Search results

  1. P

    Joshua kama mwakinyo tuu

    Ngumi ni akili...ukipigana na mtu mrefu inabidi um bane sana yaani usiwe mbali naye maana ukimwachia nafasi ndio anapata ya kukupa kichapo..luiz alijua hiyo ndio maana luiz alijaribu kumbada Aj sana ndio maana Aj ikabidi muda mwingie anamkwepa luiz asimkaribie kwa kumkimbia
  2. P

    Msaada: Nimesahau password ya simu yangu

    Wewe unataka huyo jamaa atengeneze bomu..haya
  3. P

    Kuanguka kwa Demokrasia Tanzania: U-Magufuli na mabadiliko yasiyo na baraka za Watanzania

    Na wewe umeandika heka nzima ukionyesha uhusiano wako wote na mcc...rubbish
  4. P

    Fiesta Ina hali mbaya

    Nadhan amekuelewa
  5. P

    Najuta kuhamia kwangu Kerege

    Itabidi akulipe kwa ushauri wako
  6. P

    Mtazamo Wangu: Kwanini Kicheere ana fursa ya kuwa CAG bora kuliko Assad

    Hivi mkuu alikuwa Tanroads kwa miaka mingapi , na kichere alikuwa Tanroads kwa kwa miaka mingapi..
  7. P

    Mali za Marehemu Bilionea Erasto Msuya, ndugu ngumi mkononi

    Mimi naona sio rahis mtoto amwache mama yake afie ndani mali zipo, anauchungu na mama yake hata kama anahatia lazma afaiti kumtoa mama yake, hana pesa zaidi ya kuuza mali za baba yake .yeye afanyaje
  8. P

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Bora ufute uzi wako uliopost. Hauna mvuto.
  9. P

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Natumia gari rav4 oldmodel, kuna mlio unaitwa kiduku hasa kwenye magari mengi ya rav4 , mlio huu hutokea pale unapoweka gia kwenye D or R. Hulia mara moja tu. Shida ni nin
  10. P

    Wrong parking agent...usumbufu sana

    Sasa hivi wamekuja na kucheki kama gari yako inamwaga oil wakikuta wanapiga cheni..fain nasikia ni laki 3
  11. P

    Wrong parking agent...usumbufu sana

    Yaani otoke kwenye gari upige picha..hawa watu wasumbufu sana, sioni tatizo lipo wapi ya wao kuweka vibao vya no parking khepusha usumbufu au kuchora ile mistari ionekane
  12. P

    Wrong parking agent...usumbufu sana

    Niende kwenye hoja husika , jaman hawa jamaa wa wrong parking wanasumbu sana hasa kwa hapa Arusha, sijui sheria inasemaje unakuta umepata emejenci unamsubir mtu aje muuondoke gafla wanatokea na kukupiga cheni tena dereva akiwa ndani ya gari..je hi ipo sawa sheria inasemaje. Pil niombe uongoz wa...
  13. P

    Wizi kwenye tozo za parking za Magari

    Arusha parking fee kwa saa moja ni tsh 300. Ila kuna hao wanajita wrong parking hawa ndio wanakere sana, majiji yetu asilimia kubwa hayaonyeshi sehemu ambayo huruhusiwi kupaki sasa hapo tunapigwa sana na hawa jamaa wa wrong parking
  14. P

    Kwanini wanaume wafupi wanadharauliwa?

    Dawa ya ufupi ni kuwa na pesa tu.
  15. P

    Chuo bora cha private kwa aliyesoma CBG combination

    Nyie watoto ci mwende instagram
Back
Top Bottom