Mbona watu walilalamika na baadhi ya wabunge, lkn lini serikali ilishaamua kupitisha kitu Bunge letu au hata wapinzani au wanaharakati wakazuia. Hata hivyo najiuliza "ni lini wananchi wa nchi hii watawaachia wanasiasa wa Upinzani na wanaharakati kuwatetea na wao wako kimya wakisubili matunda"?
Tulieni sindano iwaingie vizuri. Zinanunuliwa meli 8 za uvuvi bahari kuu Zanzibar 4 Tanzania 4, Zanzibar wakivua samaki mapato ni ya kwao na Tanzania ikivua samaki mapato asilimia kadhaa ni kwa Zanzibar kama mgao wao wa faida.
Umesema vizuri kabisa. Magufuli aliteua makada kushika nafasi za ukurugenzi wa Halmashauri ukifika uchaguzi akatangazwa ambaye hajashinda wataanza kulalamika eti wasimamizi ni makada. Wakati mwingine sielewi huu upinzani. Uchaguzi ujao A kutoka upinzani anashinda anatangazwa B wa CCM sasa...
Hizi kumbukumbu zitakuwa zimefutwa makusudi tu. Abdulwahid Sykes aliandika historia ya Tanganyika lkn Mwalimu Nyerere anatajwa kutoipenda kwakuwa ilitaja wahusika waliopigania Uhuru kwa kusaidiana na Mwl. Inawezekana hata Serikali zilizofuatia hazitaki tuwajue.
Kwa maana hiyo ni sahihi kumwita Mbunifu wa Nembo ya Taifa. Hata yule mjane katika mahojiano yale alikiri kwamba alimwona mume wake akichora kwa kuanfalizia katika nembo nyingine.
Safi sana. Tena unakufa bila hata kuacha chochote nyuma. Angalia huyu mzee kinachomuuza/mwokoa ni Kazi ya mikono yake, Nembo ya Taifa. Sidhani hata rais alikuwa anajua kuwa shujaa huyu yupo mtaani anataabika. Je aliyebuni Bendera yetu ni nani na yuko wapi?
Bata gani wakati wa Nyerere? Nyerere mwenyewe alishindwa kula bata. Kamwone Katibu wa Nyerere hali aliyonayo muda huu. Ukitaka kujua wakati wa Nyerere hali ilikuwaje, hebu jiulize sasa hivi hali ikoje, ukitafakali hali hii ukapata majibu, sasa kwa Nyerere hii ni ya Magufuli ni treller. Acha...
Jamani mnijuzeni ni wapi hapa Arusha Ibada ya Kitaifa kuwaaga wanafunzi waliofariki ajalini jana itafanyika? Au ndo kila mmoja anajichukulia tu mwili wa mtoto wake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.