaonaje,wewe unaweza kuvumilia kutowasiliana na mpenziwo[emoji1] kwa mda gan...,
  7. Abubakar Abdallah

    Je,tendo la dhambi usiyo ijua ni dhambi ? .

    Infact ukristo una mapungufu makubwa kwenye misingi ya imani yake,kuanzia dhambi ya asili,utatu mtakatifu,mgawanyo wa maagano,namna ya kufuata mafundisho na mengine mengi,....concept ya dhambi ya asili hata uiwaze na kujaribu kuitetea vipi,bado ina mapungufu makubwa na haiko sawa
  8. Abubakar Abdallah

    Shuhudia mechi ya Barca Vs Chelsea kwa kifurushi cha Bomba ndani ya Dstv

    Kwan mobdro wanakuaga na ghrama gan?
  9. Abubakar Abdallah

    Manchester United wang'olewa na Sevilla katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mungu huyu bundi apite mbali
  10. Abubakar Abdallah

    Rais Magufuli aeleza sababu za kutosafiri nje ya nchi

    Lipi hilo mkuu[emoji1] [emoji1]
  11. Abubakar Abdallah

    Uwanja wa Taifa: Yanga 3 - 1 Stand united, ligi kuu soka Tanzania bara

    Aya sasa kumekuchaaaa, pooooopoooooo kwenye nyumba twaajaa yaheee, mikia hoi bin taaban
  12. Abubakar Abdallah

    Simba na Mtibwa wanahoma zinazofanana!!

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] mataira fc
  13. Abubakar Abdallah

    Simba na Mtibwa wanahoma zinazofanana!!

    Ndugu nimesema anabadilika kutokana na mechi au anashinda kila mechi??!! Na pia game ya mbao kwa yanga sio ngumu? Enhe nitajie na game nyingine
Back
Top Bottom