Search results

  1. K

    Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    MO angeuza tu kiwanda kama labda hapati faida. Hana haja ya kukifunga coz economically wananchi watauza wapi chai yao?
  2. K

    Baada ya kauli ya Waziri Bashe na TBS kuhusu Mchele wa msaada toka Marekani, nini kinaendelea?

    Hapo sasa ni sisi wenyewe kuchagua bu sometimes cheap is expensive
  3. K

    Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

    Shida ni kwamba hatupendi kutumia PPP kutoka private sector. Kila kitu ni cash wakati miradi ya PPP mwekezaji atajenga na kurudisha pesa yake hata ikiwa miaka 20, 30 n.k
  4. K

    Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

    Bado ni nafuu sana kutumia masaa 3 kwasababu Dar - Dodoma kwa Bus ni masaa 9 kwahiyo kuna unafuu sana
  5. K

    Baada ya Maandamano Tundu Antipas Lissu amekuwa kimya sana, kulikoni?

    Akikaa kimya ndo ujue ushatatua matatizo. Anasubiri shida zingine aibuke ..........
  6. K

    Wengi wanakimbilia ACT Wazalendo kwa sababu ni chama huru baada ya Zitto Kabwe kustaafu. Mwabukusi na Mbatia watajwa kuhamia!

    Unataka kusema nayeye Zito anaweza kuja kama Prof.Lipumba aliendoka akageuza .
  7. K

    Joto la sasa, nani anakumbuka kama liliwahi kutokea hapa Tanzania?

    Mku unahisi jua kama linazidi kushuka. Hili jua ni kati ya mapigo 7 Mungu atatumia katika kuwadhibu wanadamu. someni biblia utalikuta ndo pigo la Nne kati ya yale Saba. Ufunuo 16:1-21
  8. K

    Joto la sasa, nani anakumbuka kama liliwahi kutokea hapa Tanzania?

    Safi sana. Kumbe na wewe mdadisi wa mambo. Lakini nafikiri huko mbeleni tunapokwenda tutashuhudia joto zaidi ya hili maana maandiko kwenye vitabu vya dini yanaonyesha hivyo.
  9. K

    Joto la sasa, nani anakumbuka kama liliwahi kutokea hapa Tanzania?

    Sasa ukiwa na hela hausikii joto? na mvua hautasikia?
  10. K

    Joto la sasa, nani anakumbuka kama liliwahi kutokea hapa Tanzania?

    Nilikuwa nawaza sana katika kipindi cha joto ambacho nimewahi kushuhudia, sikumbuki kama joto la namna hii niliwahi kuliona. Nikawaza tatizo liko wapi?
  11. K

    Wanachama 381 wa CHADEMA Geita wahamia CCM wakabidhi kadi za CHADEMA kwa Upendo Peneza mkutano hadhara Geita

    Wakihama ni haki yao. hakuna wakumuktaria mwenzake kuhama. Vigogo wa ccm waliwahi kuhama bila kizuizi
  12. K

    Where history "Will be"

    Dear JF members, Sometimes the things which had been "will be" meaning repeated what happened in history could be repeated . Lets peruse this document concerning our World to come in the concept of giving an eye on New World Order. P'se go through the attached document to get the whole idea...
  13. K

    Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Azizi?

    Kwani mpangaji sianaishi kwa kulipa KODI???
  14. K

    Makonda: CHADEMA wamekimbia kufanya mikutano na kuanza kulilia vyombo vya habari kufanyiwa mahojiano

    Mku yani viongozi Chadema wanatuvunja moyo. Wajitokeze tu waendelee na mikutano kwani tunapenda sana waingie mitaani na kuibua hoja mbalimbali.
  15. K

    Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

    Wana JF, nilikuwa nawaza hivi hii bei ya sukari yaani huku Dar mpaka inafika 4600/= ndo mambo gani haya? Mbona hakuna anaetutetea kwa hili? Sasa badala yake, watu wamekaa na vinyongo moyoni. Tutafika kweli? Na ukiona watu wa Dar wako hoi, je huko mikoani? Msitufundishe tabia mbaya 2025.
  16. K

    Paul Makonda awekewe ulinzi mkali sana kumzunguka kwa sababu ni hazina kwa Taifa

    Kwani unafikiri mtu wa chini au wakawaida asie na mtetezi huko juu atatetewa na nani? Kwa mfano utakapokwenda wanakwangalia waone kama unaweza kuwatikisa kama uko loose hata haki yako hupati. Ndo imetoka .... Tunahitaji vijana wajasiri wala usikatae mku
  17. K

    Vijana wa Tanzania tunajifunza nini kuteuliwa kwa Waziri Mkuu wa Ufaransa mwenye miaka 34?

    Kwani huku Tz vijana wenye miaka 34 hawapo? Wewe twambie huyo jama wa Ufaransa kabla ya hapo, alikuwa na cheo gani?
Back
Top Bottom