Search results

  1. K

    Joto la sasa, nani anakumbuka kama liliwahi kutokea hapa Tanzania?

    Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona. Nikawaza tatizo liko wapi?
  2. K

    Where history "Will be"

    Dear JF members, Sometimes the things which had been "will be" meaning repeated what happened in history could be repeated . Lets peruse this document concerning our World to come in the concept of giving an eye on New World Order. P'se go through the attached document to get the whole idea...
  3. K

    Vita Ukraine inagharimu viti vya watu

    Wana JF, nilikuwa nawaza hivi kwanini House Speaker wa Merikani kang'olewa kwenye kiti? Wapo badhi ya watu wanasema ni kutokana na kusaliti wana Republican wa chama chake na kuwa mtiifu kwa Rais aliyopo kutoka chama cha Democrats mpaka asione utitiri wa misaada ya mabiliion ya Dolla zinazotumwa...
  4. K

    Majirani zetu na kufundisha kiswahili mashuleni

    Wana JF, Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao. Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto...
  5. K

    Je, ungeshauri nini kwa Waziri Mkuu wa Uingereza anayekuja?

    Wana JF kwa kipindi kifupi sana ( Chini ya miezi 3) tutashuhudia kiti cha waziri mku kuongoza nchi ya Wingereza-UK kimekuwa kaa la moto. Wawili tayari wamejiudhuru ( Borison na jana ameng'oka Liz Truss ) na next week anachaguliwa waziri mku mwingine wote kutoka chama tawala cha Conservative...
  6. K

    Njia ya PPP yaweza kusaidia pia kwendeleza miradi nchini

    Wana JF nimejaribu kuwaza hivi kwanini nchi yetu haitumii sana njia ya PPP- Public Private Partnership katika kuanzisha miradi ya maendeleo nchini? Njia hii naona inakuwa na unafuu sana maana sio mkopo bali ni ubia kati ya serikali na mwekezaji wa mradi. Mwekezaji analeta pesa yote ya mradi na...
  7. K

    Mradi wa NSSF wakulima miwa ya sukari ulifikia wapi?

    Jamani, mimi nilikuwa naulizia hivi ule mradi wa NSSF wakulima miwa ya sukari ulifikia wapi? Mradi wenyewe mpaka sasa hivi umezalisha faida kiasi gani? Miradi ikiwa mingi bila ufuatiliaji wa kuleta tija badae yaweza kuwa shida kwa wanaohitaji pesa yao kama wanachama. Nilisikia tena NSSF...
  8. K

    Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania: Kweli itaweza kuwa suluhisho kukubali matokeo ya uchaguzi?

    Wana JF, nimejaribu kuwaza sisi Tanzania katika nchi za Africa tunaosemekana kwamba ni "Third World Countries" mara nyingi tumekariri kwamba ili matokeo ya uchaguzi yakubalike na vyama vyote vinavyokuwa vinashiriki uchaguzi, ni lazima kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi Wenzetu wazungu (USA, U.K...
  9. K

    Vijana wanaofaulu mitihani ya kidato cha 4 vizuri tuwaandalie kanzi data(Database) na tuwafuatilie

    Wana JF, nimejaribu kuwaza kwamba juzi kwenye matokeo ya mtiani wa kidato cha nne 2019 hawa vijana 10 au "the best 10 students" kama yule kijana Yohana kutoka mkoa wa Simiyu na wengine waliotoka shule mbalimbali nchi nzima followup yao inakuwaje badae ili tuone kama nchi yaweza kunusuru na...
  10. K

    Sasa kushusha bei nyumba za NHC hasara ni ya nani?

    Jana nilisikia nyumba za National Housing kushushwa bei kwa mfano nyumba iliyokuwa imepangwa kuuzwa Tsh. 60 Million itauzwa chini ya Tsh 40 Million. Moyoni nkajiuliza hilo pengo hapo katikati ni hasara kwa nani?
  11. K

    Nani aliweka kanuni ya kuishi ya binadamu tajiri/ masikini?

    Wana JF, Nilisikia namimi nikashangaa! Hivi nani aliyeweka "Principle" ya kuishi kwa mwanadamu? Namanisha awe tajiri au masikini. Kwanini si rahisi kukuta tajiri akienda hotelini aagize sahani 3 just because yeye ni tajiri? Kikawaida utakuta wote maskini na tajiri hotelini kila moja anaagiza...
  12. K

    Hongera Wazalendo Industries ltd - Arusha kuweka mpango kutengeneza pikipiki

    Kutokana na gazeti la leo "Daily News" 31/10/2019 kuonyesha kwamba hawa "Wazalendo Industries Ltd" Arusha wana mpango kuanza kutengeneza pikipiki kutokana na kwamba sasa hivi wanatengeneza vifaa vya pikipiki, naona kweli watasaidia vijana wengi kupata ajira na kujikwamua katika maisha magumu...
  13. K

    Madiwani Dar es Salaam kuchelewesha miradi kuna nini?

    Wana JF jana nilifikiri kuhusu ucheleweshaji wakuamua hii miradi lini na wakati gani ianze kama Mku wa Dsm-mkoa alivyosema nkaona kuna jambo la kufanya kukata mzizi wa fitina. Sasa sijui vizuri kama Madiwani wanapata mishahara nachojua wao wanaishi kwa posho za vikao. Kwa mantiki hiyo "it goes...
  14. K

    Hivi makusanyo ya jiji la Dodoma inawezekanaje yakazidi ya Dar es Salaam?

    Wana JF naomba msaada katika kujua haya mapato yanapimwaje? Eti Dodoma imekusanya Tsh 70Billion na ikawa ya kwanza alafu Dsm kwenye viwanda kibao eti mapato Tsh 50 Billion. Nashindwa kuelewa kwani Dodoma kuna viwanda na vitega uchumi kuliko Dsm au Arusha hata Mwanza?
  15. K

    Nimefurahishwa na taarifa ya Kuongezeka Viwanda vinavyotumia gesi kutoka TPDC

    Katika gazeti la Daily News la 14/8/2019, nimefurahishwa na taarifa ya viwanda vinavyotumia gas kutoka TPDC kuongezeka kama hicho kiwanda cha Lodhia Steel industry. Sasa kama wanasema katika mieze 2 wamepunguza production costs kwa upande wa umeme kutoka Tsh250M kwa mwezi mpaka Tsh80M, sisi...
  16. K

    Hivi TMAA wanafahamu kwamba "dhahabu" ni pesa ?

    Wana JF leo nimeshangazwa kisa hichi ndani ya gazeti la Daily News la 12/7/2019 page ya 3. Sijui kwanini tunajisahau au tunafikiri kwamba sisi wote ni kama malaika. Katika mawazo yangu nilidhani dhahabu inatunzwa chini ya usimamizi na ulinzi mkali ndani ya chumba maalumu kama "Strong Room"...
  17. K

    Kukuza Kilimo bila Halmashauri kuwa na Matrekta ya kukodisha Wakulima ni ngumu

    Wana JF nilikua najiuliza hivi hii mikakati ya kunyanyua kilimo wakati Halmashauri nyingi hata matrekita ya kilimo hawana ili kuwakodisha wakulima wadogo wadogo tutafika kweli? Inatakiwa angalau kila Almashauri iwe nayo/nazo ya/za kukodisha ili mwananchi alimiwe shamba lake labda eka 2 au 3...
  18. K

    Jamani uchafu mitaro ya Kawe umezidi

    Kwa wale wanaopita eneo la kawe stand ya bus jamani hali si nzuri pale. Mitaro ya maji imegeuzwa mahala pa kutupa uchafu mpaka unashangaa kama kweli ma Bwana na Bibi Afya wanapita pale na kukausha. Saidieni hali si nzuri.
  19. K

    Ni vyema kwa JKT kuwaza juu yanjia nzuri kuhifadhi mahindi lakini waende zaidi ya hapo

    Nivizuri sana JKT kwa kuanzisha kiwanda hiki kitakomboa wananchi wetu kupata masoko zaidi pakuuzia mahindi. Sasa kwasababu Private Sector nao wamelala, nashangaa hawajawai kufikiri kwanini mahindi yanayotoka Malawi na kupitia kule mpakani mbeya yanapendwa sana na Watanzania. Nikwasababu ya...
  20. K

    Kangomba msimu huu wamepona na kuwa na uhakika wa pesa yao, je msimu ujao?

    Ni furaha kwa mwanadamu yoyote anapopata msamaha nahapo moyo wake unafurahi tena sana. Sasa nikajaribu kufikiri kama Mh.Rais kawasamehe safari hii basi walipwe lakini hawa watu hiyo ndo nature ya biashara yao toka enzi za zamani. Hivi Kangomba wataweza kujizuia kutofanya biashara hiyo msimu ujao...
Back
Top Bottom